B-2 STEALTH BOMBER
JF-Expert Member
- Sep 15, 2024
- 4,640
- 6,422
Acha waje nimejipangangoja kobazi waje na missiles zao hapa wakutandike....
KAZI NI KIPIMO CHA UTU\WORKISHUMANITY
Fatilia kilicho tokea kwenye vita huko Vietnam - unajua WavietNam walitungua ndege ngapi za Merikani? Fatilia kwa karibu kilicho wapata Wamerikani halafu urudi hapa jamvini ili utupatie mrejesho. Bottom line is: kuwa na idadi kubwa ya ndege za vita zikiwemo bombers sio kigezo cha kushida vita.View attachment 3376846
Haya wale wazee wa IRAN ni super power mpo..? Njooni huku muone ukubwa wa super power.
Ila kwa ujumla USA apewe heshima yake.
Kuna vi nchi vina mtishia US anaamua tu kuviangalia alafu anavihurumia na kukataa kuvipea trending.
Hako ka kiduku + kobazi wote + Russia + Afrika yote ndege za US hatufiki. Mwamba anaweza chapa duniani kote akawa anagawa dozi fresh tu.
Mwisho tusisahau
NO REFORMS NO ELECTION
Niongezee vipi nchi yetu inayo fanya vizuri kiuchumi zaidi ya Marekani na ulaya ina ndege ngapi maana sijaona hapo idadi yake.
Nakazia tena
Muache ukobazi
Na wakristo wana ndege ngapi?View attachment 3376846

America by then hawakuwa na ndege nyingi za kisasa kama wakati huu.Fatilia kilicho tokea kwenye vita huko Vietnam - unajua WavietNam walitungua ndege ngapi za Merikani? Fatilia kwa karibu kilicho wapata Wamerikani halafu urudi hapa jamvini ili utupatie mrejesho. Bottom line is: kuwa na idadi kubwa ya ndege za vita zikiwemo bombers sio kigezo cha kushida vita.
Kwahiyo nchi zinatupa pesa kuengeneza ndege? Kuna nchi isiyotamani kuwa na ndege za kutosha za kivita? Ni bajeti tu mkuu ndo zinabana ila US ana uchumi mkubwa ndio maana ana ndege za kutosha.Hizo chuma chuma kwenye ulimwengu wa vita wa kisasa utatamba nazo kwa wanyonge tu.
Lakini kumbuka ndege zilizo tumika 9/11 zilikuwa ni ndege zinazo beba abiria na siyo ndege za kivita, tangu vita vianze mbona Iran air defense system imekwisha tungua ndege tano (5) type F-35!!America by then hawakuwa na ndege nyingi za kisasa kama wakati huu.
Maboresho yote waliyofanya kwenye ndege zilizopo sasa yametokana na experience waliyoipata vietnam
Na tukio la 9/11 kabisa ndio likasababisha wawe na budget kubwa mno kuliko nchi yoyotr dunian kwenye ulinzi wao.
Yes but kupoteza ndege hakikua chanzo kikuu cha wao kuachana na hiyo vita
Where wame confirm wametungua f-35? From which source?L
Lakini kumbuka ndege zilizo tumika 9/11 zilikuwa ni ndege zinazo beba abiria na siyo ndege za kivita, tangu vita vianze mbona Iran air defense system imekwisha tungua ndege tano (5) type F-35!!
Before 9/11 marekan ilikuwa haija invest that much hata bajeti ya dod ilikuwa ya kawaida, ila baada ya 9/11, walibadilisha sheria hata badget ya defence ilipanda kwnakaasi ya ajabu.L
Lakini kumbuka ndege zilizo tumika 9/11 zilikuwa ni ndege zinazo beba abiria na siyo ndege za kivita, tangu vita vianze mbona Iran air defense system imekwisha tungua ndege tano (5) type F-35!!
Search ME.Where wame confirm wametungua f-35? From which source?
😂 seriously?Search ME.
Wewe ni muongo hata aliegundua uongo atakuinulia mikono yani saudi itungue F35 za usa hivi hivi kwa kutumia defence za USA na dunia isijue wewe ndio ujue?L
Lakini kumbuka ndege zilizo tumika 9/11 zilikuwa ni ndege zinazo beba abiria na siyo ndege za kivita, tangu vita vianze mbona Iran air defense system imekwisha tungua ndege tano (5) type F-35!!
Yes please, 'am dead serious - has the pen dropped???😂 seriously?
Kama israel anavyo tamba kwa mnyonge wake IraniHizo chuma chuma kwenye ulimwengu wa vita wa kisasa utatamba nazo kwa wanyonge tu.
Nawasubir wakitoka kuswali hua hawatakag elewa Mtu. Na viclip vyao vya Ai. Please iran forgive us.Ngoja kobazi waje kukupa muongozo
Ngoja wajeNawasubir wakitoka kuswali hua hawatakag elewa Mtu. Na viclip vyao vya Ai. Please iran forgive us.
Kweli vita sio macho!Fatilia kilicho tokea kwenye vita huko Vietnam - unajua WavietNam walitungua ndege ngapi za Merikani? Fatilia kwa karibu kilicho wapata Wamerikani halafu urudi hapa jamvini ili utupatie mrejesho. Bottom line is: kuwa na idadi kubwa ya ndege za vita zikiwemo bombers sio kigezo cha kushida vita.