Extra focus
JF-Expert Member
- Mar 28, 2021
- 662
- 1,297
Mwambie apambane akupe mtaji maana yeye ndiye aliyekuleta duniani.Mkuu nafocus ndo naota hapa kabisa watu mpaka ndotoni
Achana na mambo ya ndoto kuwa karibu na muumba wako mweleze matatizo yako
Mwambie apambane akupe mtaji maana yeye ndiye aliyekuleta duniani.Mkuu nafocus ndo naota hapa kabisa watu mpaka ndotoni
Upate laana kisa hupokei simu?Kweli kabisa na kutoka kwenye chain ya umaskin ni very complicated.... Ni ngumu sana sasa nachooga siwezi pata kitu kama laana maana
Mshana Jr hii unaongeleaje kuhusu laana
Mkuu mimi tena ndo niombe mtaji kwa mzee dingi...Mwambie apambane akupe mtaji maana yeye ndiye aliyekuleta duniani.
Achana na mambo ya ndoto kuwa karibu na muumba wako mweleze matatizo yako
Daaah na mimi hapa napambana ku kata hii chain ya poverty mkuuUpate laana kisa hupokei simu?
Laana sio nyepesi hivyo mkuu.
Jenga kesho ya wanao mzee wako alishafeli tayari anataka kushuka na wewe
100%Username ya humu au....
Kusema poor brain jau au
Ndoto ni mawasiliano baina ya watu 2 kati yako na ulimwengu kwa maana na mungu kwa yule anayeamini. Sasa ulimwengu ukitaka kuwasiliana na wewe au kukupa wewe ujumbe hutumia njia au namna ambayo itawasiliana na wewe kukupa ujumbe, ambao utaweza kuelewa nini unaambiwa. Na njia hiyo mojawapo ni ndotoSijaelewa kabisa mkuu nielekeze
Anasema kopa....Hakuna laana yoyote. Kama huna uwezo wa kumsaidia mtu ufanye nini sasa?
Mmmmh aiseeee MBONA kama hataree ni kubwa sana sasa100%
Mwambie akope yeye maana ndo ana mashamba na nyumba, kisha akupe mtaji ujikwamueAnasema kopa....
Daaah mkuu upo harshly sana etMwambie akope yeye maana ndo ana mashamba na nyumba, kisha akupe mtaji ujikwamue
Ndio mkuu nipo gomzi huku...Dogo bado upo gomz?
Kamari na Mishangazi 🤣Daaah sawa mkuu nimechuku ushauri wako na naufanyia kazi..
Japo kuhusu pombe hapana situmii ila vingine ni ukweli mtupu
Kwanini yeye asikope? 🤣🤣🤣Anasema kopa....
Ujumbe mzuri. Chukua hii Mkuu Ubongo Dhaifu.Kweli unamatatizo Kichwani.
Hakuna Jambo linalokusumbua hapo. Ni wewe kuwa weak kupenda validation na kuwa Impress watu akiwemo Mzee wako,
Pokea simu. Kama huna mwambie huna.
Akitoa lawama mkatie simu.
Usipende kumpigia simu. Siku akikuuliza kwa nini mwambie kwa sababu Kila ukimpigia amekuwa mtu wa lawama.
Usimjibishe vibaya, ila mwambie ukweli kwa busara.
Akimaindi akakutukana kata Simu.
Akikuuliza kwa nini unakataga simu mwambie hupendi kumwona anakukosea heshima wakati wewe unamheshimu kama Baba. Akianza kulalamika mwambie mtazungumza baadaye upo kazini.
Linalokusumbua ni Jambo dogo Sana.
Usitake kuwa perfect kwa watu wasiowakamilifu. Usitake kutimiza wajibu wote kwa watu walioshindwa kutimiza wajibu wao wote. Huo ni utumwa.
Maisha ni yako.
Unaanza wewe ndipo wanafuata wengine.
Furaha, Amani na heshima yako ni muhimu kuliko Baba au mama, au mtoto au mke au mtu yeyote. Na huo sio ubinafsi. Bali ndivyo maisha yanataka
Kikubwa kaza tu hakuna namna no one is coming to save you.Wee mkuu bado ujanijua kabisa..
Bado huna uzoefu na mimi kabisa...
Usiseme self employment wakati kila day tunasambaza CV au uanataka nikupe statistical ya watu wa MTA hapa
Mwanangu usiongee tu kwa mihemko sawa.. mi sikuenda pale kula slide za ruth kaka nipo makini 😂😂😂😂
Sema kwanini walitudanganya kwann tumekutana na mahesabu kwann tuna share masomo na Telecommunications zile CP sio poa
Hio ndo Jf tulioikuta sisi ukiandika vibaya unakula za kichwa then ndo unasaidiwa.Ifike nyakati mue na ustaha wa kauli zenu mtu anaomba tumpe heads up wew unaanza kuponda uandishi wake rubbish 🗑
Ushauri wangu wa muhimu sana. Rejea kisa cha Nabii YusufAsante sana kaka angu manyanza nachukua haya kama ushauri kutoka kwa mtu wa karibu kwangu..
Nafanyia kazi kaka
Pole sana.Wakuu Salama humu ndani...
Kama umesoma uzi wa mimi kutaka sana kukaa kijinini basi mambo yalianzia huku
Wakuu mimi nipo salama kabisa physical lakini kichwani hapana nina pitia mengi sana kiasi ambacho nahitaji msaada wa karibu wa mawazo pamoja na cancelling...
Sio kwamba jamii nayokaa nayo haina watu wazima, au ndgu jamaa na marafiki.
Wapo lakini ni wale ambao wa kusikiliza tu hakuna kitu wata change au watabadilisha.
Napandisha huku kutokana na hii ni kama familia kwangu maana nipo huku toka nikiwa shule ya msingi.
Pia huku ni sehemu ambayo nakua huru kutoa ya moyoni tofauti na unapo mfuata mtu kuongea nae ni mara kumi uongee na mtu baki kuliko kuongea na ndgu maana unaweza kuta unatengeneza tatizo juu ya tatizo.
Ishu iliyopo hapa ni kwamba nina mwezi sijapokea simu za mzee..
Nina mwezi mzima sijapokea simu za baba mzazi na chanzo cha kutokupokea ni kuogopa lawama na kuogopa majukumu.
Tangu nikiwa chuo nimesoma kwa namna ya kukwepa SIM za mzee kiasi ambacho nikikaa mwenyewe huwa nawaza kwann nina haki ya kuishi ikiwa mambo yangu ndo hivo najitafuta lakini bado mzee nae anasema anahitaji pesa.
Nilovotoka chuo nilijitenga mbali kabisa na ndgu yaani hakuna mtu ananijua wala hakuna mtu wa nyumbani anajua nakaa wapi zaidi ni marafiki zangu wawili ambao nimesoma nao advance.
Ila sasa baada ya ndgu kujua nipo huku daah hali imekua si hali tena maana zitapigwa simu nende kusalimia huku na kule kitu ambacho ni ngumu huku harakati zetu tunajua wenyewe .
Mara moja moja muhindi akitu bless ndo tunavimba au ndo hivo JITU BANDIA akituma odds za uhakika tunaluka nazo
Mimi ni Mtoto wa kwanza..
Mtoto wa kwanza wanasema anaandamwa na mambo mengi basi kwangu mimi nahisi imekua hivo hivo.. maana nimetoka chuo tatu mambo yamekua tofauti kama nilivyozania...
Natamani sana kumsaidia mzee lakini how naanzaje ikiwa mimi mwenyewe sina permanent au temporary work ambayo naweza pata hata laki tatu per monthly
Sina source ya income ambayo naweza saidia familia yangu even mimi mwenyewe life yangu mimi tia maji tia maji.
Hii ni kwa baba upande wa mama kidogo mama angu anapambana alhamdullilah yeye yupo huko mbali kabisa mara nyingi yeye ndio namuombaga pesa maana yeye alishatengana na baba kitambo sana ...
Shida inayokuja hapa ni kuwa nimekua mpaka naota kuhusu baba ananitokea na kuniambia vitu mbali mbali
Ndoto ya kwanza niliwahi ota baba anafanya kazi nzito ambayo mimi nikawa nashangaaa mbona kazi nzito hivi alafu malipo sisimizi
Ndoto ya PILI ni hii ya leo nimeota nimekutana na baba msikitini..
Mda ambao mi natoka msikitini tena nimetoka bila kuswali nilikua nazuga tu humo ndani. Nakuta mzee yupo nje nikakutana nae tukawa tunatembea akawa anasema "" mwanangu sema matatizo yako yote unayopita "" sijajua kwann alisema hivi. Mshana Jr naomba msaada wa hizi ndoto mana yake nini
Ukizingatia mzee tingi ni kama mganga wa kitabu yule wa kutengeneza makombe
Ndio maana naposema nataka niwe mbali na hii system Namaanisha kabisa hili suala linaumiza sana.
Unaweza pokea ukaambiwa maneno ambayo ukabaki unaumia moyoni na unajua kabisa huna cha kufanya,
Mi naamini katika stage hii ya utafutaji unakua unstable kaisi ambacho unakuta sometimes unaweza ahawishika uingie kufanya mambo ya ajabu ili tu unyamazishe wazazi....
Father hawaelewi kabisa hili nalopitia mimi anaona namnyima pesa wakati pesa nayopata ni hv hv mpaka umuokote mdada tena sio mdada ni mmama awe ana pesa zake ndo anakusaidia.
Hii imepelekea niwe mbali na kitu kinaitwa kuhonga.. nimelemazwa na hawa wamama.
Naomba msaada kama kuna mtu mzima yupo.mbeya anaweza nicheki nikaongea nae kila kitu kuhusu hii ishu ili anisaidie kuongea na Baba yangu...a
Mimi nashindwa na naogopa..
Nikipokea atauliza kwann upokei simu zangu.. kuna kitu nimekukosea mwanangu.
Just imagine maneno kama hayo ni very painful wakuu
Asanteni wakuu...🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏