karibu mkuu kwa kusaidiana milango ipo wazi ,ila amini kila kitu kitakua sawaWakuu Salama humu ndani...
Kama umesoma uzi wa mimi kutaka sana kukaa kijinini basi mambo yalianzia huku
Wakuu mimi nipo salama kabisa physical lakini kichwani hapana nina pitia mengi sana kiasi ambacho nahitaji msaada wa karibu wa mawazo pamoja na cancelling...
Sio kwamba jamii nayokaa nayo haina watu wazima, au ndgu jamaa na marafiki.
Wapo lakini ni wale ambao wa kusikiliza tu hakuna kitu wata change au watabadilisha.
Napandisha huku kutokana na hii ni kama familia kwangu maana nipo huku toka nikiwa shule ya msingi.
Pia huku ni sehemu ambayo nakua huru kutoa ya moyoni tofauti na unapo mfuata mtu kuongea nae ni mara kumi uongee na mtu baki kuliko kuongea na ndgu maana unaweza kuta unatengeneza tatizo juu ya tatizo.
Ishu iliyopo hapa ni kwamba nina mwezi sijapokea simu za mzee..
Nina mwezi mzima sijapokea simu za baba mzazi na chanzo cha kutokupokea ni kuogopa lawama na kuogopa majukumu.
Tangu nikiwa chuo nimesoma kwa namna ya kukwepa SIM za mzee kiasi ambacho nikikaa mwenyewe huwa nawaza kwann nina haki ya kuishi ikiwa mambo yangu ndo hivo najitafuta lakini bado mzee nae anasema anahitaji pesa.
Nilovotoka chuo nilijitenga mbali kabisa na ndgu yaani hakuna mtu ananijua wala hakuna mtu wa nyumbani anajua nakaa wapi zaidi ni marafiki zangu wawili ambao nimesoma nao advance.
Ila sasa baada ya ndgu kujua nipo huku daah hali imekua si hali tena maana zitapigwa simu nende kusalimia huku na kule kitu ambacho ni ngumu huku harakati zetu tunajua wenyewe .
Mara moja moja muhindi akitu bless ndo tunavimba au ndo hivo JITU BANDIA akituma odds za uhakika tunaluka nazo
Mimi ni Mtoto wa kwanza..
Mtoto wa kwanza wanasema anaandamwa na mambo mengi basi kwangu mimi nahisi imekua hivo hivo.. maana nimetoka chuo tatu mambo yamekua tofauti kama nilivyozania...
Natamani sana kumsaidia mzee lakini how naanzaje ikiwa mimi mwenyewe sina permanent au temporary work ambayo naweza pata hata laki tatu per monthly
Sina source ya income ambayo naweza saidia familia yangu even mimi mwenyewe life yangu mimi tia maji tia maji.
Hii ni kwa baba upande wa mama kidogo mama angu anapambana alhamdullilah yeye yupo huko mbali kabisa mara nyingi yeye ndio namuombaga pesa maana yeye alishatengana na baba kitambo sana ...
Shida inayokuja hapa ni kuwa nimekua mpaka naota kuhusu baba ananitokea na kuniambia vitu mbali mbali
Ndoto ya kwanza niliwahi ota baba anafanya kazi nzito ambayo mimi nikawa nashangaaa mbona kazi nzito hivi alafu malipo sisimizi
Ndoto ya PILI ni hii ya leo nimeota nimekutana na baba msikitini..
Mda ambao mi natoka msikitini tena nimetoka bila kuswali nilikua nazuga tu humo ndani. Nakuta mzee yupo nje nikakutana nae tukawa tunatembea akawa anasema "" mwanangu sema matatizo yako yote unayopita "" sijajua kwann alisema hivi. Mshana Jr naomba msaada wa hizi ndoto mana yake nini
Ukizingatia mzee tingi ni kama mganga wa kitabu yule wa kutengeneza makombe
Ndio maana naposema nataka niwe mbali na hii system Namaanisha kabisa hili suala linaumiza sana.
Unaweza pokea ukaambiwa maneno ambayo ukabaki unaumia moyoni na unajua kabisa huna cha kufanya,
Mi naamini katika stage hii ya utafutaji unakua unstable kaisi ambacho unakuta sometimes unaweza ahawishika uingie kufanya mambo ya ajabu ili tu unyamazishe wazazi....
Father hawaelewi kabisa hili nalopitia mimi anaona namnyima pesa wakati pesa nayopata ni hv hv mpaka umuokote mdada tena sio mdada ni mmama awe ana pesa zake ndo anakusaidia.
Hii imepelekea niwe mbali na kitu kinaitwa kuhonga.. nimelemazwa na hawa wamama.
Naomba msaada kama kuna mtu mzima yupo.mbeya anaweza nicheki nikaongea nae kila kitu kuhusu hii ishu ili anisaidie kuongea na Baba yangu...a
Mimi nashindwa na naogopa..
Nikipokea atauliza kwann upokei simu zangu.. kuna kitu nimekukosea mwanangu.
Just imagine maneno kama hayo ni very painful wakuu
Asanteni wakuu...πππππππππ
Soda yangu ipo wapNdiyo hivyo ndugu
Sasa naye binti aeleweke huko PM asije kuanza maswali ya kunikimbizaMambo hayo!! Ushindwe wewe tuπ€Sasa nisinywe hiyo soda mama mzaa chemaπ
Username ya humu au....Ndugu,
Kuna njia nyingi za kujikomboa.
Kwa leo nikushauri njia moja tu.
BADILI USER NAME YAKO.
halafu mengine yatafuata.
Iko PM na uje kama muolewaji si umeona hata bi mkubwa wako ananijua mzee wa watu nisivyo na makuuSoda yangu ipo wap
Hawezi huyo nakuhakikishia doctorπSasa naye binti aeleweke huko PM asije kuanza maswali ya kunikimbiza
Muache watu tunakesha kuvunja huko maroho ya kukataliwa makanisani akishindwa hapo basi tenaπIko PM na uje kama muolewaji si umeona hata bi mkubwa wako ananijua mzee wa watu nisivyo na makuu
Nije kama Muolewaji tena ?Iko PM na uje kama muolewaji si umeona hata bi mkubwa wako ananijua mzee wa watu nisivyo na makuu
Wee mkuu bado ujanijua kabisa..We jamaa mbona unauandishi Mbovu sana unaiabisha College ya Virtue Education pale Udom alafu hio Multimedia technology ni self employment hasa Animation ina hela sana kikubwa sasa focus kwenye kujenga ujuzi zaidi najua Pale CIVE ulikuwa unameza Slides tu za madam Ruth.
Mama unapambania hela ya kumaliza kibanda chako usiniuze sasa huyo mzee we unamjua?Muache watu tunakesha kuvunja huko maroho ya kukataliwa makanisani akishindwa hapo basi tenaπ
Mkuu hayo ndo nayopitia aiseeeePole saana Ila Sisi wanaume ambao tumetoka koo za Hali ya chini tunapitia mitihani mingi saana kutoka Kwa Wazazi lakini yatapita.
Mkuu hatareee hiyo acha kabisaView attachment 3556687
Nilikuwa na mambo mengi kichwani na Kweli niliamka mwili umechoka saana ghafla napata hiyo meseji.
Nikasema haya Maisha haya kuna watu wanayaendesha sio Bure.
Kwanini usipokee tu? Kama huna mueleze tu ukweli kuwa huna, kuwa muwazi.Wakuu Salama humu ndani...
Kama umesoma uzi wa mimi kutaka sana kukaa kijinini basi mambo yalianzia huku
Wakuu mimi nipo salama kabisa physical lakini kichwani hapana nina pitia mengi sana kiasi ambacho nahitaji msaada wa karibu wa mawazo pamoja na cancelling...
Sio kwamba jamii nayokaa nayo haina watu wazima, au ndgu jamaa na marafiki.
Wapo lakini ni wale ambao wa kusikiliza tu hakuna kitu wata change au watabadilisha.
Napandisha huku kutokana na hii ni kama familia kwangu maana nipo huku toka nikiwa shule ya msingi.
Pia huku ni sehemu ambayo nakua huru kutoa ya moyoni tofauti na unapo mfuata mtu kuongea nae ni mara kumi uongee na mtu baki kuliko kuongea na ndgu maana unaweza kuta unatengeneza tatizo juu ya tatizo.
Ishu iliyopo hapa ni kwamba nina mwezi sijapokea simu za mzee..
Nina mwezi mzima sijapokea simu za baba mzazi na chanzo cha kutokupokea ni kuogopa lawama na kuogopa majukumu.
Tangu nikiwa chuo nimesoma kwa namna ya kukwepa SIM za mzee kiasi ambacho nikikaa mwenyewe huwa nawaza kwann nina haki ya kuishi ikiwa mambo yangu ndo hivo najitafuta lakini bado mzee nae anasema anahitaji pesa.
Nilovotoka chuo nilijitenga mbali kabisa na ndgu yaani hakuna mtu ananijua wala hakuna mtu wa nyumbani anajua nakaa wapi zaidi ni marafiki zangu wawili ambao nimesoma nao advance.
Ila sasa baada ya ndgu kujua nipo huku daah hali imekua si hali tena maana zitapigwa simu nende kusalimia huku na kule kitu ambacho ni ngumu huku harakati zetu tunajua wenyewe .
Mara moja moja muhindi akitu bless ndo tunavimba au ndo hivo JITU BANDIA akituma odds za uhakika tunaluka nazo
Mimi ni Mtoto wa kwanza..
Mtoto wa kwanza wanasema anaandamwa na mambo mengi basi kwangu mimi nahisi imekua hivo hivo.. maana nimetoka chuo tatu mambo yamekua tofauti kama nilivyozania...
Natamani sana kumsaidia mzee lakini how naanzaje ikiwa mimi mwenyewe sina permanent au temporary work ambayo naweza pata hata laki tatu per monthly
Sina source ya income ambayo naweza saidia familia yangu even mimi mwenyewe life yangu mimi tia maji tia maji.
Hii ni kwa baba upande wa mama kidogo mama angu anapambana alhamdullilah yeye yupo huko mbali kabisa mara nyingi yeye ndio namuombaga pesa maana yeye alishatengana na baba kitambo sana ...
Shida inayokuja hapa ni kuwa nimekua mpaka naota kuhusu baba ananitokea na kuniambia vitu mbali mbali
Ndoto ya kwanza niliwahi ota baba anafanya kazi nzito ambayo mimi nikawa nashangaaa mbona kazi nzito hivi alafu malipo sisimizi
Ndoto ya PILI ni hii ya leo nimeota nimekutana na baba msikitini..
Mda ambao mi natoka msikitini tena nimetoka bila kuswali nilikua nazuga tu humo ndani. Nakuta mzee yupo nje nikakutana nae tukawa tunatembea akawa anasema "" mwanangu sema matatizo yako yote unayopita "" sijajua kwann alisema hivi. Mshana Jr naomba msaada wa hizi ndoto mana yake nini
Ukizingatia mzee tingi ni kama mganga wa kitabu yule wa kutengeneza makombe
Ndio maana naposema nataka niwe mbali na hii system Namaanisha kabisa hili suala linaumiza sana.
Unaweza pokea ukaambiwa maneno ambayo ukabaki unaumia moyoni na unajua kabisa huna cha kufanya,
Mi naamini katika stage hii ya utafutaji unakua unstable kaisi ambacho unakuta sometimes unaweza ahawishika uingie kufanya mambo ya ajabu ili tu unyamazishe wazazi....
Father hawaelewi kabisa hili nalopitia mimi anaona namnyima pesa wakati pesa nayopata ni hv hv mpaka umuokote mdada tena sio mdada ni mmama awe ana pesa zake ndo anakusaidia.
Hii imepelekea niwe mbali na kitu kinaitwa kuhonga.. nimelemazwa na hawa wamama.
Naomba msaada kama kuna mtu mzima yupo.mbeya anaweza nicheki nikaongea nae kila kitu kuhusu hii ishu ili anisaidie kuongea na Baba yangu...a
Mimi nashindwa na naogopa..
Nikipokea atauliza kwann upokei simu zangu.. kuna kitu nimekukosea mwanangu.
Just imagine maneno kama hayo ni very painful wakuu
Asanteni wakuu...πππππππππ
Namjua daktari wa mkoa huyu hana mke! Amekupenda wewe unaanza kuleta maringo ohooπ€¦π½ββοΈMama unapambania hela ya kumaliza kibanda chako usiniuze sasa huyo mzee we unamjua?
Dingi leo nimeongea nae mkuuDua zako zote zimeblockiwa na baraka za Baba yako.
Fanya uwezavyo baba yako afungue moyo akuombee kwa Mungu ufanikiwe!!
Wazazi wawili huwa ni ufunguo wa mafanikio upande wa Nuru.
Yani kiufupi huyo dingi ndio code yako kabisa mzee.
Hata mzeee amesema niswali swalatul hajja mkuu nafanya hvo maana kumi la mwisho hiliNdugu yangu katika imani tupo katika kipindi kizuri sana hiki cha kuomba dua kipindi cha Ramadhani
Amka usiku swali rakaa tatu katika rakaa yako ya mwisho pale kwenye sijda omba dua zako zoootee tubu dhambi zako Allah atakusaidia
Usipuuze hili muekee mola wako ndio suluhisho pekee kwako
Basi mama natulia π«£Namjua daktari wa mkoa huyu hana mke! Amekupenda wewe unaanza kuleta maringo ohooπ€¦π½ββοΈ
Maskini pole sana kipenzDingi leo nimeongea nae mkuu
Zaidi zaidi anasema ananiombea dua ila nahisi napokua sipokei simu huwa ananungunika sijui
Ameen mkuu asante sana kwa maneno yako...Usikimbie simu ya mzazi wako kwa sababu ya umaskini Umaskini ni hali ya muda, lakini uhusiano na mzazi ni wa maisha.
Hapo chakufanya ni kumuweka mzazi wazi juu ya hali yako kiuchumi hata kama atakua anadalili za kuonesha kuto kukuelewa hyo itabaki juu yake lakin wew mjuze hali yako itafika mda atakuja kugundua anacho fanya sio kitu cha busara mana tayar utakua umemjuza.
jitume sana najua ni ngumu na sometimes inaumiz mana kwenye utaftaji kuna mda unaona kabsa unacho kitafta hakipo lakin jikaze naamini utatoka hapo ulipo Poor Brain