B-2 STEALTH BOMBER
JF-Expert Member
- Sep 15, 2024
- 4,640
- 6,422
- Thread starter
- #41
Waislam wafia dini wanamnyaziKobazi ndo nini?
Waislam wafia dini wanamnyaziKobazi ndo nini?
Basi kama ni hivyo hizo nchi ulizozitaja hazina dini yoyote maana ukisema ni ukristo wenyewe kila siku wakanisa yanafungwa na kuwa clubWaislam wafia dini wanamnyazi
Ni maisha yao mkuu.Basi kama ni hivyo hizo nchi ulizozitaja hazina dini yoyote maana ukisema ni ukristo wenyewe kila siku wakanisa yanafungwa na kuwa club
Aah kikubwa kaz ifanyike.Cha msingi zinauwa ndo uzuri wa vitu vya kijeshi
Bomu new model la mwaka huu na bomu old model la 1956 yote yanauwa
Ndege ya 2023 na ndege ya 1976 zote zinaruka na zote zikirenga zinauwa
Na wengine wanahubili ushoga na waumini mashoga je ndo ukristo huo?Ni maisha yao mkuu.
Lakini sio kweli kila unalosema hasa la makanisa kufungwa na kuwa club labda kanisa lilipanga eneo hivyo wakahama basi mwenye eneo ana kodisha kwa mtu mwingine
SIo ukristoNa wengine wanahubili ushoga na waumini mashoga je ndo ukristo huo?