Hizi ndizo sababu za kutopokea simu za baba yangu mzazi

Hizi ndizo sababu za kutopokea simu za baba yangu mzazi

Mzee ana kijiji kule...
Kile kijiji kinasoma aiseeee sasa shule zikifunguliwa kasheshe mkuu utatamani kuhama nchi
Si jukumu la mtoto kutunza mzazi.

Mzazi ndio mwenye jukumu la kutunza mtoto.

Huyo mzee wako, mwambie bado unajitafuta. Asiweke matarajio ya kukugeuza kitega uchumi wake.

Yeye kama alishaharibu ujanani huko, atulie, avune alichopanda.

Kila mtu awajibike na matendo yake. Asiwatwike nyie ujinga wake.
 
Ukiachana na Hiyo Hali unayo ipitia na baba Yako

Pia una matatizo ya kiroho hapo ulipo wewe ni mgonjwa wa kiroho na watu wengi wenye matatizo kama Yako it's so hard to be healed cause Watu wenye elimu ya kweli inayo husu masuala ya kiroho hakuna waliopo ni wachache mnoooo baadhi Yao wote ni matapeli , na wengine hawajabobea katika hiyo elimu , kupata kazi na issues za mahusiano kuwa stable kwako itakuwa ngumu sana kama huto shughulikia Hilo suala , utaishia kuwa msomi tu lakini usomi huo hautokunufaisha

Watu wengi katika jamii zetu wanasumbuliwa na matatizo kama Yako lakini watu wanao wazunguka wameshindwa kuwa msaada Kwa kuwa hawana ujuzi kuhusu mambo ya kiroho so Kinacho tokea ni watu hao wenye matatizo ya kiroho ni kuishi kwa maisha ya tabu yasiyo na manufaa yaani


My take is --- Anza kupambana na kuhakikisha unashinda Hilo tatizo uwezekano wa kushinda upo endapo utampata mentor sahihi

Pole sana ,
Bado haujamsaidia, hao mentor wako wapi?
 
Mkuu mi sipo mbeya ila dingi yupo pale uyole...
Nuliondoka kule tangu 2021 ndio mpaka leo mana nilienda chuo nikaunga mazima
Yupo uyole ? Unahisi mzee ni muelewa kiasi kuwa nikimface hawezi kuhisi labda nimetumwa kumuweka mbali na kijana wake ?

Nauliza haya ili niende nikiwa full nondo na tayari kwa lolote mdogo wangu
 
Namsikilizia anijibu yupo mbeya wapi baba yake ili nikakae na huyo mwaisa aache kumpa mawazo kijana wake japo pia mimi namtaka kijana nikutane naye nimkataze mishangazi yaani mimi nastruggle kuwapata wanawake alafu dogo anajilia tu
Hahaha mishangazi imelundikana humu jf umeshindwa kujiokotea unahangaika na madanga ya kijana, unaniangusha ujue😂
 
Hahaha mishangazi imelundikana humu jf umeshindwa kujiokotea unahangaika na madanga ya kijana, unaniangusha ujue😂
Hiyo mishangazi unaiona hapa jamvini ila tuulize sisi tunaozama PM kila uchwao kubembeleza penzi ,kati ya kumi ni wawili ndiyo wamama na hao hawataki mapenzi ya kugandana ila eti huduma ya siku au wiki ,sasa dada wewe kuweza ?
 
Hiyo mishangazi unaiona hapa jamvini ila tuulize sisi tunaozama PM kila uchwao kubembeleza penzi ,kati ya kumi ni wawili ndiyo wamama na hao hawataki mapenzi ya kugandana ila eti huduma ya siku au wiki ,sasa dada wewe kuweza ?
Lambisha asali mkuu, kwani zamani kipindi wenzio wanaoana humu we ulienda wapi? Pole sana mkuu😅
 
Toa msaada basi babu wenye shida tuko wengi humu..
Acha basiii 😄

Hata wewe It's hard to believe

Ngumu kutoa msaada cause issues nyingi za kiroho zipo related na Culture ya mtu anapotokea tatizo linakuja kwamba watu wengi wapo kwenye mtego wa kiimani

Ila the way alivyoongea tu hapo aliposimulia Baba yake Huwa ana mtokea na kumwambia aseme shida zote atamsaidia Binafsi nimemuelewa Tena sana 😄😄🤣🤣

Kazi anayo I felt sorry for him
 
Unamvimbia alie sababisha uwepo ?
Haikua lazima yeye ndio asababishe uwepo wake.

Unaweza na ungeweza kuzaliwa na mtu yeyote yule, mahali popote pale.

Kwanza wazazi walikuwa kwenye starehe zao za kunyanduana tu.

Hakuna aliyejua au anayejua atazaliwa wapi na atazaliwa na mzazi yupi.

Sisi wote ni matokeo ya watu wawili walioamua kusex kwa starehe zao tu!
 
Yupo mbeya mkuu
Sasa na wewe si upo Mbeya hapo hapo? Umenikumbusha kuna kipindi issue km hio ilinipa mother mzazi alipandisha pressure aliposikia nimeondoka sehemu ghafla akapiga simu sikupokea mother pressure juu mpaka akaenda kulazwa nakuja kucheck nimefika missed call zake kibao kucheck naambiwa pressure imepandisha pressure kwa sababu yangu kalazwa. Sababu nini niliondoka ghafla na hawakua wanajua naenda wapiu ingawa nilitoa taarifa akaajua sitorudi ndio akaanza kunipigia sikupokea simu ilikua silent, ila baadae alivyoruhusiwa hospital tukaongea tu vizuri, sasa sikia wewe upo Mbeya au upo wapi?
 
Wakuu Salama humu ndani...

Kama umesoma uzi wa mimi kutaka sana kukaa kijinini basi mambo yalianzia huku

Wakuu mimi nipo salama kabisa physical lakini kichwani hapana nina pitia mengi sana kiasi ambacho nahitaji msaada wa karibu wa mawazo pamoja na cancelling...

Sio kwamba jamii nayokaa nayo haina watu wazima, au ndgu jamaa na marafiki.

Wapo lakini ni wale ambao wa kusikiliza tu hakuna kitu wata change au watabadilisha.

Napandisha huku kutokana na hii ni kama familia kwangu maana nipo huku toka nikiwa shule ya msingi.

Pia huku ni sehemu ambayo nakua huru kutoa ya moyoni tofauti na unapo mfuata mtu kuongea nae ni mara kumi uongee na mtu baki kuliko kuongea na ndgu maana unaweza kuta unatengeneza tatizo juu ya tatizo.

Ishu iliyopo hapa ni kwamba nina mwezi sijapokea simu za mzee..

Nina mwezi mzima sijapokea simu za baba mzazi na chanzo cha kutokupokea ni kuogopa lawama na kuogopa majukumu.

Tangu nikiwa chuo nimesoma kwa namna ya kukwepa SIM za mzee kiasi ambacho nikikaa mwenyewe huwa nawaza kwann nina haki ya kuishi ikiwa mambo yangu ndo hivo najitafuta lakini bado mzee nae anasema anahitaji pesa.

Nilovotoka chuo nilijitenga mbali kabisa na ndgu yaani hakuna mtu ananijua wala hakuna mtu wa nyumbani anajua nakaa wapi zaidi ni marafiki zangu wawili ambao nimesoma nao advance.

Ila sasa baada ya ndgu kujua nipo huku daah hali imekua si hali tena maana zitapigwa simu nende kusalimia huku na kule kitu ambacho ni ngumu huku harakati zetu tunajua wenyewe .

Mara moja moja muhindi akitu bless ndo tunavimba au ndo hivo JITU BANDIA akituma odds za uhakika tunaluka nazo

Mimi ni Mtoto wa kwanza..

Mtoto wa kwanza wanasema anaandamwa na mambo mengi basi kwangu mimi nahisi imekua hivo hivo.. maana nimetoka chuo tatu mambo yamekua tofauti kama nilivyozania...

Natamani sana kumsaidia mzee lakini how naanzaje ikiwa mimi mwenyewe sina permanent au temporary work ambayo naweza pata hata laki tatu per monthly

Sina source ya income ambayo naweza saidia familia yangu even mimi mwenyewe life yangu mimi tia maji tia maji.

Hii ni kwa baba upande wa mama kidogo mama angu anapambana alhamdullilah yeye yupo huko mbali kabisa mara nyingi yeye ndio namuombaga pesa maana yeye alishatengana na baba kitambo sana ...

Shida inayokuja hapa ni kuwa nimekua mpaka naota kuhusu baba ananitokea na kuniambia vitu mbali mbali

Ndoto ya kwanza niliwahi ota baba anafanya kazi nzito ambayo mimi nikawa nashangaaa mbona kazi nzito hivi alafu malipo sisimizi

Ndoto ya PILI ni hii ya leo nimeota nimekutana na baba msikitini..

Mda ambao mi natoka msikitini tena nimetoka bila kuswali nilikua nazuga tu humo ndani. Nakuta mzee yupo nje nikakutana nae tukawa tunatembea akawa anasema "" mwanangu sema matatizo yako yote unayopita "" sijajua kwann alisema hivi. Mshana Jr naomba msaada wa hizi ndoto mana yake nini

Ukizingatia mzee tingi ni kama mganga wa kitabu yule wa kutengeneza makombe

Ndio maana naposema nataka niwe mbali na hii system Namaanisha kabisa hili suala linaumiza sana.

Unaweza pokea ukaambiwa maneno ambayo ukabaki unaumia moyoni na unajua kabisa huna cha kufanya,

Mi naamini katika stage hii ya utafutaji unakua unstable kaisi ambacho unakuta sometimes unaweza ahawishika uingie kufanya mambo ya ajabu ili tu unyamazishe wazazi....

Father hawaelewi kabisa hili nalopitia mimi anaona namnyima pesa wakati pesa nayopata ni hv hv mpaka umuokote mdada tena sio mdada ni mmama awe ana pesa zake ndo anakusaidia.

Hii imepelekea niwe mbali na kitu kinaitwa kuhonga.. nimelemazwa na hawa wamama.

Naomba msaada kama kuna mtu mzima yupo.mbeya anaweza nicheki nikaongea nae kila kitu kuhusu hii ishu ili anisaidie kuongea na Baba yangu...a

Mimi nashindwa na naogopa..
Nikipokea atauliza kwann upokei simu zangu.. kuna kitu nimekukosea mwanangu.

Just imagine maneno kama hayo ni very painful wakuu

Asanteni wakuu...🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Kula dislike kwanza.

Stori yako imeanzia kati ,hujatuambia tofauti yako na mzee wako ni nini mpaka hutaki kupokea simu zake.

Je una uhakika anataka kukuomba hela?

Nini kimepelekea mpaka hutaki kabisa mawasiliano na ndugu zako?
 
Acha basiii 😄

Hata wewe It's hard to believe

Ngumu kutoa msaada cause issues nyingi za kiroho zipo related na Culture ya mtu anapotokea tatizo linakuja kwamba watu wengi wapo kwenye mtego wa kiimani

Ila the way alivyoongea tu hapo aliposimulia Baba yake Huwa ana mtokea na kumwambia aseme shida zote atamsaidia Binafsi nimemuelewa Tena sana 😄😄🤣🤣

Kazi anayo I felt sorry for him
Bwana! Hivi vitisho sasa unajua? Jaribu kuongea naye umsaidie inawezekana tu kila jambo linawezekanika!
 
Ukiachana na Hiyo Hali unayo ipitia na baba Yako

Pia una matatizo ya kiroho hapo ulipo wewe ni mgonjwa wa kiroho na watu wengi wenye matatizo kama Yako it's so hard to be healed cause Watu wenye elimu ya kweli inayo husu masuala ya kiroho hakuna waliopp ni wachache mnoooo baadhi Yao wote ni matapeli , na wengine hawajabobea katika hiyo elimu , kupata kazi na issues za mahusiano kuwa stable kwako itakuwa ngumu sana kama huyo shughulikia Hilo suala , utaishia kuwa msomi tu lakini usomi huo hautokunufaisha

My take is --- Anza kupambana na kuhakikisha unashinda Hilo tatizo uwezekano wa kushinda upo endapo utampata mentor sahihi

Pole sana ,
Ipo hivi mkuu..
Naongea haya najua kuna ant angu ni mfatailiaji sana wa hii mitandao ata akiona poa tuu..

Hapo mwanzo nimewahi ambiwa na naNdgu kuwa ukoo wetu watoto wote wa kiume tuna shida.

Na hii shida inasababishwa na maagano ya matambiko sijui.

Then nikaambiwa mimi baba angu ni mtu wa kitabu sana hivo aamini mambo ya mila hivo kaachana na mila

Ukija kwangu mimi binafsi ni mtu wa imani sijui kama nipo stable au laaa lakini kwa sasa hata nikiwa naenda kufanya ibada najua hii ya leo sijafanya kitu nimecheza tu..

Mkuu nimesoma dini kiasi chake maana kwa mzee kule auala la dini ni bora utoroke shule uende madrasaa hivo imani ninayo ila kadri siku zilipokua zinaenda sula la imani kwangu likawa dogo sana.

Mi siamini kwa mambo ya ushirikina na sijawahi fanya chichote kinachohusiana na ushirikina lakini pia kwa upande wa sir God sipo deep kama zamani yaan nipo partially

Hi ni kutokana na utandawazi na kujua mambo mapya kutoka kwa kina Kiranga na Infropreneur hii ikafanya niamini kuwa mafanikio ni about hardwarking .....

Kama ni ishu ya kiroho basi naweza sema hii equation yangu haijawa balanced
 
Kwanza pole kwa changamoto mkuu
Labda nikwambie kitu kimoja mfumo wa maisha ya ki africa tumejengwa katika hofu ili tudumae na tutawaliwe vyema, kwenye maisha hakuna mtu anayekudai au unayemdai isipokuwa tu kama una mtoto, mtu yeyote asikupe lawama kuwa humsaidii ukiikubali na kuijali hii lawama utadumaa na hutakua ,
Jitengeneze ,jipe mda na pambana,
Kama hawatakuwa na subira iwe wazazi au ndugu achana nao, wew ndo mwamuzi wa maisha yako, hii falfasa ya kiafrica kuwa unazaa mtt ili aje akusaidie ndo inazalisha hizi lawama
 
Kweli unamatatizo Kichwani.

Hakuna Jambo linalokusumbua hapo. Ni wewe kuwa weak kupenda validation na kuwa Impress watu akiwemo Mzee wako,

Pokea simu. Kama huna mwambie huna.

Akitoa lawama mkatie simu.
Usipende kumpigia simu. Siku akikuuliza kwa nini mwambie kwa sababu Kila ukimpigia amekuwa mtu wa lawama.

Usimjibishe vibaya, ila mwambie ukweli kwa busara.

Akimaindi akakutukana kata Simu.
Akikuuliza kwa nini unakataga simu mwambie hupendi kumwona anakukosea heshima wakati wewe unamheshimu kama Baba. Akianza kulalamika mwambie mtazungumza baadaye upo kazini.

Linalokusumbua ni Jambo dogo Sana.
Usitake kuwa perfect kwa watu wasiowakamilifu. Usitake kutimiza wajibu wote kwa watu walioshindwa kutimiza wajibu wao wote. Huo ni utumwa.

Maisha ni yako.
Unaanza wewe ndipo wanafuata wengine.

Furaha, Amani na heshima yako ni muhimu kuliko Baba au mama, au mtoto au mke au mtu yeyote. Na huo sio ubinafsi. Bali ndivyo maisha yanataka
 
Back
Top Bottom