Hizi ndizo Sababu kuu 4 za Ufisadi Tanzania

Namba 2 ni sawa, hiki chama kinaoperate kama cartel ila na wao ndani ya chama ni kama wamesurrender chama kwa kikundi cha watu wachache waliovaa mask ya ccm wakati katiba imewapa majukumu mengine kabisa..wao ndio wanaiendesha ccm..hao ndio tunapaswa kudeal nao, bila hao ccm are nothing.
 
Umeeleza poa, Ila Kuna point sikubaliani nazo
 
Hao Graduates unao Wasema ndio hao wanashinda vijiweni kujadili Simba na Yanga Diamond Harmonize Wanawake Pombe na Bangi hata wakipata Ajira Akili ndio hiyo hiyo
Si ndio jamaa kasema Udumavu wa akili
 
100% correct
 
RNA kumbe ukitulia ukiacha uchawa huwa unakuwa na akili.

Sasa tunaimba nyimbo moja.

Ubovu wa katiba imekuwa kificho kwa mafisadi.

Kama ni wazalendo kwa nini hawapendi mabadiliko bora ya Katiba??
 
Mkuu bila katiba mpya tutapiga machitaimu sana.

Rais anaitumia anavyotaka. Vyombo vyote vinamuogopa yeye. Anayependwa na rais mfano maDED na MaDC wanafanya wanavyotaka na watu wengine wanawaogopa.

TAKUKURU ikishajua una unasaba na Rais au mtu mkubwa basi hata utende dhambi gani inakukimbia. Hugusiki
 
Kwa hiyo Rushwa ya Nchi hii ni Rais au?
 
RNA kumbe ukitulia ukiacha uchawa huwa unakuwa na akili.

Sasa tunaimba nyimbo moja.

Ubovu wa katiba imekuwa kificho kwa mafisadi.

Kama ni wazalendo kwa nini hawapendi mabadiliko bora ya Katiba??
Sijawahi kuwa Chawa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hiyo hoja namba4 ndio Kila kitu.
 
Reactions: RNA
Chama mbadala kimeonjeshwa buyu la asali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…