Hizi ndizo sehemu zilizopigwa na makombora ya Iran huko Israel siku ya jana!

Macho huna wewe.
Makombora yame explode yote na kuleta madhara .
 
Iran hawana shida na raia au raia wa israel wamejificha kwenye mashelta na mfumo wa iron dome umeyapangua
Makombora yamepenya na yamepiga millitary infrastructures.
Iran angeamua kupiga raia angepiga.
Hili shambulio halikufichika kila mtu kaona makombora yakipenya.
 
US kama nani Awaonye Hamas?

Awaonye mashoga zake mazayuni.
 
Mach 5... iron dome ni Takataka mbele ya hayo madude😁
 
Unaamini makombora yote yali hit target?
Yali hit,nilitizama habari kuna hadi shule mbili zilibutuka nusu na nusu zikapona,na bahati mbaya kumbe kulikua kuna wanafunzi wa bweni.
Hawaamini kama walipona aisee Mungu wa ajabu.
Kumbuka na yeye ana Jericho-3.
Arushe hizo jericho sijui jejicho wahuni tumletee makombora ya zalzalat.
 
Unaakili wewe kweli kwamba makombora 180 kutoka Tehran yalikuwa yalirushwa Kwa namna ya kuwakwepa watu?
Unaelewa hata maana ya CEP (circular error probable) ya missiles?

Kila kombora la masafa linaporushwa kuna uwezekano wa kukosea kidogo target, makombora yanatofautiana accuracy.

Iran missiles zao zina accuracy ya juu, kasome kuhusu CEP uelewe accuracy ya missiles.


Tatizo unafikri missiles kama hizo zinarushwa kama mawe zigzag, hizo missiles zinatumia mifumo maalumu ya kuingoza...

GPS ni mfumo wa USA, GALILEO ni Ulaya, GLONASS ni Russia, China wana BDS...

Hayo makombora ya hypersonic yanatumia mifumo hio kutoka sehemu moja kwenda kwenye target, hivyo wana pin point target na linafika pale pale.

Russia drones zao na missiles wanatumia hio GLONASS, Iran kupiga zile kambi za US pale Iraq walitumia GLONASS ya Russia.

Nadhani umenielewa mimi niliyekosa akili.

Iran haiwezi tumia GPS wala GALILEO kwenye mission kama hizo..
 
Acha kujidhalilisha
 
Mach 5... iron dome ni Takataka mbele ya hayo madude😁
Iron dome si kitu...
Mi nashangaa mnavyodhani iron dome inaweza kila kitu, iron dome pia kuna muda interceptors zinaisha, launcher moja ina interceptors 20..

Iron dome ni nzuri kuzuia mashambulizi ya kushtukiza ya wale migambo wa hamas wanarusha maroketi ya kienyeji kama katyusha...

Kuzuia missiles za Iran kama hizo hypersonic ni habari nyingine.

Iron dome si suluhisho la ulinzi wa kuaminika 100%.
Ndio maana ving'ora hulia na watu kujificha , its not guarantee zinaweza zuia missiles muda wote...
 
Kwa wakati huu ikisikia maneno ya viongozi wa Iran yamejaa confidence ya ajabu sana kiasi kwamba hata viongozi wa Marekani wameogopa.
Pia mm hizi ziara za viongozi wa Urusi ndani ya Iran siku hivi karibuni zilikuwa zinanitia mashaka.

Leo afisa mmoja wa ngazi za juu wa Iran wakati anahojiwa na Aljazeera amesema kuwa kwa sasa Iran imebadilisha sera yake ya siku nyingi ya uvumilivu dhidi ya Israel ,amesema kila uchokozi utakao fanywa na Israel utajibiwa kwa ukali.

Kiufupi hili shambulizi limemfedhehesha sana Netanyau kwa sababu limefanyika siku 3 tu tangu ajitape mbele ya ulimwengu kuwa hakuna mwenye ubavu wa kuigusa Israel.
 
Hatimaye wenyewe wanaanza kukiri! Nilisema tutumie akili na siyo mahaba, mzigo ulikuwa mkubwa ili kuchosha mitambo!

Halafu tujifunze kuwa ukiona wamagharibi wanaongea ukweli ujue hakuna namna ya kuficha!

Footage filmed from Dabouq, in Jordan, shows a barrage of missiles exploding over Israel after Iran launched almost 200 missiles towards the country on 1 October.

The Israeli military said most of the missiles were intercepted, but a small number struck central and southern Israel.

Tembea na hii kauli ya kulipiza kisasi, unahisi hakuna madhara?

The country's Prime Minister Benjamin Netanyahu said Iran had made a "big mistake" and "will pay for it".

 
Iran kiukweli wamechoka na uchokozi wa kila leo wa Israel.
Kiukweli hili shambulizi sio kufedheheshwa tu na aibu juu...

Ngoja tusubiri kuona huo mkono wa Israel utakaofika Iran, kwa maana inajulikana jamaa ni wazuri kufanya ugaidi na kutokomea.
 
Iran kiukweli wamechoka na uchokozi wa kila leo wa Israel.
Kiukweli hili shambulizi sio kufedheheshwa tu na aibu juu...

Ngoja tusubiri kuona huo mkono wa Israel utakaofika Iran, kwa maana inajulikana jamaa ni wazuri kufanya ugaidi na kutokomea.
Eti unaenda mbele ya un unaanza kuwa tambia wanaume wenzio eti hakuna sehemu tusio weza kufika ndani ya Iran, na wahuni wakaamua wamjibu kwa vitendo kuwa hata sisi tunafika popote ndani ya nchi yako kwa kupiga kitovu cha nchi yake.
 
Russia na Iran Wana ubinadamu siyo kama wazungu, USA, UK, France, Israel hawa ni Chinja Chinja hawana huruma na mtu kama Israel anavyofanya uko Gaza, na USA alivyofanya uko Iraq, Syria n.k
Nyie akili hamna,tangu lini Askari wa kiyahudi wakachangamana na raia kama waarabu?Unawatumia raia kama ngao unategemea nini?
 
Iran kiukweli wamechoka na uchokozi wa kila leo wa Israel.
Kiukweli hili shambulizi sio kufedheheshwa tu na aibu juu...

Ngoja tusubiri kuona huo mkono wa Israel utakaofika Iran, kwa maana inajulikana jamaa ni wazuri kufanya ugaidi na kutokomea.
Wanajua mwarabu anaweza achia upupu wa nuke nadhani ndo kitakuwa kitu cha mwisho kurusha kwa waarabu watakapoona lgbtq+1 wameingia wataliachia hawana chakupoteza tuone hiyo irone dome itazuia upupu!
 
Ngoja nieke kitu sawa, Anga la israel linalindwa na safu tatu, Arrow systems(1,2,3), David's sling na ya mwisho ndio hio "iron dome". Makombora ya masafa marefu yanayopita umbali wa juu sana yanazuiwa na arrow system, ya saizi ya kati na David's sling, na makombora madogo short range yanazuiwa na iron dome. Iron dome haiwezi kuzuia ballistics missile hivo yanazuiwa na arrow system. Makombora yaliorushwa na iran yalikuwa ni hypersonic ballistic missiles kwahiyo mengi yalizuiwa na arrow system na sio iron dome, teknolojia ya arrow system itaruhusu bomu lipite kama litaenda kutua sehemu ambayo haina shida, bomu kama linaenda kutua katikati ya jangwa haina haja ya kulizuia. Mabomu mengi ya iran yalitua jangwani, mengine kwenye open space tu, yaliolenga kwenye makazi yalizuiwa
 
Mz
Mtambo unaenda kuboreshwa, sasahv hata wakituma buku kwa dakika Yana haribiwa ,myaudi kashindikanika pale mashariki kanchi kadogo lakini mziki wake mpaka huku bongo tuna usikia
Mzigo brand new, THE IRON BEAM, round hii mfumo unatumia mionzi kuzuia makombora haina haja ya kuintercept na mabomu, sipati picha itakuaje, naomba wakamilishe haraka watesti kwa iran 😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…