1.5M ndo mshahara mkubwa?1.5M mshahara mkubwa?
Scale haziko standard mzee..Daktari anaye fanya kazi Muhimbili anayo scale tofauti ya mshahara na yule Daktari anayefanya kazi hospitali ya mkoa ama hospitali ya wilaya ama Kituo cha afya. Yule wa muhimbili salary yake ni kubwa. Sijazungumzia posho.Siyo kweli.Kuna scale za mshahara za Serikali zipo standard.Labdq uajiriwe Kwa Mkataba kama Consultant au mtekeleAjo wa Mradi.Kama upo MoH grade yako ni Ile Ile,kama unaingia Mradi kama NACP au NTLP itaongezeka Posho ya Kazi Tu.Mshahara itabaki wa scale yako.
NACP ndio imebadilishwa imekuwa NASHCoP1.Osha
2.NIMR
3.Oshen Road
4.NashCop
5.MOI
6.NACP
NB: uzi uliokuepo hakuongelea sana taasisi za Afya
Thread ifungwe wachangiaji tukalale jamani......1.5M mshahara mkubwa?
asante mkuu kwa taarifaNACP ndio imebadilishwa imekuwa NASHCoP
Kalale we katotoThread ifungwe wachangiaji tukalale jamani......
Kweli kabisa maana muhimbili inajiendeshwa kama specilised hospitalScale haziko standard mzee..Daktari anaye fanya kazi Muhimbili anayo scale tofauti ya mshahara na yule Daktari anayefanya kazi hospitali ya mkoa ama hospitali ya wilaya ama Kituo cha afya. Yule wa muhimbili salary yake ni kubwa. Sijazungumzia posho.
Kupanda yaan hiyo n kima cha chini1.5M ndo mshahara mkubwa?
KumefanyajeOSHA ?
Ndo nini?Kumefanyaje
Twende tukalale bana, umeniamsha bure tu yani kweli 1.5 ndio salary ya maana......njoo tulale uko wapi.Kalale we katoto
Si kweli mkuu Taasisi zinamishara hakeSiyo kweli.Kuna scale za mshahara za Serikali zipo standard.Labdq uajiriwe Kwa Mkataba kama Consultant au mtekeleAjo wa Mradi.Kama upo MoH grade yako ni Ile Ile,kama unaingia Mradi kama NACP au NTLP itaongezeka Posho ya Kazi Tu.Mshahara itabaki wa scale yako.
Hatariiiiii 😂 Ogopaaa😁