McCollum
JF-Expert Member
- Jan 10, 2023
- 384
- 684
Watoto wanaolelewa na ma-single parent, either wanaoishi na wakina baba tu au wakina mama pekee wanajazwa chuki na malezi yao yanakosa mlinganyo mzuri.
==============================
Salamu, kwa walionizidi umri nawapa salamu yangu ya heshima, kwa wengine itoshe kusema habari za saizi. Kabla sijafika kwenye mada nawapa pole mashabiki wa Manchester United baada ya kunyukwa 7 sing'ori (AKA 7 bila, au 7 mtungi).
Naomba niende moja kwa moja kwenye mada, ninapozungumzia "single parent" hapa ninaangalia mzazi wa kiume pekee ambaye analea watoto au mzazi wa kike pekee anayelea watoto. Japo kuna kundi kubwa la watu wanaoamini kwamba single parent mara nyingi ni neno linaloleta maana pale anapozungumziwa mwanamke na kupachikwa jina la single mother lakini ni kwamba neno single parent linaenda kwa wanawake na wanaume.
Baada ya kuelewa neno single parent kwasasa tuangalie athari ambazo mtoto anazipata anapolelewa na single parent, kabla sijazitaja hizo athari inatakiwa ifahamike kwamba si kwamba kwa asilimia 100 kila mtoto anaye/aliye/atakayelelewa na single parent atazipata athari nitazoziorodhesha
Athari za malezi ya single parent ni kama zifuatazo kama zinavyotajwa na kuelezewa hapo chini:-
•Kujazwa chuki za dhidi ya wazazi wenza; kwa bahati mbaya sana wazazi ambao huwalea watoto wao kivyaovyao bila wazazi wenzao huwatumia watoto kama sehemu ya kushushia machungu. Unakuta kutoka January hadi December single parent huyo anamkandia mkewe au mmewe ambaye kwasasa hashiriki katika malezi ya mtoto au anashiriki ila kwakusuasua.
Kwa mara nyingine mzazi mwenza ambaye haishi na single parent anaweza kuwa anachangia mahitaji ya msingi ya malezi ya mtoto ila mtoto anazidi kuweka/kupandikiza chuki kupitia kwa mtoto.
Kwa bahati mbaya mtoto anakua akiwa anachukia wanaume au wanawake na kuishia kuwa-despiss kwenye maisha yake yote, ni jambo la kawaida zao (mtoto) la single parent kuwa na kauli kama hizi "wanawake ni watu wa hovyo sana, zaidi ya sex hana cha kuni-offer" , " mwanaume ni kiumbe cha hisia, kuchovyachovya kwa kila mwanamke ndio hulka yake--anaishi kama mserebuaji wa kiungo chake cha uzazi.
•Malezi yasiyo na mlinganyo sahihi; Kimalezi mtoto anatakiwa kulelewa na baba na mama, ila kama yatatokea mambo fulani ambayo yatafanya malezi hayo yashindikane kutakuwa hakuna namna kwani malezi kwa asilimia zaidi ya 90 yatasimamiwa na mzazi wa jinsia moja.
Hata kama single mother au single father anaishi na mtoto wake peke yake inabidi ajitahidi kumpata mtu ambaye atakuwa ana-balance malezi ya mtoto wake, licha ya kuwa dunia imebedilika inabidi mzazi ajifunze ku-play sides mbili yaani ya mzazi wa kiume na mzazi wa kike ili ahakikishe malezi yanakuwa sawa.
Malezi yaliyokosa mlinganyo sahihi husababisha watoto kulelewa na kukua wakiwa na tabia ambazo ni totally za kiume tu au kike tu bila ya kujali jinsia zao (Japo si wote huwa hivyo), mtoto wa kiume aliyelelewa na mama tu na kwakuwa cycle yake kubwa ilikuwa ya wanawake anaweza kukosa kariba ya kiume (Kujiamini na kujua namna ya kuji-position kama kiongozi/kichwa cha familia) na kuishia kuwa na tabia rojo rojo ambazo hazimjengi kuwa baba bora mbeleni, kwa bahati mbaya watoto wengine (percentage kadhaa) upatwa na over-obsession ya matendo na jinsia ya kike na kujikuta wakizifuga tabia za kikikekike (Hata baadhi ya watoto ambao hawakupitia malezi ya single parent nao hujiingiza kwenye dimbwi hili).
Movies zinazotazama u-single father:-
About a boy (2002)
Romulus, My father (2007)
My father's Glory (1990)
Martian Child (2007)
Jersey Girl (2004
Shameless (2011)
Movies zinazotazama U-single mother:-
Chocolat
Gilmore Girl (2000)
Mommy (2004)
Eric Brockovich (2000)
Weeds (2005)
Kwa leo tuishie hapa, kama una maoni yako unaweza kuyaandika hapo chini.
Sent using Tecno H5