Tabia hauzaliwi nayo, hii ndio fact.we unadhani watu wale wanaokuwaga wapole huwa unakuta amezaliwa hivyo sasa kwenye kukua uakuta kwa vile yeye ni mpole lazima mambo yake ni chini chini ndo maana utasikia wapole wankuaga na hasira au uakuta mtu historia yake tokea mtoto ni mkorofi sasa mara nyingi akiwa mkorofi uakuta yumo kwenye pombe sigara kuokana na nature ya alivyozaliwa...
mbona kuna watuTabia hauzaliwi nayo, kaa nayo hii kichwani. Hii ndio fact pekee ambayo unatakiwa kuishika
support toa mifano?Tabia hauzaliwi nayo, hii ndio fact.
True utaishi nae at your own riskNa kwenye kufuta hapo ndo pagumu, kiufupi mtu aliyekosa upendo wa either baba au mama pindi alipokuwa mtoto kuishi naye ni shida kubwa mno
Kunywa bia uondoe stress.I
Its not funny...tukijinyonga mtasikia Raha?
Nakunywa tangu tulipofungwa silewi hata sijui niaje yaaniKunywa bia uondoe stress.
Changanya na konyagiNakunywa tangu tulipofungwa silewi hata sijui niaje yaani
Labda hiyo konyagi nichanganye na double kikiChanganya na konyagi
hii tabia ya binadamu jibu kwanini unaambiwa huyu alizaliwa na tabia ya ukorofi??? au utasikia tokea yuko mdogo ni muongo sana hayuko kama kaka zake?? tabia unazaliwa nayo za ukubwani ni matokeo inborn na mazingiro ndio maana unaweza kuwa kwenye group au mazingira fulani yanayolazmisha au kuimfluence tabia za aina fulani ila unakuta kuna watu wanabehave tofauti kabisa mkuu....weka hojaNikisema ice point ya maji ni 0°C hatuhitaji mfano wa kujazia, fact hazihitaji mifano.