Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 36,315
- 104,500
Siifahamu ila huwa nina uzi wa kazi nikiiona ntakutag uangalie uwe unaapply nina imani ipo siku utaipata tu!MTA
Multimedia And Animation Technology
Siifahamu ila huwa nina uzi wa kazi nikiiona ntakutag uangalie uwe unaapply nina imani ipo siku utaipata tu!MTA
Multimedia And Animation Technology
Oya kwanza tulia mkuu tuliza kichwa mtoto wa kiume hutakiiwi kulia utatutia aibu jikaze haya futa macho kwanza umefanya vizuri, kwanza usizungumzie hio mimama kubwa unayoipump chini kisha inatokupa pesa, hapo inabidi twende kwa Mzee kwani Mzee wako yupo wapi Mbeya au wapi?Mimi nashindwa na naogopa..
Nikipokea atauliza kwann upokei simu zangu.. kuna kitu nimekukosea mwanangu.
Just imagine maneno kama hayo ni very painful wakuu
Sawa mkuuSiifahamu ila huwa nina uzi wa kazi nikiiona ntakutag uangalie uwe unaapply nina imani ipo siku utaipata tu!
We jamaa...🙌🙌🙌🙌👍💯Eeeh
We jamaa...🙌🙌🙌🙌👍Eeeh
Yupo mbeya mkuuOya kwanza tulia mkuu tuliza kichwa mtoto wa kiume hutakiiwi kulia utatutia aibu jikaze haya futa macho kwanza umefanya vizuri, kwanza usizungumzie hio mimama kubwa unayoipump chini kisha inatokupa pesa, hapo inabidi twende kwa Mzee kwani Mzee wako yupo wapi Mbeya au wapi?
Mteme huyo dingi miyeyusho , unatuma anaenda honga wanawake au kunywa mapombe🚮We jamaa...🙌🙌🙌🙌👍💯
Twende mbeya mkuu daaahOya kwanza tulia mkuu tuliza kichwa mtoto wa kiume hutakiiwi kulia utatutia aibu jikaze haya futa macho kwanza umefanya vizuri, kwanza usizungumzie hio mimama kubwa unayoipump chini kisha inatokupa pesa, hapo inabidi twende kwa Mzee kwani Mzee wako yupo wapi Mbeya au wapi?
Hapana ni shekhe ila kule hom tupo wengi bob an daah show kaliMteme huyo dingi miyeyusho , unatuma anaenda honga wanawake au kunywa mapombe🚮
Hivi MENEMENE TEKERI NA PERESI hawezi kumsaidia kweli hapaOya kwanza tulia mkuu tuliza kichwa mtoto wa kiume hutakiiwi kulia utatutia aibu jikaze haya futa macho kwanza umefanya vizuri, kwanza usizungumzie hio mimama kubwa unayoipump chini kisha inatokupa pesa, hapo inabidi twende kwa Mzee kwani Mzee wako yupo wapi Mbeya au wapi?
Kila kitu kitajulikana humu mkuu ni kweli nahitaji msaada wa kisaikolojiaNliwahi kuandika kwenye uzi wako kuwa unahitaji msaada wa kisaikolojia,ukanibishia..hapa naona umekiri.
Safi👏Hawa ndio wale wazazi wanazaa watoto kwa matarajio ya kuwageuza vitega uchumi vyao.
Wao walishaharibu ujana wao huko, Sasa wanaanza kusumbua watoto uzeeni na kutishia watoto kwamba wataacha laana.
Mwambie huyo mzee wako, Bado unajitafuta. Kama hakuelewi mwambie Akafie mbelee!!
Kila mtu awajibike na maisha yake. Yeye kama alichezea ujana, asianze kusumbua watoto uzeeni.
Mzee ana kijiji kule...Hawa ndio wale wazazi wanazaa watoto kwa matarajio ya kuwageuza vitega uchumi vyao.
Wao walishaharibu ujana wao huko, Sasa wanaanza kusumbua watoto uzeeni na kutishia watoto kwamba wataacha laana.
Mwambie huyo mzee wako, Bado unajitafuta. Kama hakuelewi mwambie Akafie mbelee!!
Kila mtu awajibike na maisha yake. Yeye kama alichezea ujana, asianze kusumbua watoto uzeeni.
Mkuu hujapatwa tuu weweUnamvimbia alie sababisha uwepo ?
Ukiachana na Hiyo Hali unayo ipitia na baba YakoMkuu nafocus ndo naota hapa kabisa watu mpaka ndotoni
Mkuu mi sipo mbeya ila dingi yupo pale uyole...Pole sana uko mbeya sehemu gani ?
Kuna mawili mosi ,nikumface kiume baba yako na kumueleza A_Z ikiwa atakuelewa itakuwa sawa ila asipokuelewa fanya hivi .
Pili ,funga vioo ,ziba masikio pambania maisha yako kwanza yakiwa sawa utamtafuta ila usijipe umuhimu kwenye maisha yake kiasi cha kuumiza hisia zako ,jiulize kabla yako aliishije ?
Usimuendekeze baba yako ,ila pia stop dating wamama watu wazima watakulemqza ,yaani mimi nateseka kupata mwanamke kumbe wewe ndiye unawachukua ,badilika aisee