Hizi ndizo top ten taasisi private sector zinazolipa vizuri

Hizi ndizo top ten taasisi private sector zinazolipa vizuri

1. Walter Reed foundation
2. USAID projects
3. TBL
4. SBL
5.TCC
6. Twiga Cement
7. Mbeya Cement
8. Alliance One Tobacco
9. Coca Cola
10. Toyota Tanzania
Ngoja kwanza nicheke...kwa utafiti wako unaona hizo taasisi wanalipwa average kiasi gani ambayo kwa mujibu wako ndo kubwa?
 
Hizo kampuni nyingi hapo kwenye list zilikuwa na hela zamani sasa hivi zimebaki majina tu na umaarufu lakini hakuna kitu.
Kwa mfano kama hiyo TBL imeuzwa kutoka SABMILLER wakawauzia ABINBEV na sasa hivi wasimamizi wakuu ni wahindi wameharibu mifumo yote ikiwemo kubadilisha scales za mishahara na kuongeza majukumu ya kazi maana walipunguza wafanyakazi.
Jamani kuna kampuni zina mipunga mirefu watu wanakula kimyakimya hazivumi.
Tembeeni kule Arusha kwenye kampuni za utalii ndio mtajua ninachokisema,mimi nilifanikiwa kwenda nikajionea kwa macho yangu,ngoja niwape kastori fulani hivi mtanielewa kidogo kuna kipindi niliitwa interview Arusha kwenye kampuni moja ya utalii nilikuwa siifahamu kabla ya hapo ila niliona tangazo lao online nikaomba kimasihara tu sikujua kama wangeniita.
Walinipigia simu niende kwa ajili ya interview nikapanda bus hadi Arusha nikalala lodge asubuhi yake nikafika kwenye ofisi ilipo kwa kuulizia.
Basi baada ya kufika pale nikacheki mazingira yao majengo ni kama shule ya msingi,basi nikajisemea kimoyomoyo" hapa nimeingia cha kike,wataweza kunilipa kweli hawa mshahara ninaotaka"
Basi interview ikaanza na swali la mwisho wakaniuliza"unatarajia ulipwe mshahara wa kiasi gani?Mimi nikajibu natarajia nilipwe 4m,ila moyoni najisemea wakishindwa kunilipa hiyo potelea mbali,interview ikaisha nikarudi mkoani kwangu.
Baada ya wiki 2 wakanipigia simu nikasaini mkataba na kuanza kazi.
Sasa baada ya miezi kadhaa kupita nikaja kugundua kuna watu wanakunja mkwanja mara 2 hadi na wengine mara 3 ya pesa ninayolipwa mimi na kazi zetu haziachani sana.
Hapo nikabaki mdomo wazi nikasema kumbe kuna watu hii nchi wanakula pesa ndefu kimyakimya huwezi kujua hadi upewe connection ya kuingia huko.
Naomba connection mkuu!
 
Nimefanya hapo Kazi Kuanzaia 2016 hadi 2019.. So I am certain of the matter...
 
Shukran saana kiongozi Nina dogo ndio huwa ananiuliza asome zipi kati ya
•Automobile engineering
•Mechanical engineering
•Eletrical engineering
•Laboratory technology
Kikubwa anataka yenye uwanja mpana wa kuajiriwa
kama anataka upana wa kuajiriwa mwambie asome civil
 
1. Walter Reed foundation
2. USAID projects
3. TBL
4. SBL
5.TCC
6. Twiga Cement
7. Mbeya Cement
8. Alliance One Tobacco
9. Coca Cola
10. Toyota Tanzania
Umefanya kazi kote huko? Au story tu za vijiweni?
 
Back
Top Bottom