mchajikobe
JF-Expert Member
- Aug 14, 2009
- 2,678
- 1,279
Hivi wewe unaakili kweli yaani kila mwaka uwe unaenda alafu uonekane wewe tuu ndio hauna hela ungeweza kuvumilia,ndio maana watu kule huwa wanajiongeza kufanya chochote ilimradi wapate pesa,na ni jeshi lipi la polisi au wapi wametangaza kwamba majambazi ni wachaga,au kuwa namali ndio ujambazi?Mambo ya ajabu wanafundisha watoto wao ujambazi hapa mjini
Karibu sana KLm Coach Slamah HamadNaomba kuuliza swali....Kuna nguvu ya uvutano/muungano/chemistry wa/ya aina gani kati ya Wachagga na Wahaya? Business and family wise?
By the way, napenda sana huu utamaduni wa kurudi nyumbani kila Mwaka and if ingetokea makabila ya Tz almost yote yakafanya hivi kila Mwaka even for just a couple of weeks, I think maendeleo yangekua yamesambaa at almost all corners of Tz.
We should all try this as a country!
Wote watanzania but still kila mmoja wetu ako na chimbuko lake, tuyaenzi machimbuko yetu!
It might pay going back to our roots!
Mcheza kwao hutuzwa/hutunzwa!
Kaskazini’s home loving spirit is my inspiration!
Hongera zenu! It takes guts to go back to where you started and face the music!! Ugly or Beautiful, it pays!
Salute!!
Kweli sister. ..zimelegea mpaka zinakua Kama maji ya kufunga(Mabusha)
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787]Hahahah wity acha ufala [emoji23][emoji23][emoji23]
Rugemalira wanaenda sio kwa mbwebwe kama za wachaggaNa wakina Chenge,Rugemalira,Rostam,Karamagi,Balali hawa ni wa wapi?
Hata sijaelewa ulichoandika jomba.Rugemalira wanaenda sio kwa mbwebwe kama za wachagga
Kama huelewi sentensi moja, ukipewa para nzima itakuwaje. Anyway sio issue hata husipoelewa Hamna kilichoharibikaHata sijaelewa ulichoandika jomba.
'Husipoelewa' ndio nini arifu?Kama huelewi sentensi moja, ukipewa para nzima itakuwaje. Anyway sio issue hata husipoelewa Hamna kilichoharibika
watu wenye wivu tu, hata maofisi mengine wananwanyiwa wachggga likizo lakini mchagga kama mu-israeli, hashindwi kituHivi wewe unaakili kweli yaani kila mwaka uwe unaenda alafu uonekane wewe tuu ndio hauna hela ungeweza kuvumilia,ndio maana watu kule huwa wanajiongeza kufanya chochote ilimradi wapate pesa,na ni jeshi lipi la polisi au wapi wametangaza kwamba majambazi ni wachaga,au kuwa namali ndio ujambazi?
Samahani nilikuwa mtoro kipindi cha mwandiko. By the way informal written communication tabia yake mojawapo ni kutokuzingatia Sheria za uandishi. ( arifu=??)'Husipoelewa' ndio nini arifu?
Umemaliza kila kitu mzee, atakaeongeza kitu hpa hyo ni muongo.Natumai wote wazima.
Huu ni mwezi wa mwisho wa mwaka
Mwezi ambao unapilika nyingi sana za kumalizia dk za mwisho.
Kuna makabila mengi sana yanayopenda kuumalizia mwezi huu kwa kwenda makwao yaani sehemu walikozaliwa.
Nitazungumzia Wachagga sababu mi mwenyewe natokea huko.
Sababu za kwenda makwao December
1. Kupumzika,hii ni baada ya kufanya kazi kwa mwaka mzima,bila kwenda.
2. Kuchinja mbu zi, hapa kuna za matambiko na za kawaida. Matambiko haya ni kushukuru wazee wao kwa baraka walizopata kwa kipindi chote.
3. Sherehe mbalimbali. Komunuo, kipaimara, ubatizo, Xmas na mwaka mpya wenyewe.
4. Utambulisho mbalimbali kama mke, mchumba,gari jipya,nyumba mpya n.k
5. Kukutana na watu mbalimbali ambao hamuonani baada ya kipindi hicho kama, classmates, majirani,ndugu na jamaa.
6. Utekelezaji wa miradi mbalimbali kama ujenzi wa nyumba, ukarabati wa nyumba, njia mashamba n.k
Kutokana na sababu hizo wanaokwenda ni watu wote wa dini zote
Ukienda tofauti na kipindi hiki huwezi kukuta watu wengi sana. Kipindi hiki hakuna kaya utakayokuta haina furaha.
CHANGAMOTO
Kama umeenda na huna chochote kitu,utakumbana na ubaguzi na manyanyaso makubwa sana labda usiwe mzawa wa hapo.
Vijana wenzako wanawajengea wazazi wao nyumba ww huna kitu,wameenda na magari ww huna kitu. Umeshindwa hata kujenga choo hapo nyumbani?
Maswali fikirishi
Utaulizwa mjini ulifata nini? Bora ungelima hata huku shambani tu tujue kabisa kweli huna kazi?
Kama ni Dar, utaulizwa kwani Daslama unayokaa wewe ni hiyo hiyo anakaa mtoto wa Massawe?[emoji23][emoji23] Utajibu nini hapo?
Kipindi hicho wenye vitu,mali pesa ndio wenye akili na maamuzi. Una vyeti vyako,una elimu kubwa lakini kama hujafanya chochote au hauko vizuri na wazazi wewe ni takataka tu.
Kwa sababu tajwa hapo juu kumbuka sio wote wanakwenda kwa sababu zote bali lazma sababu mojawapo ihusike.
Ni kipindi chenye shangwe na furaha sana.
Karibuni watu wa maeneo mengine mtupe sababu za kwenda na changamoto zake. Ruksa kujazia pia hapo.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]'Husipoelewa' ndio nini arifu?
Wananyimwa likizo ofisini?watu wenye wivu tu, hata maofisi mengine wananwanyiwa wachggga likizo lakini mchagga kama mu-israeli, hashindwi kitu
Sina imani hiyo.Na wewe nenda kwenu ukatambike
Kongole bro/sister, nenda kapate tu japo baraka za wazee.Tarehe 21 naingia home hata kama sina hela ya kueleweka
Unaemtumikia hatupendi katu asilani, mwambie ata afanyeje hatuwezi atachemsha yeye, wachaga ni taifa teule lililobarikiwa.Ameacha mafunzo ya wizi na utapeli
Mi mwenyewe nagombaniwa kinyama na madem eti kisa mchagaWatu wengi wanatamani kuwa wachagga!
Kweli sister. ..zimelegea mpaka zinakua Kama maji ya kufunga(Mabusha)