B-2 STEALTH BOMBER
JF-Expert Member
- Sep 15, 2024
- 4,640
- 6,422
Haya wale wazee wa IRAN ni super power mpo..? Njooni huku muone ukubwa wa super power.
Ila kwa ujumla USA apewe heshima yake.
Kuna vi nchi vina mtishia US anaamua tu kuviangalia alafu anavihurumia na kukataa kuvipea trending.
Hako ka kiduku + kobazi wote + Russia + Afrika yote ndege za US hatufiki. Mwamba anaweza chapa duniani kote akawa anagawa dozi fresh tu.
Mwisho tusisahau
NO REFORMS NO ELECTION
Niongezee vipi nchi yetu inayo fanya vizuri kiuchumi zaidi ya Marekani na ulaya ina ndege ngapi maana sijaona hapo idadi yake.
Nakazia tena
Muache ukobazi