Hizi ndizo sababu za kutopokea simu za baba yangu mzazi

Hizi ndizo sababu za kutopokea simu za baba yangu mzazi

Ila pole mkuu. Hata Mimi huwa siwasiliani na wazazi pamoja na ndugu.

Nimeamua kuishi kivyangu.
Mimi hapa bi mkubwa ni kila siku tunawasiliana an kila siku kila siku mkuu na yupo mbali na mimi..

Nimekaa mbali na bi mkubwa zaidi ya miaka kumi bila kuonana ila mawasiliano ndo huwa yanatuweka pamoja...
 
Mimi huwa siwasiliani na ndugu wala wazazi. Nimechagua kuishi haya maisha kwa sababu sitaki stress.
 
Duuuh hi ni maajabu..
Wewe pia ni noma mkuu.

Haya maisha ya kutokua na stress nasemaga naweza kuyapata kijijini tuu mbali kabisa
Wakati mwingine ukitaka kuishi kwa amani lazima uwe na mentality ya kujifikiria tu mwenyewe.

Ukishakuwa mtu wa kukumiza kichwa kwa sababu ya wale waliokuzinguka kichwa kinaweza kubasti.
 
Mimi hapa bi mkubwa ni kila siku tunawasiliana an kila siku kila siku mkuu na yupo mbali na mimi..

Nimekaa mbali na bi mkubwa zaidi ya miaka kumi bila kuonana ila mawasiliano ndo huwa yanatuweka pamoja...
Salalaaah, miaka kumi hujaonana na bimkubwa (mama) wako?? Ni mama mzazi au?? Unawezaje hii??
 
Vijana mna mambo kweli kweli. Unawezaje kuishi hivyo?? Hakika mental health is real, no disrespect.

Jitahidi urudishe connection na wazazi wako before its too late.

We live every day, we only die once!
Mkuu kwenye haya maisha ukishajua kinachokukosesha amani using'ang'anie.

Mi huwa najifunza kutoka kwa wanyama kwamba kumbe unaweza kuendelea na maisha bila hata kuwa karibu na wale waliokuzaa.
 
Vijana mna mambo kweli kweli. Unawezaje kuishi hivyo?? Hakika mental health is real, no disrespect.

Jitahidi urudishe connection na wazazi wako before its too late.

We live every day, we only die once!
When you die. Hapo ndo tuanza kupata tafsiri ua uhuru
 
Mkuu kwenye haya maisha ukishajua kinachokukosesha amani using'ang'anie.

Mi huwa najifunza kutoka kwa wanyama kwamba kumbe unaweza kuendelea na masisha bila hata kuwa karibu na wale waliokuzaa.
We jamaaa wewe
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Unataka kusema unaishi kama mnyama gani sasa ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿซต๐Ÿซต
 
Mkuu, kama hakuna ulazima wa kufika katika hii stage yangu nakusihi using'ang'anie kufika kwa maana utaumia bure.
Nitafika tu mkuu
Katika ule mpango wangu wa kuwa isolated na watu.

Kuna bi mkubwa flan kasema anasehemu huko kondoa hvo insha'Allah naweza ingia huko nikaanza life new page
 
Back
Top Bottom