Yaani ole wake mkuu wa taasisi uvccm wakute jina la Mheshimiwa halijabadilishwa yaani usiku huu watu hawalali...Uzuri hakujiita Dr. Sasa kila mahali itakuwa Dr Samia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani ole wake mkuu wa taasisi uvccm wakute jina la Mheshimiwa halijabadilishwa yaani usiku huu watu hawalali...Uzuri hakujiita Dr. Sasa kila mahali itakuwa Dr Samia.
Bora hata angeibaLakini hakutuibia
Miaka 25 alikuwa anafanya Nini hasa?Ndugu yangu Nyerere katuachia utajiri mkubwa sana,madini yapo,mito na maziwa,mbuga za wanyama, mlima Kilimanjaro, amani na utulivu vipo sasa unamlaumu kwa lipi familia yake yenyewe masikini kila kitu ametuachia sasa sijui unamaanisha nini?
Utajiri upi? Wewe ulikuwa tajiri kipindi chake?Mwalimu Nyerere kaiachia Tanzania utajiri na heshima kubwa.
Unaposhindwa kujua hilo ilaumu akili yako iliyolala.
Alikuacha na Neema zipi wewe? Kuvaa viraka au?Sio kweli kabisa, Nchi ilikuja kubomolewa baada yake tukaanza kuona mafisadi ya ajabu na mpaka leo ufisadi umekuwa ni wimbo tu wa kawaida tu kama Sizonje !! RIP Mwalimu. !!
Maendeleo yapi yanayolingana na Miaka 25?Aliiacha nchi katika maendeleo kuliko alivyoipokea. Pitia data mbalimbali kama una uwezo wa kudadavua utaona.
Umaskini unapimwa kama ilivyo kwa masuala mengine na data ndio msema kweli.
Yote hayo alifanya bila kugusa madini. Kana naye angefisadi msingeyakuta.
Na hakuwahi kujiita Dokta kama hawa wa sasa.Mwalimu Julius K. Nyerere
ABOUT NYERERE
HONORARIES AND AWARD
As a result of his good work, different institutions and universities honored Mwalimu Nyerere to mark his contributions to Tanzania, Africa, developing countries and the entire world.
Honorary Degrees and Awards
He received honorary degrees from the following:
1. University of Edinburgh (United Kingdom)
2. University of Dugueshe (United States of America)
3. Cairo University (Egypt)
4. University of Nsukka (Nigeria)
5. University of Ibadan (Nigeria)
6. University of Monrovia (Liberia)
7. Toronto University (Canada)
8. Havard University (United States of America)
9. Howard University (United States of America)
10. Ljubliana (Yugoslavia) - Honorary Doctoral of Law (26 March 1985)
11. Pyongyang University (Korea) - Honorary Doctorate of Philosophy (28th March 1985)
12. National University of Lesotho (Lesotho)
13. The State House Dar es Salaam (Tanzania) - Honorary Degree for Diplomacy (20th Sept, 1985)
14. Havana University of Cuba (Cuba) - Honorary Degree of Doctor Of Philosophy (30th Sept 1985)
15. University of Dar es Salaam (Tanzania) - Honorary Degree of Literature Honoris Causa (13th Sept 1986)
16. Universities of Philippines (Philippines) - Honorary Doctorate of Humanities (12th July 1991)
17. Manila (Philippines) - Honorary Doctor Degree (12th October 1992)
18. Makerere University Kampala (Uganda) - Honorary Doctor of Laws (29th January 1993)
19. Open University of Tanzania (Tanzania) - Doctor of Letters Honoris Causa (15th March 1997)
20. Claremont University Centre (United States of America) - Doctor of Laws for Claremont graduate School California (17th May 1997)
21. Sokoine University of Agriculture (Tanzania) - Doctor of Philosophy Honoris Causa (28th November 1997)
22. University of Fort Hare (South Africa) - Doctor of Laws Honoris Causa (23rd April 1998)
23. Lincoln University (United States of America) - Honorary Degree of Laws (5th May 1998)
Awards / Prices
1. Yogoslavia - Memorial Plaque of the City of Belgrade (15th October 1969)
2. Guyana - Freedom of the City of Georgetown (11th September 1974)
3. Havana, Cuba - Order of Jose Marti (21st September 1974)
4. Mexico - The Great Collar of the Aztec Eagle (24th April 1975)
5. India - Nehru Award for International Understanding (17th January 1976)
6. Guinea Bissau - Medal of Amilcar Cabral (19th September 1976)
7. Brussels - The Dag Hammarskjold Price for Universal Merit
8. New Delhi, India - Third World Prize (22nd February 1982)
9. Maputo, Mozambique - Eduardo Mondlane Medal (7th September 1983)
10. Geneva - Nansen Medal for Services to the Cause of Refugees (3rd October 1983).
11. Luanda, Angola - Order of Augstino Neto Award (3rd October 1985)
12. Luanda Angola - SADCC Sir Seretse Khama Medal (21 August 1986)
13. Dodoma, Tanzania - Lenin Peace Prize (7th September 1987)
14. Dodoma, Tanzania - Juliot Curie Gold Medal (February 1988)
15. Paris, France - UNESCO Simon Boliver Prize (21st October 1992)
16. Arusha, Tanzania - TANAPA / Gold Medal of Outstanding on Wildlife and Environmental Conservation (21st February 1994)
17. New, Delhi, India - Gandhi Peace Prize (27th January 1995)
18. Abujua, Nigeria - Nnandi Azikiwe Award (10th March 1996)
19. Harvard University - World Map Globe (28th December 1999)
20. CCM, Tanzania - The Century Statesman (2000)
Share this:FacebookTwitterGoogle+E-mailPrintFriendly
Julius Kambarage Nyerere was a Tanzanian politician who served as the first President of Tanzania and previously Tanganyika, from the country's founding in 1961 until his retirement in 1985.
NYERERE IN PHOTOS
African Leaders in in Nairobi, 1964
African Leaders in in Nairobi, 1964
VIEW ALL
NYERERE ON VIDEOS
Videos on Nyerere
Watch short clips, TV footags and documentaries on and about Nyerere
CLICK HERE TO VIEW
LISTEN TO MWALIMU'S LEGACY
Listen to Nyerere Speeches
Nyerere was reported as saying that he was a "schoolmaster by choice and a politician by accident"
CLICK HERE TO LISTEN
NYERERE QUOTES
"The African is not 'Communistic' in his thinking; he is -- if I may coin an expression - 'communitary'."
Julius Kambarage Nyerere as quoted in the New York Times Magazine on 27 March 1960.
MORE QUOTES
SEARCH
Search here...
HOME ABOUT NYERERE RESOURCES MULTIMEDIA CONTACT US
Mwalimu Nyerere Foundation Nyerere Centre for Peace and Research The Mwalimu Nyerere Memorial Academy (MNMA)
Mwalimu Julius K. Nyerere
Tangu ameondoka madarakani mpaka leo inapata miaka 37.Utajiri upi? Wewe ulikuwa tajiri kipindi chake?
Hapo alichemka hiyo vita ya kumbeba mshikaji Obote kwa gharama zetu. Na hakuna awezae kusema ukweli wa hii vita, ni kama Azimio la Arusha tu.Nadhani Vita vya Uganda vya 1978/79 ndio chanzo kikuu.
Uko sahihi. Kila kiongozi anakuwa na vipaumbele vyake. Mwalimu alijali ELIMU NA UKOMBOZI. Kilimo alikihubiri sana. Nchi hii imewahi kufuta ujinga kwa kuwa na wenye elimu walao kusoma na kuandika zaidi ya 80%. Moaka mwaka 1988, elimu mpaka chuo kikuu ilikuwa BUREEEEEEE. Alipambama na ukombozi. Barabara ilikuwa shida. Kutokana na ukombozi. Mikoa ya Mtwara na Lindi ilipata shida sana. Mfanyakazi aliyehamishiwa huko aliacha kazi siku hiyo hiyo. Ilichikua wiki kwenda Mtwara hasa wakati wa masika.Ujamaa haukumuangusha bali kilichomuangusha ni kujitolea sana kuzisaidia nchi zingine zijitawale na baadaye ile vita na Iddi Amin ikahitimisha ! Matatizo yakaanzia hapo baada ya wakubwa huko Duniani kumlazimisha Mwalimu ashushe thamani ya pesa ya Tanzania ndio wakubali Nchi ikopeshwe na IMF na World Bank hapo Mwalimu akakataa ndipo matatizo yaongezeka !! Lakini kabla ya hapo maisha yalikuwa mazuri na rahisi sana !! Sisi tulikuwepo lakini ninyi wengi mnahadithiwa tu !!
Hakuwahi kujiita Dr kama hawa wasio na UWEZO wakibandikwa 2 utamsikia Dr fulaniUzuri hakujiita Dr. Sasa kila mahali itakuwa Dr Samia.
Ina nafuu ndio maana tuko Uchumi wa katiTangu ameondoka madarakani mpaka leo inapata miaka 37.
Je hali ya umaskini baada yake ikoje
Kabisa kabisa !! Hata hao wamagharibi walimuheshimu sana kwa hilo !!Uko sahihi. Kila kiongozi anakuwa na vipaumbele vyake. Mwalimu alijali ELIMU NA UKOMBOZI. Kilimo alikihubiri sana. Nchi hii imewahi kufuta ujinga kwa kuwa na wenye elimu walao kusoma na kuandika zaidi ya 80%. Moaka mwaka 1988, elimu mpaka chuo kikuu ilikuwa BUREEEEEEE. Alipambama na ukombozi. Barabara ilikuwa shida. Kutokana na ukombozi. Mikoa ya Mtwara na Lindi ilipata shida sana. Mfanyakazi aliyehamishiwa huko aliacha kazi siku hiyo hiyo. Ilichikua wiki kwenda Mtwara hasa wakati wa masika.
Anywa ALIHESHIMIKA SANA kwa sababu alisimamia misingi yake.
Sent from my TECNO KG5k using JamiiForums mobile app
Wengine hatujazoea kashfa !!Alikuacha na Neema zipi wewe? Kuvaa viraka au?
Uchumi wa soviet ulikufa ikawalazimu kila nchi ya kijamaa kustruggle kivyake hapo ndio tatizo lilipoanza (cuba ilipata shida sana hadi ikabadili sera zake za uchumi, china wakajiongeza chap wakaadopt mixed economy, tanzania tukabaki hatujui tunataka nini hadi leo bora liende..Kama wasovieti wangekuwa wanampa pesa nyingi asingelazimika kwenda kuomba mkopo wa IMF na World Bank na ndicho kilichopelekea yeye kuachia madaraka kuliko kukubali masharti aliyopewa ya kushusha thamani ya shilingi ya Tanzania. !!
Ukisikiliza hadithi zinazosimuliwa na hawa wapuuzi utadhani Mwalimu hakuwa na akili, tena wanapindisha taarifa waonekane wajuaji, kumbe ni limbukeni tu.Baada ya vita vile uchumi wa nchi ukayumba ndipo mabeberu walipopata nafasi ya kumuadhibu Mwalimu kutokana na ile misimamo yake ya kuzipinga Nchi za magharibi kutokana na unyonyaji wao waliokuwa wakizifanyia nchi changa na hasahasa nchi za dunia ya tatu ! Wakajua lazima atakuja kuomba kukopa fedha ndipo walipokataa kumpa mikopo mpaka kwanza akubali kushusha thamani ya shilingi ya Tanzania ! Mwalimu akakataa na akasema hawezi kukubali kugeuka jiwe na kuwaumiza wananchi wake. !! Wakati huo nadhani dollar ya marekani ilikuwa ikinunuliwa kwa shs tano za kitanzania kama ntakumbuka vizuri !!
Mkuu, hili ulilitoa wapi, kwamba Mwalimu Nyerere "alipinga kabisa ubepari". Umewahi kusoma Azimio la Arusha?Hoja yangu iko kwenye Ujamaa wa Nyerere. Yeye aliamini katika Ujamaa pekee na kuupinga kabisa ubepari; jambo ambalo halikuwa sahihi kwa mtazamo wangu.
Kwani utajiri kwako una maana gani?Utajiri upi? Wewe ulikuwa tajiri kipindi chake?
Exactly !! Ujamaa pamoja na mambo mengine mengi mazuri lakini pia ujamaa ulikuwa ukiwatengenezea uzalendo wananchi wa kuipenda nchi yao na kulinda rasilmali za nchi zisiweze kuibiwa au kufisidiwa na kikundi chochote kile ambacho kingejaribu kufanya hivyo! Iwe ni cha kutoka ndani ya nchi au nje ya nchi !!Mkuu, hili ulilitoa wapi, kwamba Mwalimu Nyerere "alipinga kabisa ubepari". Umewahi kusoma Azimio la Arusha?
Lakini pamoja na hayo, nyakati hubadilika, na kwa mtu mwenye uelewa kama Mwalimu asingeng'ang'ania kitu ambacho haoni manufaa yake na hasa wakati husika umebadilika; kama ulivyobadilika duniani kote.
Wengi wanapotosha kabisa lengo la Ujamaa hasa lilikuwa nini. Nadhani lawama zinaanzia hapo kwa kutojua madhumini yake yalikuwa ni nini.
Tutege masiko, Kuanzia kesho kule Lindi Siku ya Ukimwi DunianiUzuri hakujiita Dr. Sasa kila mahali itakuwa Dr Samia.