Hizi ni dalili kuwa CCM hawamtaki Rais Samia?

Hizi ni dalili kuwa CCM hawamtaki Rais Samia?

Magu alikua dikteta
Alikuwa dikteta aliyependwa na wananchi.

Dikteta aliyehakikisha maskini wanapata huduma mahospitalini bila kufokewa,

Dikteta aliyewatisha Jiji la Mwanza, Kisha wakajenga hospitali ya ghorofa Jirani na Sekeu Toure Kwa pesa za ndani,

Dikteta aliyewatisha Mafisadi kuacha kudokoa pesa ya umma.

UDIKTETA wa namna hii wananchi wanafaidika nao,

Ataendelea kukumbukwa.
 
Una akili Sana mkuu!

Kadri jinsi. Siku zinavyoenda ndivyo anavozidi kufifia,na haya ndio madhara ya kuanza kampeni mapema!!

Kwasasa nahisi ameshakua "ceremonial president"yaani Rais was kikatiba na kisiasa lakini sio Amiri jeshi mkuu!!

Tetesi ni nyingi mno mfano

Hashtags za "jeshi limetawala"

Kuna Moja pia nimeona eti "kumbe dokta mpango ndio Rais na hamsemi"

Hakuna anaetoa ufafanuzi juu ya uzushi huo na kuukanusha sio kweli!!

Kuna ukimya was uzushi unaoendelea ukizoeleka utakua ukweli japo haujathibitishwa!!

Mamlaka zikanushe kama Zina uwezo wa kukanusha hayo!
 
Hawa wa fake ID? Ok.
Wakina Erythrocyte nabhuyu mleta mada, Kamanda nanilhilo? Chiembe..... list ni ndefu sana naweza jaza sava hapa nikapigwa ban.

Hayo ni Mapandikizi wanajinasibu CCM kumbe wapi, ukiingia kumi na nane unazushiwa mungu kasema. loh
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Sisi Wananchi wa Jamhuri hii hatuitaki CCM na Mwenyekiti wake.
 
Wakina Erythrocyte nabhuyu mleta mada, Kamanda nanilhilo? Chiembe..... list ni ndefu sana naweza jaza sava hapa nikapigwa ban.

Hayo ni Mapandikizi wanajinasibu CCM kumbe wapi, ukiingia kumi na nane unazushiwa mungu kasema. loh
Ok mkuu, ngoja tuwatakie kila la heri.
 
Ukisikiliza kwa umakini jinsi Samia Hassan Suluhu Mwenyekiti wa CCM Taifa anavyoongea kuhusu masuala mbalimbali ya kisiasa, unagundua ndani ya CCM Kuna kutokutakiwa kwake.

Siku hizi huoni Samia akiongea zaidi kama kiongozi mwenye mamlaka ndani ya CCM, bali ni kama kiongozi anayetegemea hatima yake toka kwa watu kama kina Makonda.

Mashambulizi dhidi yake ndani ya CCM yamekuwa makubwa Sana na dalili mojawapo ni jinsi wale wanaojiita waumini wa Magufuli ndani ya CCM wanavyoanza kumshambulia hadharani.

Kwa Sasa kama asingekuwa na cheo cha Urais nadhani wababe ndani ya CCM wangeshamfukuza chamani waweke mtu wao.
Huna akili
 
Ok mkuu, ngoja tuwatakie kila la heri.
Hawajalala jana wamekesha, na leo mchana kutwa wamo tu humu. Wakiona Magu, Jiwe, Magufuli nao wanaanzisha hivi vi thread. Mfano hizi za Jenerali Mabeo. Yote hizi ni kuzima 'Juhudi'😆😅

Waombewe kwa kweli. Nipo Chato leo.
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Hawajalala jana wamekesha, na leo mchana kutwa wamo tu humu. Wakiona Magu, Jiwe, Magufuli nao wanaanzisha hivi vi thread. Mfano hizi za Jenerali Mabeo. Yote hizi ni kuzima 'Juhudi'😆😅

Waombewe kwa kweli. Nipo Chato leo.
Hahaha
 
Yeye mwenyewe alitaka kuwa muhudumu WA ndege urais ni mzigo mkubwa saana kwake ni vile tuu Hana namna
Kama.jpm aliyetaka kuwa padre lakini urais ukamdondokea japo najua vyote asingeweza mana upadre inahitaji mtu mwadilifu siyo muuji na mfoka ovyo kama kidagaa
 
We ndio humtaki hao wanaCCM wote umekutana nao wapi? Pambana na Chadema yako yenye Mwkt wa maisha achana CCM wewe
 
Back
Top Bottom