Hizi ndizo Sababu kuu 4 za Ufisadi Tanzania

Habari Wana JF,

Ufisadi Tanzania sio kitu kigeni nimekaa kwa kipindi kirefu, nimefanya Utafiti usio rasmi nimegundua kuna vitu vinne ambavyo vinafanya uendelee kuwepo kama Ifuatavyo:

1. KATIBA, kwanza haina makali pili viongozi wengi hawawajibiki kwa Wananchi, wanafanya kazi kwa ajili ya mamlaka ya Uteuzi sio wananchi. Hivyo tunahitaji katiba mpya.

2. CCM, chama hiki kina watu wengi ambao wako kwa ajili ya maslahi yao tu kibaya zaidi wana mizizi mikubwa sana suluhisho ni kukitoa kwa namna yoyote ile .tatizo ni nani wa kumpa

3. UMASKINI, wananchi wengi ni maskini sana hivyo moja wako bize kutafuta kula yao kuliko mambo ya Taifa pili wanapoteza ujasiri na uthubutu wa kuweza kuhoji mambo yanayoendelea, kikubwa wanajawa hofu.

4. UDUMAVU WA AKILI, nimefuatilia nimegundua Watanzania wengi walipata shida ya afya ya akili sababu kubwa nikapata ni lishe duni wakiwa watoto ,Ndio maana watu wanapiga pesa watu

Hivyo kuna haja ya kutafuta suluhisho la hivi vitu ili Nchi iwe kuendelea.
Sawa umeongea vyema ila kuhusu elimu duni nakataa maana hao wanaiba wanatumia elimu kubwa kuiba kabla mamlaka za juu kujua ...

Mm ninachoona ni malezi, na jamii ndio shida ...mtu anayeiba million of tsh. Jamii inamchukulia kuwa mjanja na ametoboa na anapata heshima zaidi na zaidi mtaani..tofauti na nchi za nje mwizi wa mali za umma ni fedhea kubwa kwa jamii na unatengwa kabisa...
 
Nchi za africa kunakitu tunacho hubiriwa na wazungu kuhusu democrasia,na haki za binadamu,hii slogan ndio kwanjia moja ama nyingine inaturudisha nyuma sana.

Mtu anapiga ufisadi kwa mabilioni alafu mambo yanaisha juujuutu!!!, daah.
Ufisadi hauwezi kwisha kwa kuwa na sheria za kuchekeana chekeana.
Tutaumizwa mbaka mwisho.

Dawa niku copy na ku pest sheria za nchi kama china ndio heshima itakuwepo kwenye matumizi ya kodi zetu.
 
Hapana, ufisadi unasababishwa na mambo yafuatayo:

1. Mishahara midogo isiyokidhi mahitaji ya msingi ya watumishi (hapa serikali ina pretend kulipa na wafanyakazi wana pretend kufanya kazi)

Ukiweza kuwahakikishia wafanyakazi sehemu ya kuishi, milo yote mitano kwa siku, usafiri, gharama za shule za watoto wao na saving kidogo kwa ajili ya shangwe ufisadi utapungua;

2. Tamaa na hulka ya binadamu ya ubinafsi ( hii ni kazi ya wazazi kwenye malezi na viongozi wa dini na mila)

Watu wengine wameumbwa na tamaa, hao tajwa hapo juu wakishindwa lazima kuwe na sheria kali na zitumike kuzuia na kipambana na ufisadi

3.kushawishika na watoa rushwa (hii zaidi ni kwenye mikataba mikubwa ambapo wazabuni wanatembeza bahasha na kuwalambisha asali watoa maamuzi. Hali kadhalika, wanasiasa wanatembeza bahasha kwa walalahoi ili wachaguliwe.na mwisho

4. Kutokuwepo kwa nia ya dhati ya serikali kuboresha miundombinu itakayo boresha maisha ya watu yaani siasa mbaya na uongozi usio bora.

Kama unabisha andamana
Mkuu Tamaa kila sehemu zipo ila kuna vitu vinaweza fanya watu wasiibe
 
Ongeza na hoja ya uwepo wa royal families kama za akina Mwinyi, Karume, Kikwete and the likes
 
Inaumiza kinyaama,
ukizunguka ndio utaona hawa viongozi miyeyusho, watu wana
maisha mabovu,
miundombinu mibooovu,
huduma za kijamii hakuna na
sehemu zinazopatikana ni za
kiwango cha chini, huku watu
wanapiga deals za biilioni 30,
utasikia ubadhirifu bilioni 200,
nchi ina madubwasha kibao, ila
utasikia wameleta mara kodi
ya miamala, kodi yenyewe
baada ya miezi kadhaa watu
wamefisadi, mafuta yako juu
kwa vikodi vya kiduwanzi, mara
fuel marking, sijui upuuzi gani,
wao wanakula kuku kwa mrija,
gari bure, matibabu bure, kula
yake, kulala kwake, kila kitu
bure, ila mfanyakazi wa laki 7
ndio anabebeshwa mizigo,
mtanzania wa chini anabeba
mizigo kinooma.
Nchi ya kifala saana hii
Hivi ilitumika hoja gani au hekima gani kufanya hawa viongozi wapewe hivyo vitu bure? Yani Mimi mwananchi kipato changu kidogo hata kulipia huduma za matibabu hospitali ni mtihani ila kiongozi huko si tu kwamba ana mshahara mnono wa kumudu kuishi vizuri na familia yake ila yeye anatibiwa bure, usafiri bure, makazi bure na mengineo na bado analipwa mshahara.

Binafsi sijawahi kuelewa tija yake.
 
Tatu
Habari Wana JF,

Ufisadi Tanzania sio kitu kigeni nimekaa kwa kipindi kirefu, nimefanya Utafiti usio rasmi nimegundua kuna vitu vinne ambavyo vinafanya uendelee kuwepo kama Ifuatavyo:

1. KATIBA, kwanza haina makali pili viongozi wengi hawawajibiki kwa Wananchi, wanafanya kazi kwa ajili ya mamlaka ya Uteuzi sio wananchi. Hivyo tunahitaji katiba mpya.

2. CCM, chama hiki kina watu wengi ambao wako kwa ajili ya maslahi yao tu kibaya zaidi wana mizizi mikubwa sana suluhisho ni kukitoa kwa namna yoyote ile .tatizo ni nani wa kumpa

3. UMASKINI, wananchi wengi ni maskini sana hivyo moja wako bize kutafuta kula yao kuliko mambo ya Taifa pili wanapoteza ujasiri na uthubutu wa kuweza kuhoji mambo yanayoendelea, kikubwa wanajawa hofu.

4. UDUMAVU WA AKILI, nimefuatilia nimegundua Watanzania wengi walipata shida ya afya ya akili sababu kubwa nikapata ni lishe duni wakiwa watoto ,Ndio maana watu wanapiga pesa watu

Hivyo kuna haja ya kutafuta suluhisho la hivi vitu ili Nchi iwe kuendelea.
3&4 sio kweli,umaskini sio chanzo Cha Rushwa,sio cause ni effect,ni matokeo ya nchi kuwa na Rushwa,kiasi kwamba huduma za jamii,afya,Elimu ajira,hazipatikani hapo ndio umaskini unatokea
 
Hivi ilitumika hoja gani au hekima gani kufanya hawa viongozi wapewe hivyo vitu bure? Yani Mimi mwananchi kipato changu kidogo hata kulipia huduma za matibabu hospitali ni mtihani ila kiongozi huko si tu kwamba ana mshahara mnono wa kumudu kuishi vizuri na familia yake ila yeye anatibiwa bure, usafiri bure, makazi bure na mengineo na bado analipwa mshahara.

Binafsi sijawahi kuelewa tija yake.
Ndio hapo ujue kama serikali inatuchukulia watanzania oya oya saana
 
Watanzania kila mtu akishateuliwa mkuu fulani,kiongozi fulani kitu cha kwanza anataka awe bilionea
Hata umlipe mshahara mln 20 hatotosheka!

Ova
 
Hii ndio sababu kubwa ya ufisadi Tanzania

- Ujinga wetu watanzania.

Wabongo tumelala sana ndio maana hao CCM wanaendelea kututafuna na mifupa yetu. Sababu alizoweka hazina mashiko.

- CCM: kwani anaweza kubadili chama na bado ufisadi ukaendelea kuwepo.

- Katiba: Hii nayo ni karatasi tu, kama pasipokuwepo na jitihada za dhati kutekeleza yale yaliyomo ndani yake bado ufisadi utaendelea kuwepo.

- Udumavu wa akili: Kwa sasa tuna vyuo vingi vinazalisha graduates kwa mamia kila mwaka, hii sababu yake nayo naikataa. Hawa graduates wamejaa mitaani hawana ajira, huku gharama za maisha zinazidi kupanda kila siku lakini wapo kimya tu.
Hao Graduates unao Wasema ndio hao wanashinda vijiweni kujadili Simba na Yanga Diamond Harmonize Wanawake Pombe na Bangi hata wakipata Ajira Akili ndio hiyo hiyo
 
Hapana, ufisadi unasababishwa na mambo yafuatayo:

1. Mishahara midogo isiyokidhi mahitaji ya msingi ya watumishi (hapa serikali ina pretend kulipa na wafanyakazi wana pretend kufanya kazi)

Ukiweza kuwahakikishia wafanyakazi sehemu ya kuishi, milo yote mitano kwa siku, usafiri, gharama za shule za watoto wao na saving kidogo kwa ajili ya shangwe ufisadi utapungua;

2. Tamaa na hulka ya binadamu ya ubinafsi ( hii ni kazi ya wazazi kwenye malezi na viongozi wa dini na mila)

Watu wengine wameumbwa na tamaa, hao tajwa hapo juu wakishindwa lazima kuwe na sheria kali na zitumike kuzuia na kipambana na ufisadi

3.kushawishika na watoa rushwa (hii zaidi ni kwenye mikataba mikubwa ambapo wazabuni wanatembeza bahasha na kuwalambisha asali watoa maamuzi. Hali kadhalika, wanasiasa wanatembeza bahasha kwa walalahoi ili wachaguliwe.na mwisho

4. Kutokuwepo kwa nia ya dhati ya serikali kuboresha miundombinu itakayo boresha maisha ya watu yaani siasa mbaya na uongozi usio bora.

Kama unabisha andamana
Namba 1 itoe, nyingine upo sawa
 
Hizo zoote mbwembwe na zinasababishwa na sababu kuu, sisi watz ni majuha, cheki wanaume sri lanka huko, wameona msituletee mambo ya kikhanithi wamezama mpaka mjengoni.

Uhalisia ni kwamba wanasiasa wa tz wametuona sisi ni nyoka wa plastic wataleta hili, tutalalamika mitandaoni kisha litaisha baada ya wiki tu. Hapo hata kije chama gani, labda siku mungu atushushie mtu mwenye roho za mitume kidoogo tutarudi kwenye mstari. 99% ya wanasiasa wa bongo ni wazandiki, wanafiki, wachumia matumbo yao... Hakuna ambae anaanza siasa ili apambanie taifa(uzalendo) wote wanaanza siasa kama ajira
😂😂😂😂
 
Hao Graduates unao Wasema ndio hao wanashinda vijiweni kujadili Simba na Yanga Diamond Harmonize Wanawake Pombe na Bangi hata wakipata Ajira Akili ndio hiyo hiyo
Sahihi
 
Nchi za africa kunakitu tunacho hubiriwa na wazungu kuhusu democrasia,na haki za binadamu,hii slogan ndio kwanjia moja ama nyingine inaturudisha nyuma sana.

Mtu anapiga ufisadi kwa mabilioni alafu mambo yanaisha juujuutu!!!, daah.
Ufisadi hauwezi kwisha kwa kuwa na sheria za kuchekeana chekeana.
Tutaumizwa mbaka mwisho.

Dawa niku copy na ku pest sheria za nchi kama china ndio heshima itakuwepo kwenye matumizi ya kodi zetu.
Sahihi
 
Habari Wana JF,

Ufisadi Tanzania sio kitu kigeni nimekaa kwa kipindi kirefu, nimefanya Utafiti usio rasmi nimegundua kuna vitu vinne ambavyo vinafanya uendelee kuwepo kama Ifuatavyo:

1. KATIBA, kwanza haina makali pili viongozi wengi hawawajibiki kwa Wananchi, wanafanya kazi kwa ajili ya mamlaka ya Uteuzi sio wananchi. Hivyo tunahitaji katiba mpya.

2. CCM, chama hiki kina watu wengi ambao wako kwa ajili ya maslahi yao tu kibaya zaidi wana mizizi mikubwa sana suluhisho ni kukitoa kwa namna yoyote ile .tatizo ni nani wa kumpa

3. UMASKINI, wananchi wengi ni maskini sana hivyo moja wako bize kutafuta kula yao kuliko mambo ya Taifa pili wanapoteza ujasiri na uthubutu wa kuweza kuhoji mambo yanayoendelea, kikubwa wanajawa hofu.

4. UDUMAVU WA AKILI, nimefuatilia nimegundua Watanzania wengi walipata shida ya afya ya akili sababu kubwa nikapata ni lishe duni wakiwa watoto ,Ndio maana watu wanapiga pesa watu wanaangalia na wengine wako bize kwasifia /kuwapongeza na kuwatetea

Hivyo kuna haja ya kutafuta suluhisho la hivi vitu ili Nchi iwe kuendelea.
Jambo la kwanza la kuondoa ufisadi nchini ni kubadilisha chama bila kujali kuwa ni mtu gani atakuwa mgombea kwa chama hicho ili kuwe na CHECK AND BALANCE katika utawala,kwa maana chama hiki kinapoondolewa kwa kura halali hujishauri ni wapi tuliwakosea wananchi na kujisahihisha katika mapungufu yale waliokuwa nayo.
 
Habari Wana JF,

Ufisadi Tanzania sio kitu kigeni nimekaa kwa kipindi kirefu, nimefanya Utafiti usio rasmi nimegundua kuna vitu vinne ambavyo vinafanya uendelee kuwepo kama Ifuatavyo:

1. KATIBA, kwanza haina makali pili viongozi wengi hawawajibiki kwa Wananchi, wanafanya kazi kwa ajili ya mamlaka ya Uteuzi sio wananchi. Hivyo tunahitaji katiba mpya.

2. CCM, chama hiki kina watu wengi ambao wako kwa ajili ya maslahi yao tu kibaya zaidi wana mizizi mikubwa sana suluhisho ni kukitoa kwa namna yoyote ile .tatizo ni nani wa kumpa

3. UMASKINI, wananchi wengi ni maskini sana hivyo moja wako bize kutafuta kula yao kuliko mambo ya Taifa pili wanapoteza ujasiri na uthubutu wa kuweza kuhoji mambo yanayoendelea, kikubwa wanajawa hofu.

4. UDUMAVU WA AKILI, nimefuatilia nimegundua Watanzania wengi walipata shida ya afya ya akili sababu kubwa nikapata ni lishe duni wakiwa watoto ,Ndio maana watu wanapiga pesa watu wanaangalia na wengine wako bize kwasifia /kuwapongeza na kuwatetea

Hivyo kuna haja ya kutafuta suluhisho la hivi vitu ili Nchi iwe kuendelea.
Nakusikia pia nakubaliana na wewe 100% ! Lakini umeanzia kwenye matawi ya mti; umeacha mizizi ya tatizo ambayo ni AINA na KIWANGO cha ELIMU ambayo MTANZAI wa WASTANI anayo hivi sasa, hasa OPINION MAKERS. Hayo ndiyo msingi wa matatizo au mafanikio ya jamii yo yote tangu wakati wa Socrates na Plato! Kama huamini, sikiliza hoja za Mawaziri na Wabunge wakiwa Bungeni kisha pima wastani wa KIWANGO chake! Safari itakuwa ndefu bila mapinduzi ya aina fulani katika Elimu kuanzia ngazi ya Chekechea!

Sent from my ONEPLUS A5000 using JamiiForums mobile app
 
Sawa umeongea vyema ila kuhusu elimu duni nakataa maana hao wanaiba wanatumia elimu kubwa kuiba kabla mamlaka za juu kujua ...

Mm ninachoona ni malezi, na jamii ndio shida ...mtu anayeiba million of tsh. Jamii inamchukulia kuwa mjanja na ametoboa na anapata heshima zaidi na zaidi mtaani..tofauti na nchi za nje mwizi wa mali za umma ni fedhea kubwa kwa jamii na unatengwa kabisa...
Hii point imeingia akilini kweli kweli mwizi katika mitaa yetu ndiyo mjanja na mwenye akili kwa sababu tu ametoboa maisha,hivyo ufisadi kwa jamii zet za kiafrika ni halali na baraka kwa jamii inayokuzunguka.
 
MALALAMIKO KANTRI

Mi nadhani namba 4 ndo sababu ya kwanza. Katiba sio sababu maana hata zile SHERIA ndogo ndogo hazifuatwi namba mbili iwe CCM.

1.UDUMAVU WA AKILI WA TANZANIA(ZAIDI YA 90%)

2.UNAFKI

3.UNAFKI

4.UNAFKI

5.CCM

6.VYOMBO VYA USALAMA(MAJESHI,NK)

7.KATIBA
Namba 6 iwe Na. 2 tena wengine walianzishwa maalum kabisa kututetea WANANCHI na maadui wa ndani na nje bila kujali adui wa ndani ni kiongozi au si kiongozi, sina hakika kama hawajui majukumu yao au teuzi hata baada ya kustaafu ndio zinawaondolea uwezo wa kufikiri..mfano Angola Rais wa sasa alikuwa mwanajeshi alipoingia akawabadilikia waliomsaidia kuwa Rais including Rais mstaafu..nchi inahitaji watu wa aina hii.
 
Watanzania wengi pia wana mitazamo ya kale "conservatives" kupita kiasi wasiopenda mabadiliko. Ni vigumu kuendelea ukiwa katika hali kama hiyo hasa kama nchi ina rasilimali ambazo zinahitaji innovation kubwa kuwa na faida.
 
Back
Top Bottom