Hizi ndizo nchi zenye ndege nyingi za kivita duniani

Hiyo idadi ya fighter jets za Marekani si sawa, Marekani haijawahi kuwa na fighters zaidi ya 5k

Vitu vingine kabla ya kupost jipeni muda wa kuvifanyia utafiti
​

 
Je amerika ilifilisika..?
 
Pia wanatengeneza wauze lazma wawe na nyingi
 
Vipi Afghanistan?
 
Hadi f-4 tomcat umeweka?.. ndege ni gharama tu za bure,utahitaji miundombinu ya kujaza mafuta angani,utafiti etc, wakati unatengeneza ndege,wahuni washaidukua na kutafuta njia za kuitungua,njia cheaper ni makombora tu kama Iran,kuna kombora limefika israel ndani ya dk 2
 
Wewe unaokoteza wikipedia kila mjinga anaweka taarifa huko.
Huo ndio ukweli vyanzo vyote vinavyotegemeka vinasema USAF wana fighters 5k

Next time kabla ya kupost fanya research ya kutosha ujiridhishe

Huu uzi omba moderators waufute au uedit
​
 
Yesu ndo mvaa kobazi maarufu au hamlijui hili? Wakristo ata dini yenu hamuijui
 
Halafu sio suala la idadi tu, kuna hoja ya aina gani ya hizo ndege?
 
Mbona Saudia anazo nyingi, nikajua ni nchi ya Hijja
 
So, what?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…