Hizi ndizo taasisi za afya zenye mishahara mikubwa

Guys me ni jobless, bado nasoma ila nataka kuchangia kidogo, kuna ndugu yangu ni mwalimu wa IST, sijajua mshahara wake lakini anamjengo mkali sana ghorofa na ndinga (subaru forester), yeyote anayejua wale walimu wanalipwa kiasi gani atutonye aisee 😅...
 

Subaru Forester? Ya mwaka gani hiyo ndinga kali??
 
Wanalipwa parefu ila kuhsu kumiliki magorofa kawaida kwa sababu unavyolipwa zaidi unakuwa na leverage kubwa ya kupata mkopo ...Mfano mtu analipwa milion 5 basi anaweza kupata mkopo zaidi kuliko wa mil 3.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…