Hizi ni baadhi ya athari za malezi ya single parents

Hizi ni baadhi ya athari za malezi ya single parents

we unadhani watu wale wanaokuwaga wapole huwa unakuta amezaliwa hivyo sasa kwenye kukua uakuta kwa vile yeye ni mpole lazima mambo yake ni chini chini ndo maana utasikia wapole wankuaga na hasira au uakuta mtu historia yake tokea mtoto ni mkorofi sasa mara nyingi akiwa mkorofi uakuta yumo kwenye pombe sigara kuokana na nature ya alivyozaliwa...
Tabia hauzaliwi nayo, hii ndio fact.
 
Nikisema ice point ya maji ni 0°C hatuhitaji mfano wa kujazia, fact hazihitaji mifano.
hii tabia ya binadamu jibu kwanini unaambiwa huyu alizaliwa na tabia ya ukorofi??? au utasikia tokea yuko mdogo ni muongo sana hayuko kama kaka zake?? tabia unazaliwa nayo za ukubwani ni matokeo inborn na mazingiro ndio maana unaweza kuwa kwenye group au mazingira fulani yanayolazmisha au kuimfluence tabia za aina fulani ila unakuta kuna watu wanabehave tofauti kabisa mkuu....weka hoja
 
Single parenting imekuwa fashion siku hizi na wengine hasa wanawake utawasikia wakijitapa kuwa ni fahari kuwa single mother. Wakati tunatambua sababu halali za mtu kuwa single parent, tunalaani na kulaumu kuwa single parent kwa fashion. U single parent unaleta shida katika maadili jamii. Mila na tamaduni hazifundishwi tena katika familia hizi.

Watoto huchukua tabia za mzazi waliyenaye na chuki juu ya mzazi asiyekuwepo ni kubwa. Ndipo basi katika malezi ya mzazi mmoja, watoto wanakosa makuzi ya kimaadili, kiutu, kihisia, na kiakili. Wanaweza kuwa watoto wa mitaani, hata kuwa na tabia za kijinai. Familia ya mzazi mmoja (kwa fashion) ni kinyume na mpango wa Mungu.

ludovick : EMM Taifa
 
Back
Top Bottom