Mwezeshaji1
JF-Expert Member
- Sep 26, 2023
- 237
- 565
Mdogo wangu (naamini u mdogo wangu kwavile unapopitia nami nimepita), lazima UJIFUNGE UJASIRI kiunoni.
Sikwambii ufanye nilichofanya wakati Mzee wangu anafanya nilie mwenyewe, kumbuka wana matarajio, hata hivyo:
1. Ukishamweleza hali halisi (na haoneshi kuelewa), chukua hatua ya KUTAFUTA amani (jiweke mbali)
Sikuwa nasoma jumbe na ulifika wakati NILIMBLOCK, nikasema "nitakapokuwa Kwenye nafasi ya kufanya chochote, nitafanya...si kwa SHURUTI".
Hii ilikuwa njia yangu, si lazima iwe yako, hata hivyo sitakuwa sawa nisipokujuza hatua ngumu iliyobidi kuchukuliwa (hivi sasa uhusiano unaendelea, nategemewa na ANAJUA vyema mipaka yangu)
2. Halafu, chonde chonde wamama hao, utajiri ulionao hivi sasa NI AFYA, sasa USIJEZUA mengine
(N.B Unaweza kutumia mitandao ya kijamii kuuza ujuzi fulani, kama sio ule uliosomea?)