Hizi ndizo tweets za Mo Dewji kabla ya kuzifuta, inaonekana kuna tatizo Simba!

Hizi ndizo tweets za Mo Dewji kabla ya kuzifuta, inaonekana kuna tatizo Simba!

Elon ushamuona anatweet kulia lia kama Mo,jifunze kukubali ukweli
Sana tu yaaani Sana tu Elon mara ngap analia watu wanunue dogecoin zake??Juzi katuko kulialia anawaomba McDonald waanze kutumia dogecoin kama njia ya malipo kwa wateja wake.....Akifanya mzungu ni mjanja ila akitwiti mwamedi wetu analia,mara ushamba mara tajiri wa mchongo(haya yote ni MANENO YA WAKOSAJI) Ivi ata wewe ungeweka mzigo kwenye team na bado team inayumba ungekaa kimya??
 
Hizo Twitte haziwezi kuwa Za Mo. Mo hana Huo Mwandiko wa kuandika “Kw” badala ya “Kwa” , “heshma” badala ya “Heshima”, “Tranformtaion” badala ya “Transformation”
 
Back
Top Bottom