saigilomagema
JF-Expert Member
- Jun 5, 2015
- 4,683
- 7,222
Kuna chama kinafikia CHADOMO kwa uroho? Mwangalie Makengeza anataka afie madarakani, Zitto wa juzi tu ameshaachia chama. Nyie nyumbu hata miaka 100 hamuwezi kuifikia CCM, sana sana hiyo SACCOSS yenu itakufa muda wowoteMaCCM ni kama mafisi. Hayaaminiani hata kidogo. Walichomfanyia Magufuli, Mungu atawalipa hapa hapa duniani.
Sijawahi kuona majitu maroho na yasiyokuwa na utu kama maCCM. Haya ni majitu ya ovyo sana kuwahi kuwepo hapa ulimwenguni.
hilo kundi la magufuli mbona ni dogo sana na halina nguvu wala ushawishi ndani ya ccm, ccm ni ni kubwa katika ukubwa wake hakuna kundi wala mitandao ya wafuasi wake wanaoweza kukiyumbisha chama hicho kikongwe barani afrikaUkisikiliza kwa umakini jinsi Samia Hassan Suluhu Mwenyekiti wa CCM Taifa anavyoongea kuhusu masuala mbalimbali ya kisiasa, unagundua ndani ya CCM Kuna kutokutakiwa kwake.
Siku hizi huoni Samia akiongea zaidi kama kiongozi mwenye mamlaka ndani ya CCM, bali ni kama kiongozi anayetegemea hatima yake toka kwa watu kama kina Makonda.
Mashambulizi dhidi yake ndani ya CCM yamekuwa makubwa Sana na dalili mojawapo ni jinsi wale wanaojiita waumini wa Magufuli ndani ya CCM wanavyoanza kumshambulia hadharani.
Kwa Sasa kama asingekuwa na cheo cha Urais nadhani wababe ndani ya CCM wangeshamfukuza chamani waweke mtu wao.
Akili huwa haiazimwi... Labda kwenye ulimwengu wa Mazombie....We katafute hata akili ya kuazimwa
upotoshaji wa kishindo.....Ukisikiliza kwa umakini jinsi Samia Hassan Suluhu Mwenyekiti wa CCM Taifa anavyoongea kuhusu masuala mbalimbali ya kisiasa, unagundua ndani ya CCM Kuna kutokutakiwa kwake.
Siku hizi huoni Samia akiongea zaidi kama kiongozi mwenye mamlaka ndani ya CCM, bali ni kama kiongozi anayetegemea hatima yake toka kwa watu kama kina Makonda.
Mashambulizi dhidi yake ndani ya CCM yamekuwa makubwa Sana na dalili mojawapo ni jinsi wale wanaojiita waumini wa Magufuli ndani ya CCM wanavyoanza kumshambulia hadharani.
Kwa Sasa kama asingekuwa na cheo cha Urais nadhani wababe ndani ya CCM wangeshamfukuza chamani waweke mtu wao.
Changia hoja wewe mbweha. CHADEMA inaingiaje kwenye hoja hii? Mijitu kama wewe ni bora tu ungezaliwa mbwa kuliko kuzaliwa binadamu. Huna faida yoyote ya kuwa binadamu. Unaudhalilisha ubinadamu.Kuna chama kinafikia CHADOMO kwa uroho? Mwangalie Makengeza anataka afie madarakani, Zitto wa juzi tu ameshaachia chama. Nyie nyumbu hata miaka 100 hamuwezi kuifikia CCM, sana sana hiyo SACCOSS yenu itakufa muda wowote
Msubirini atakuja nyumbani 2025Ukisikiliza kwa umakini jinsi Samia Hassan Suluhu Mwenyekiti wa CCM Taifa anavyoongea kuhusu masuala mbalimbali ya kisiasa, unagundua ndani ya CCM Kuna kutokutakiwa kwake.
Siku hizi huoni Samia akiongea zaidi kama kiongozi mwenye mamlaka ndani ya CCM, bali ni kama kiongozi anayetegemea hatima yake toka kwa watu kama kina Makonda.
Mashambulizi dhidi yake ndani ya CCM yamekuwa makubwa Sana na dalili mojawapo ni jinsi wale wanaojiita waumini wa Magufuli ndani ya CCM wanavyoanza kumshambulia hadharani.
Kwa Sasa kama asingekuwa na cheo cha Urais nadhani wababe ndani ya CCM wangeshamfukuza chamani waweke mtu wao.
Sasa anayekataliwa ni Samia , ila Ubwege napewa mimi !!Wewe bwege wewe 🤣
Amekataliwa na nani?Sasa anayekataliwa ni Samia , ila Ubwege napewa mimi !!
Tulia chumbani ujiandae kumuandalia mzee Abubakar futariUkweli mtupu !
Unamkumbuka yule mtu aliyefungwa Kwa kumuita Magufuli bwege!!Wewe bwege wewe 🤣
Kwani kupambania legacy ya Magufuli ndiyo tumeanza sasa? Sisi mbona tumekuwepo muda wote, na misimamo yetu haijawahi kuyumba hata mara moja?Aliowataja ni waendesha ibada. Waumini ndiyo hawa humu JF na kwingineko wanaopambania "Legacy" ya Magufuli.
Hii kundi lisilojiweka wazi ambalo linaandaaga kimyakimya kumbukizi ya Magufuli kila mwaka hadi kuratibu Misa takatifu ni ushahidi tosha kuwa kuna kundi linam-outsmart SSH by far huku likisubiri muda wao ufike.Ukisikiliza kwa umakini jinsi Samia Hassan Suluhu Mwenyekiti wa CCM Taifa anavyoongea kuhusu masuala mbalimbali ya kisiasa, unagundua ndani ya CCM Kuna kutokutakiwa kwake.
Siku hizi huoni Samia akiongea zaidi kama kiongozi mwenye mamlaka ndani ya CCM, bali ni kama kiongozi anayetegemea hatima yake toka kwa watu kama kina Makonda.
Mashambulizi dhidi yake ndani ya CCM yamekuwa makubwa Sana na dalili mojawapo ni jinsi wale wanaojiita waumini wa Magufuli ndani ya CCM wanavyoanza kumshambulia hadharani.
Kwa Sasa kama asingekuwa na cheo cha Urais nadhani wababe ndani ya CCM wangeshamfukuza chamani waweke mtu wao.
Kumkumbuka Rais aliyefia madarakani Kuna tatizo gani?Hii kundi lisilojiweka wazi ambalo linaandaaga kimyakimya kumbukizi ya Magufuli kila mwaka hadi kuratibu Misa takatifu ni ushahidi tosha kuwa kuna kundi linam-outsmart SSH by far huku likisubiri muda wao ufike.
Alifariki Mkapa lakini hata siku moja hatujawahi kusikia kumbukizi ya kifo chake. Hiki kifo cha Magufuli kina uspecial gani hadi kilamishiwe kumbukizi kiasi hiki?! Kuna jambo nyuma yake. Sukuma gang is real.
Rai's Samia kama mmeamua kuwe na kumbukizi ya siku za vifo kwa viongozi wa kitaifa basi siku alipotutoka duniani Rais mtaaafu Mkapa msichukulie poa wakati vifo vingine mkifanyia promotion hadi kutumia maparoko😡😡😡
Kumbe ndiyo maana Maza kahamisha Ikulu kurudi Magogonihilo kundi la magufuli mbona ni dogo sana na halina nguvu wala ushawishi ndani ya ccm, ccm ni ni kubwa katika ukubwa wake hakuna kundi wala mitandao ya wafuasi wake wanaoweza kukiyumbisha chama hicho kikongwe barani afrika
ndani ya ccm wanasubiri akamilishe ungwe lake,makucha halisi atayaona januari mwakaniUkisikiliza kwa umakini jinsi Samia Hassan Suluhu Mwenyekiti wa CCM Taifa anavyoongea kuhusu masuala mbalimbali ya kisiasa, unagundua ndani ya CCM Kuna kutokutakiwa kwake.
Siku hizi huoni Samia akiongea zaidi kama kiongozi mwenye mamlaka ndani ya CCM, bali ni kama kiongozi anayetegemea hatima yake toka kwa watu kama kina Makonda.
Mashambulizi dhidi yake ndani ya CCM yamekuwa makubwa Sana na dalili mojawapo ni jinsi wale wanaojiita waumini wa Magufuli ndani ya CCM wanavyoanza kumshambulia hadharani.
Kwa Sasa kama asingekuwa na cheo cha Urais nadhani wababe ndani ya CCM wangeshamfukuza chamani waweke mtu wao.
Akifa baada ya kumaliza tenure yake kama ilivyo kwa hayati Mkapa anakuwa takataka siyo?!Kumkumbuka Rais aliyefia madarakani Kuna tatizo gani?