Hizi ni baadhi ya fursa za ajira upande wa Soka ukiachana na uwezo wa kucheza mpira

Hizi ni baadhi ya fursa za ajira upande wa Soka ukiachana na uwezo wa kucheza mpira

Kuwa kocha sio mpaka ucheze mpira na point hapo ni kwamba sababu alikuwa na passion ukocha ulikuwa part time..., hata wewe hapo unaweza ukawa na kazi yako machinga au hata daktari ukitoka kazini au weekend unawafundisha madogo mtaani ukifanya vizuri watu watakuelewa...

Moral of the story: dunia ya sasa ni ya watu multi-skilled na unahitaji adaptability kuna makocha kibao wanajitolea bila kulipwa hata senti na wengine wengi zaidi ni jobless...; Waambie madogo just follow your dreams na passion ila sio uende kusomea kuwa kocha au pundit; unaweza ukaanza kufanya ukocha na ukitaka kupata FIFA badge unachukua vijikozi vichache tena vingine online
Hapa Sasa ndio umerudi kwenye dhima Uzi kuwa mambo mengine unayoweza kufanya nje ya kucheza(ajira)ila out of passion Italy Wana vyuo na mitaala mizuri sana ya kufundishia ukocha ambayo kama una passion ni rahisi kuwa kocha mzuri
 
Back
Top Bottom