Hizi ndizo top ten taasisi private sector zinazolipa vizuri

mkuu nina mpango kwenda kuomba hapo tbl..vipi mow bdo kupo vzri?nna degree ya uhandisi magari na mitambo (automobile Eng)
 
Bila Amref Tanzania na World vision list ni fake unless umezi include kwenye USAID projects
Unafanya kazi huko au kwakua unayaona magari yao yanapiga misele mjini na vijijini? Siri wanaijua wanaofanya kazi huko na kamwe hawawezi kukuambia ukweli
 
mkuu nina mpango kwenda kuomba hapo tbl..vipi mow bdo kupo vzri?nna degree ya uhandisi magari na mitambo (automobile Eng)
Automobile ukienda kufanya kazi hautaitumia vizuri fani yako.
Halafu bahati mbaya pale hawaangalii sana vyeti vyako au fani yako.
Wewe kwa fani inafaa ukafanye kazi Toyota,Scania,Temesa,hata Tanesco,TPDC,SONGAS,WARTISILA.
Lakini kama lengo lako ni kupata pesa tu za kujikimu na haujali kuhusu CV yako unaweza kwenda hata hapo TBL.
Na pale staili yao huwa hawatangazi external vacancies mara nyingi ni internal vacancies so inabidi utafute mtu anayefanya kazi pale akiona matangazo awe anakurushia unaapply.
 
mkuu nina mpango kwenda kuomba hapo tbl..vipi mow bdo kupo vzri?nna degree ya uhandisi magari na mitambo (automobile Eng)
Kati ya mechanical engineering na Automobile engineering ipo ni the best for ur experience mkuu ?

Unaweza kunielezea Automobile engineering kwa undani kidogo?
 
Sawa mkuu shukrani sana...wanalipa vizuri lakini?
 
Kati ya mechanical engineering na Automobile engineering ipo ni the best for ur experience mkuu ?

Unaweza kunielezea Automobile engineering kwa undani kidogo?
AUTOMOBILE ENGINEERING Ni Uhandisi magari na mitambo...ila Mkuu nisikupotoshe soma MECHANICAL..maana unaweza kuta mwaka mzima serikali haijatoa posts za Automobile engineers..ila mechanical ni pana mno..tofauti na Auto..Halafu maHR wengi wanaiconfuse na ufundi gereji maana nshaenda kampuni kama 4 hivi wote wanahisi ni ufundi gereji...
 
Shukran saana kiongozi Nina dogo ndio huwa ananiuliza asome zipi kati ya
•Automobile engineering
•Mechanical engineering
•Eletrical engineering
•Laboratory technology
Kikubwa anataka yenye uwanja mpana wa kuajiriwa
 
Kuna mwamba aliingia USAID projects mwaka 2009 alipohitimu Bachelor ya kwanza, hadi sasa amezamia kwenye hayo maprojects.

Asali kaila haswa, life lishatiki kitambo sana, sasa ndio yupo kwenye late 30's.

Hizi project unaingiaje chief?
 
Shukran saana kiongozi Nina dogo ndio huwa ananiuliza asome zipi kati ya
•Automobile engineering
•Mechanical engineering
•Eletrical engineering
•Laboratory technology
Kikubwa anataka yenye uwanja mpana wa kuajiriwa
Adeal na mechanical au electrical mkuu..Auto atakaa sn kitaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…