Mwezeshaji1
JF-Expert Member
- Sep 26, 2023
- 237
- 565
Daaah mkuu shukrani sana nachukua kila kilicho sahihi hapaUjumbe mzuri. Chukua hii Mkuu Ubongo Dhaifu.
SawaKikubwa kaza tu hakuna namna no one is coming to save you.
Surviving is winning Franklin..
Ameeen ameeen mkuu nafatilia sana hivo visa kila leo naimani tajifunza kitu ..Ushauri wangu wa muhimu sana. Rejea kisa cha Nabii Yusuf
Kisa cha Yusuf kinatufundisha jambo kubwa sana. Yusuf alikuwa kijana mwenye sura nzuri na alikabiliwa na jaribu kubwa sana. Mwanamke mwenye mamlaka alimshawishi, milango ilikuwa imefungwa, na hakuna mtu aliyekuwa anaona. Hata hivyo alichosema kilikuwa wazi:
“Najikinga kwa Allah.”
Kijana bado una muda wa kujijenga, kujirekebisha na kuwa mfano mzuri kwa wengine. Ujana ni kipindi cha majaribu, lakini pia ni kipindi cha kujenga tabia njema zitakazobeba maisha ya baadaye.
Achana na mishangazi
Achana na mishangazi
Achana na mishangazi
Hata kama inakuhonga ili upate hela au mahitaji yako ya kila siku.
Rejea kisa cha Nabii Yusuf
Poor Brain
Inshallah, ishinde hiyo tabia wanakubebesha nuksi na roho za mikosi zitakazokutesa baadae ukijitambua kwa kinaAmeeen ameeen mkuu nafatilia sana hivo visa kila leo naimani tajifunza kitu ..
Mkuu hawa mishangazi hawanacha kabisa wananitesa mimi ila kwa sasa naanza kuwa stable
unafanya kazi gani?Kuna kipindi nilikua nafanya hvo mkuu Niliweza manage hiyo ila.kwa sasa just imagine kama hiko chumba nachokaa kwa mwezi haifiki 50k...
An mambo ni complex mkuu
Kwa sasa nipo nipo tuu... Mkuuunafanya kazi gani?