Hizi ndizo top ten taasisi private sector zinazolipa vizuri

Soma Diploma ya Engineering kati ya Mechanical au Electrical. Ukihitimu kapige Biomedical Engineering.
Kozi nzuri sana hizi ata kama itamchukua muda mrefu kupata ajira ila siku akipata ndani ya miezi michache tu atakua na pesa sio kitoto.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
kote nshaomba hadi kukata tamaa ndugu yngu
Usichoke Wala kukata tamaa,hebu tafuta NGO inayohusiana na Environment issues ujitolee. Kama Kuna ugumu wa kupata nafasi ya kujitolea,hebu watafute alumni wenzako wenye ujuzi tofauti na kwako muanzishe na kusajili non profit or profit NGO,then muanze kaze.
Karibu pm
 
Hivi kuanzisha NGO ni rahisi? Mnapataje hela?
 
Usichoke Wala kukata tamaa,hebu tafuta NGO inayohusiana na Environment issues ujitolee. Kama Kuna ugumu wa kupata nafasi ya kujitolea,hebu watafute alumni wenzako wenye ujuzi tofauti na kwako muanzishe na kusajili non profit or profit NGO,then muanze kaze.
Karibu pm
Shukrani sana boss
 
Back
Top Bottom