mkulimamiwa
JF-Expert Member
- Mar 4, 2025
- 2,591
- 5,315
Imenilazimu tu kucheka sana nilipokuwa nasubiri kuona huyo mwenye mlimgoti wa juu kabisa 🤣🤣🤣
Ila USA bhana
Ila USA bhana
Je amerika ilifilisika..?Fatilia kilicho tokea kwenye vita huko Vietnam - unajua WavietNam walitungua ndege ngapi za Merikani? Fatilia kwa karibu kilicho wapata Wamerikani halafu urudi hapa jamvini ili utupatie mrejesho. Bottom line is: kuwa na idadi kubwa ya ndege za vita zikiwemo bombers sio kigezo cha kushida vita.
Wewe unaokoteza wikipedia kila mjinga anaweka taarifa huko.Hiyo idadi ya fighter jets za Marekani si sawa, Marekani haijawahi kuwa na fighters zaidi ya 5k
Vitu vingine kabla ya kupost jipeni muda wa kuvifanyia utafiti
View attachment 3376985
USA mtu mbad saana kumfananisha na hizi takataka ni kumtusiImenilazimu tu kucheka sana nilipokuwa nasubiri kuona huyo mwenye mlimgoti wa juu kabisa 🤣🤣🤣
Ila USA bhana
Pia wanatengeneza wauze lazma wawe na nyingiAmerica by then hawakuwa na ndege nyingi za kisasa kama wakati huu.
Maboresho yote waliyofanya kwenye ndege zilizopo sasa yametokana na experience waliyoipata vietnam
Na tukio la 9/11 kabisa ndio likasababisha wawe na budget kubwa mno kuliko nchi yoyotr dunian kwenye ulinzi wao.
Yes but kupoteza ndege hakikua chanzo kikuu cha wao kuachana na hiyo vita
Sawa sawa jisogeze basiHizo chuma chuma kwenye ulimwengu wa vita wa kisasa utatamba nazo kwa wanyonge tu.
Soma ubao na mlingoti si unauonaNa wakristo wana ndege ngapi?
Vipi Afghanistan?America by then hawakuwa na ndege nyingi za kisasa kama wakati huu.
Maboresho yote waliyofanya kwenye ndege zilizopo sasa yametokana na experience waliyoipata vietnam
Na tukio la 9/11 kabisa ndio likasababisha wawe na budget kubwa mno kuliko nchi yoyotr dunian kwenye ulinzi wao.
Yes but kupoteza ndege hakikua chanzo kikuu cha wao kuachana na hiyo vita
Hadi f-4 tomcat umeweka?.. ndege ni gharama tu za bure,utahitaji miundombinu ya kujaza mafuta angani,utafiti etc, wakati unatengeneza ndege,wahuni washaidukua na kutafuta njia za kuitungua,njia cheaper ni makombora tu kama Iran,kuna kombora limefika israel ndani ya dk 2View attachment 3376846
Haya wale wazee wa IRAN ni super power mpo..? Njooni huku muone ukubwa wa super power.
Ila kwa ujumla USA apewe heshima yake.
Kuna vi nchi vina mtishia US anaamua tu kuviangalia alafu anavihurumia na kukataa kuvipea trending.
Hako ka kiduku + kobazi wote + Russia + Afrika yote ndege za US hatufiki. Mwamba anaweza chapa duniani kote akawa anagawa dozi fresh tu.
Mwisho tusisahau
NO REFORMS NO ELECTION
Niongezee vipi nchi yetu inayo fanya vizuri kiuchumi zaidi ya Marekani na ulaya ina ndege ngapi maana sijaona hapo idadi yake.
Nakazia tena
Muache ukobazi
Wewe unaokoteza wikipedia kila mjinga anaweka taarifa huko.
Yesu ndo mvaa kobazi maarufu au hamlijui hili? Wakristo ata dini yenu hamuijuiView attachment 3376846
Haya wale wazee wa IRAN ni super power mpo..? Njooni huku muone ukubwa wa super power.
Ila kwa ujumla USA apewe heshima yake.
Kuna vi nchi vina mtishia US anaamua tu kuviangalia alafu anavihurumia na kukataa kuvipea trending.
Hako ka kiduku + kobazi wote + Russia + Afrika yote ndege za US hatufiki. Mwamba anaweza chapa duniani kote akawa anagawa dozi fresh tu.
Mwisho tusisahau
NO REFORMS NO ELECTION
Niongezee vipi nchi yetu inayo fanya vizuri kiuchumi zaidi ya Marekani na ulaya ina ndege ngapi maana sijaona hapo idadi yake.
Nakazia tena
Muache ukobazi
God neno la dini zoteSoma ubao na mlingoti si unauona
IN GOD WE TRUST
So, what?View attachment 3376846
Haya wale wazee wa IRAN ni super power mpo..? Njooni huku muone ukubwa wa super power.
Ila kwa ujumla USA apewe heshima yake.
Kuna vi nchi vina mtishia US anaamua tu kuviangalia alafu anavihurumia na kukataa kuvipea trending.
Hako ka kiduku + kobazi wote + Russia + Afrika yote ndege za US hatufiki. Mwamba anaweza chapa duniani kote akawa anagawa dozi fresh tu.
Mwisho tusisahau
NO REFORMS NO ELECTION
Niongezee vipi nchi yetu inayo fanya vizuri kiuchumi zaidi ya Marekani na ulaya ina ndege ngapi maana sijaona hapo idadi yake.
Nakazia tena
Muache ukobazi
Are you invited..?So, what?
Ivi na kobazi wanasema GOD..?God neno la dini zote
Kobazi ndo nini?Ivi na kobazi wanasema GOD..?