Hizi ndizo top ten taasisi private sector zinazolipa vizuri

Hizi ndizo top ten taasisi private sector zinazolipa vizuri

Kuna mwamba aliingia USAID projects mwaka 2009 alipohitimu Bachelor ya kwanza, hadi sasa amezamia kwenye hayo maprojects.

Asali kaila haswa, life lishatiki kitambo sana, sasa ndio yupo kwenye late 30's.
Tatizo kubwa LA Waswahili tunaishi kwa UNAFIKI sana na SIRI nyiiingi.

Kiuhalisia hapa watu wanataja viwango kwa kuhisi hisi tu, na wanaojua hawawezi kushea hata iweje. Hii ndio bongo huwezi kupata taarifa za maana sana online.

Mimi wakati naanza kazi serikalini, nilikuta watu wenye Diploma tu, katika moja ya mashirika ya USAIDS wanakunja 3M kwa mwezi. Baadaye BMF wakashawishi hilo shirika liachane na Manpower libaki kuwa Donor. BMF wakaanza kulipa scales za serikali. Imagine ulikuwa unapewa 3M unaaza kupewa Laki 5, wengine wakaacha kazi na wengine wakaendelea.

In short, sekta binafsi wanufaika ni wachache mno.
 
Back
Top Bottom