Hizi ni baadhi ya athari za malezi ya single parents

Acha Mambo ya kihuni,,,Sasa unavyosema tumefungwa wiki unamaaniasha kila siku ya wiki tuna bao moja?au una maanisha Nini?
7 gawanya kwa siku saba unapata goli moja kila siku inayorudi kwa Muumba 😂😂😂. Just simple math, hakuna uhuni hapo.

Tuachane na Man Utd, it 's getting hot here
 
Very Hot... Anyway shit happens
 
Kwahiyo unamaanisha kuoa kunafanya afya ya akili ya mtu iwe mashakani? Kama hautojali unaweza kuielezea hii hata kwa paragraph moja.
Ikiwa short and detailing nitafurahi mno.
Mkuu ishi ukijua wanawake wanaotambua maana ya ndoa hawafiki 10 , wengi hawajitambui na sheria za ndoa ni mbovu mno , kutokana na haya mda wowote akili yako inaweza athirika ,ukafika hata maamuzi ya kufanya mauaji, hii nimeongea nikiwa kama mwanaume , pia wanawake wana yao mengi ya kupinga au kukubali ndoa.
 
So kiufupi upo against ndoa?
 
Watoto wanaolelewa na ma-single parent, either wanaoishi na wakina baba tu au wakina mama pekee wanajazwa chuki na malezi yao yanakosa mlinganyo mzuri.

==============================

Salamu, kwa walionizidi umri nawapa salamu yangu ya heshima, kwa wengine itoshe kusema habari za saizi. Kabla sijafika kwenye mada nawapa pole mashabiki wa Manchester United baada ya kunyukwa 7 sing'ori (AKA 7 bila, au 7 mtungi).

Naomba niende moja kwa moja kwenye mada, ninapozungumzia "single parent" hapa ninaangalia mzazi wa kiume pekee ambaye analea watoto au mzazi wa kike pekee anayelea watoto. Japo kuna kundi kubwa la watu wanaoamini kwamba single parent mara nyingi ni neno linaloleta maana pale anapozungumziwa mwanamke na kupachikwa jina la single mother lakini ni kwamba neno single parent linaenda kwa wanawake na wanaume.

Baada ya kuelewa neno single parent kwasasa tuangalie athari ambazo mtoto anazipata anapolelewa na single parent, kabla sijazitaja hizo athari inatakiwa ifahamike kwamba si kwamba kwa asilimia 100 kila mtoto anaye/aliye/atakayelelewa na single parent atazipata athari nitazoziorodhesha.

Athari za malezi ya single parent ni kama zifuatazo kama zinavyotajwa na kuelezewa hapo chini:-

•Kujazwa chuki za dhidi ya wazazi wenza; kwa bahati mbaya sana wazazi ambao huwalea watoto wao kivyaovyao bila wazazi wenzao huwatumia watoto kama sehemu ya kushushia machungu. Unakuta kutoka January hadi December single parent huyo anamkandia mkewe au mmewe ambaye kwasasa hashiriki katika malezi ya mtoto au anashiriki ila kwakusuasua.

Kwa mara nyingine mzazi mwenza ambaye haishi na single parent anaweza kuwa anachangia mahitaji ya msingi ya malezi ya mtoto ila mtoto anazidi kuweka/kupandikiza chuki kupitia kwa mtoto.

Kwa bahati mbaya mtoto anakua akiwa anachukia wanaume au wanawake na kuishia kuwa-despiss kwenye maisha yake yote, ni jambo la kawaida zao (mtoto) la single parent kuwa na kauli kama hizi "wanawake ni watu wa hovyo sana, zaidi ya sex hana cha kuni-offer" , " mwanaume ni kiumbe cha hisia, kuchovyachovya kwa kila mwanamke ndio hulka yake--anaishi kama mserebuaji wa kiungo chake cha uzazi.

•Malezi yasiyo na mlinganyo sahihi; Kimalezi mtoto anatakiwa kulelewa na baba na mama, ila kama yatatokea mambo fulani ambayo yatafanya malezi hayo yashindikane kutakuwa hakuna namna kwani malezi kwa asilimia zaidi ya 90 yatasimamiwa na mzazi wa jinsia moja.

Hata kama single mother au single father anaishi na mtoto wake peke yake inabidi ajitahidi kumpata mtu ambaye atakuwa ana-balance malezi ya mtoto wake, licha ya kuwa dunia imebedilika inabidi mzazi ajifunze ku-play sides mbili yaani ya mzazi wa kiume na mzazi wa kike ili ahakikishe malezi yanakuwa sawa.

Malezi yaliyokosa mlinganyo sahihi husababisha watoto kulelewa na kukua wakiwa na tabia ambazo ni totally za kiume tu au kike tu bila ya kujali jinsia zao (Japo si wote huwa hivyo), mtoto wa kiume aliyelelewa na mama tu na kwakuwa cycle yake kubwa ilikuwa ya wanawake anaweza kukosa kariba ya kiume (Kujiamini na kujua namna ya kuji-position kama kiongozi/kichwa cha familia) na kuishia kuwa na tabia rojo rojo ambazo hazimjengi kuwa baba bora mbeleni, kwa bahati mbaya watoto wengine (percentage kadhaa) upatwa na over-obsession ya matendo na jinsia ya kike na kujikuta wakizifuga tabia za kikikekike (Hata baadhi ya watoto ambao hawakupitia malezi ya single parent nao hujiingiza kwenye dimbwi hili).

Movies zinazotazama u-single father:-
About a boy (2002)
Romulus, My father (2007)
My father's Glory (1990)

Martian Child (2007)
Jersey Girl (2004)
Shameless (2011)

Movies zinazotazama U-single mother:-
Chocolat
Gilmore Girl (2000)
Mommy (2004)
Eric Brockovich (2000)
Weeds (2005)

Kwa leo tuishie hapa, kama una maoni yako unaweza kuyaandika hapo chini.

Sent using Tecno H5
kila binadamu anazaliwa na tabia., uelewa , personalality, wa peke yake mkuu .Nimeona familia nyingi zenye wazazi wote hata wenye mzazi mmoja wanakua tofauti kitabia, Mtu unapozaliwa unakua identity yako mwenyewe hata kama hutaionesha mbele za watu au wazazi. Malezi yanachangia asilimia kama 5 zilizobaki ni mtu mwenyewe alivozaliwa watz inabidi tufahamu hili
 
Hauzaliwi ukiwa na tabia fulani ila unajifunza unapoanza kuishi
 
tabia inategemeana na nature yako jinsi ulivozaliwa ndio maana uakuta kuna watu wazazi wao ni hao hao ila uakuta ni watu wawili tofauti hawafanan au uakuta watu wanakua kwenye mazingira yanayofanana ila kila mmoja anakua mienendoi yake tofauti
 
Tabia hauzaliwi nayo, tabia inajengwa unapoendelea kuishi na kuiishi. Hauzaliwi ukiwa jambazi ila unajifunza tabia ya ujambazi ukiwa unaendelea kuishi na kuiishi
 
Watoto wanaolelewa na ma-single parent, either wanaoishi na wakina baba tu au wakina mama pekee wanajazwa chuki na malezi yao yanakosa mlinganyo mzuri.

==============================

Salamu, kwa walionizidi umri nawapa salamu yangu ya heshima, kwa wengine itoshe kusema habari za saizi. Kabla sijafika kwenye mada nawapa pole mashabiki wa Manchester United baada ya kunyukwa 7 sing'ori (AKA 7 bila, au 7 mtungi).

Naomba niende moja kwa moja kwenye mada, ninapozungumzia "single parent" hapa ninaangalia mzazi wa kiume pekee ambaye analea watoto au mzazi wa kike pekee anayelea watoto. Japo kuna kundi kubwa la watu wanaoamini kwamba single parent mara nyingi ni neno linaloleta maana pale anapozungumziwa mwanamke na kupachikwa jina la single mother lakini ni kwamba neno single parent linaenda kwa wanawake na wanaume.

Baada ya kuelewa neno single parent kwasasa tuangalie athari ambazo mtoto anazipata anapolelewa na single parent, kabla sijazitaja hizo athari inatakiwa ifahamike kwamba si kwamba kwa asilimia 100 kila mtoto anaye/aliye/atakayelelewa na single parent atazipata athari nitazoziorodhesha.

Athari za malezi ya single parent ni kama zifuatazo kama zinavyotajwa na kuelezewa hapo chini:-

•Kujazwa chuki za dhidi ya wazazi wenza; kwa bahati mbaya sana wazazi ambao huwalea watoto wao kivyaovyao bila wazazi wenzao huwatumia watoto kama sehemu ya kushushia machungu. Unakuta kutoka January hadi December single parent huyo anamkandia mkewe au mmewe ambaye kwasasa hashiriki katika malezi ya mtoto au anashiriki ila kwakusuasua.

Kwa mara nyingine mzazi mwenza ambaye haishi na single parent anaweza kuwa anachangia mahitaji ya msingi ya malezi ya mtoto ila mtoto anazidi kuweka/kupandikiza chuki kupitia kwa mtoto.

Kwa bahati mbaya mtoto anakua akiwa anachukia wanaume au wanawake na kuishia kuwa-despiss kwenye maisha yake yote, ni jambo la kawaida zao (mtoto) la single parent kuwa na kauli kama hizi "wanawake ni watu wa hovyo sana, zaidi ya sex hana cha kuni-offer" , " mwanaume ni kiumbe cha hisia, kuchovyachovya kwa kila mwanamke ndio hulka yake--anaishi kama mserebuaji wa kiungo chake cha uzazi.

•Malezi yasiyo na mlinganyo sahihi; Kimalezi mtoto anatakiwa kulelewa na baba na mama, ila kama yatatokea mambo fulani ambayo yatafanya malezi hayo yashindikane kutakuwa hakuna namna kwani malezi kwa asilimia zaidi ya 90 yatasimamiwa na mzazi wa jinsia moja.

Hata kama single mother au single father anaishi na mtoto wake peke yake inabidi ajitahidi kumpata mtu ambaye atakuwa ana-balance malezi ya mtoto wake, licha ya kuwa dunia imebedilika inabidi mzazi ajifunze ku-play sides mbili yaani ya mzazi wa kiume na mzazi wa kike ili ahakikishe malezi yanakuwa sawa.

Malezi yaliyokosa mlinganyo sahihi husababisha watoto kulelewa na kukua wakiwa na tabia ambazo ni totally za kiume tu au kike tu bila ya kujali jinsia zao (Japo si wote huwa hivyo), mtoto wa kiume aliyelelewa na mama tu na kwakuwa cycle yake kubwa ilikuwa ya wanawake anaweza kukosa kariba ya kiume (Kujiamini na kujua namna ya kuji-position kama kiongozi/kichwa cha familia) na kuishia kuwa na tabia rojo rojo ambazo hazimjengi kuwa baba bora mbeleni, kwa bahati mbaya watoto wengine (percentage kadhaa) upatwa na over-obsession ya matendo na jinsia ya kike na kujikuta wakizifuga tabia za kikikekike (Hata baadhi ya watoto ambao hawakupitia malezi ya single parent nao hujiingiza kwenye dimbwi hili).

Movies zinazotazama u-single father:-
About a boy (2002)
Romulus, My father (2007)
My father's Glory (1990)

Martian Child (2007)
Jersey Girl (2004)
Shameless (2011)

Movies zinazotazama U-single mother:-
Chocolat
Gilmore Girl (2000)
Mommy (2004)
Eric Brockovich (2000)
Weeds (2005)

Kwa leo tuishie hapa, kama una maoni yako unaweza kuyaandika hapo chini.

Sent using Tecno H5
Miongoni mwa sababu zinazopelekea hii hali ni migogoro ya kimahusiano na ndoa.Mtoa mada na jamii husika wamekariri kuwa hii ni sababu kuu!!!!!!!!!!Hali hii hupelekea mzazi mmoja hasa mwanamke kubebeshwa lawama na mzigo mkubwa!!!!!!!!!!

Tuwe na picha pana la hili tatizo mimi naanza na kifo au vifo vya wazazi wa mtoto au watoto. ukiwa na picha pana hutakuwa mtu wa kupenda kulaumu upande mmoja!!!!!!!!!!!

Ni mtazamo!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Tabia hauzaliwi nayo, tabia inajengwa unapoendelea kuishi na kuiishi. Hauzaliwi ukiwa jambazi ila unajifunza tabia ya ujambazi ukiwa unaendelea kuishi na kuiishi
ushawahi kuona mtoto wa miaka 3 anaanza wizi?? unajuliza huyu kamuona nani?# au kitoto kidogo kinakua kiongo haswa au unakuta mtoto mdogo ila hata wazazi wake wanajua huyu ni mchoyo?? au unakuta mtoto mwingine yeye mkorofi mwingine mpole mwingine yeye hapendi kuongea sasa hizi ni tabia amabazo watu tunakua umezaliwa nazo ambazo baadaye zinazaa tabia nyingine ni nature ....ndio maana hata mtoto akizaliwa ana namna yake ya kutaka kunyonya, namna ya kulala schedule ya kulia n.k
 
Miongoni mwa sababu zinazopelekea hii hali ni migogoro ya kimahusiano na ndoa.Mtoa mada na jamii husika wamekariri kuwa hii ni sababu kuu!!!!!!!!!!Hali hii hupelekea mzazi mmoja hasa mwanamke kubebeshwa lawama na mzigo mkubwa!!!!!!!!!!

Tuwe na picha pana la hili tatizo mimi naanza na kifo au vifo vya wazazi wa mtoto au watoto. ukiwa na picha pana hutakuwa mtu wa kupenda kulaumu upande mmoja!!!!!!!!!!!

Ni mtazamo!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Hakukuwa na sababu ya ku-bold ili kuweka msisitizo. Pitia thread kwa taratibu kuna kitu ambacho uliposoma haukukielewa vizuri ukirudia utaelewa
 
ushawahi kuona mtoto wa miaka 3 anaanza wizi?? unajuliza huyu kamuona nani?# au kitoto kidogo kinakua kiongo haswa au unakuta mtoto mdogo ila hata wazazi wake wanajua huyu ni mchoyo?? au unakuta mtoto mwingine yeye mkorofi mwingine mpole mwingine yeye hapendi kuongea sasa hizi ni tabia amabazo watu tunakua umezaliwa nazo ambazo baadaye zinazaa tabia nyingine ni nature ....ndio maana hata mtoto akizaliwa ana namna yake ya kutaka kunyonya, namna ya kulala schedule ya kulia n.k
Unakubaliana na mimi ila maneno unayoyatumia yanakingana na unachokiamini kutoka kwenye maandishi yangu. Tabia hauzaliwi nayo
 
KWA maisha ya ndoa single parent sio chaguo sahihi wamekosa balance. Pili usiingie kwenye ndoa na mtu yeyeto aliyekosa Upendo utotoni. Labda tu awe ni selfmade yaani aliye na uwezo wa kuyafuta yote mabaya ya nyuma na akakubali kuingiza mapya.
Wengi wanaishi experience za wazazi wao.
 
tabia unazaliwa nazo kinachookea ukubwani personality, mienendo, misimamo inatgemea mtu alivyo it has nothing to do with how someone have been raised
 
Tabia hauzaliwi nayo, kaa nayo hii kichwani. Hii ndio fact pekee ambayo unatakiwa kuishika
 
KWA maisha ya ndoa single parent sio chaguo sahihi wamekosa balance. Pili usiingie kwenye ndoa na mtu yeyeto aliyekosa Upendo utotoni. Labda tu awe ni selfmade yaani aliye na uwezo wa kuyafuta yote mabaya ya nyuma na akakubali kuingiza mapya.
Wengi wanaishi experience za wazazi wao.
Na kwenye kufuta hapo ndo pagumu, kiufupi mtu aliyekosa upendo wa either baba au mama pindi alipokuwa mtoto kuishi naye ni shida kubwa mno
 
Tabia hauzaliwi nayo, kaa nayo hii kichwani. Hii ndio fact pekee ambayo unatakiwa kuishika
we unadhani watu wale wanaokuwaga wapole huwa unakuta amezaliwa hivyo sasa kwenye kukua uakuta kwa vile yeye ni mpole lazima mambo yake ni chini chini ndo maana utasikia wapole wankuaga na hasira au uakuta mtu historia yake tokea mtoto ni mkorofi sasa mara nyingi akiwa mkorofi uakuta yumo kwenye pombe sigara kuokana na nature ya alivyozaliwa...
 
Back
Top Bottom