Hizi ni dalili kuwa CCM hawamtaki Rais Samia?

Akifa baada ya kumaliza tenure yake kama ilivyo kwa hayati Mkapa anakuwa takataka siyo?!
Familia ikiamua kumkumbuka ndugu Yao aliyekuwa Rais Kuna shida Gani?

Pale mwitongo Huwa wanafanya na hao maparoko Huwa wanaenda,

Kwanini hamtaki Magu akumbukwe, aliwakosea nini?
 
Kumrudisha Makonda kwenye system kulimharibia mengi sana na kuongeza maadui.. Kumsifia juzi ndio kumemmaliza kabisa .. Backup aliyonayo kwasasa ni ile cycle ya wanaofaidika naye
 
Kumrudisha Makonda kwenye system kulimharibia mengi sana na kuongeza maadui.. Kumsifia juzi ndio kumemmaliza kabisa .. Backup aliyonayo kwasasa ni ile cycle ya wanaofaidika naye
Huyo kijana Huwa ni mharibifu.

Ukimteua, Badala ya kukusaidia, anajisaidia Yeye😀
 
Mambo yaliyopunguza sana kuaminika kwa Rais Samia, ni pamoja na suala la kuwapa bandari DPW na kuyapa makampuni ya huko Uarabuni hifadhi za Taifa. Jambo hilo limeleta wasiwasi mkubwa kama Rais ana dhamira ya kulinda rasilimali za nchi kwa maslahi ya sasa na ya baadaye ya Taifa.

Mbarawa, Rostam na Abdu wamemtia doa baya ambalo linamfanya asiaminike kwa kiwango kinachotakiwa kwa kiongozi mkuu wa nchi.
 
Familia ikiamua kumkumbuka ndugu Yao aliyekuwa Rais Kuna shida Gani?

Pale mwitongo Huwa wanafanya na hao maparoko Huwa wanaenda,

Kwanini hamtaki Magu akumbukwe, aliwakosea nini?
Familia? Akina Biteko na Kassim Majaliwa ni mabinamu kwenye familia hiyo?! Acheni utani. Shigella ni mwanafamilia ya wapi?!
Hatutaki double standards, kama wengine wanaonekana hawastahili kumbukizi tujulishwe. Wote waliitumikia nchi hii equally.
 
Kwani Kuna uadui Gani Hadi Shigela, Biteko, Kassim wasihudhurie?

Mbona Samia ameenda chato mara nyingi tu?

Mna tatizo gani na kivuli Cha Magufuli.?
 
Na yeye ni Muumini wa nani?
 
Kwani Kuna uadui Gani Hadi Shigela, Biteko, Kassim wasihudhurie?

Mbona Samia ameenda chato mara nyingi tu?

Mna tatizo gani na kivuli Cha Magufuli.?
Yaani hawawezi kuongea bila kumtaja kwa mabaya Magu, shida kweli kweli aise.
 
Hapo kwenye bandari, basi tu!!
 
Kumbe ndiyo maana Maza kahamisha Ikulu kurudi Magogoni
Maana zaidi ya mwezi hajakanyaga Chamwino
ikulu ni magogoni jijini dar tu, hiyo ikulu ya chamwino mjini dodoma ni ya show off tu wala haina impact kwa nchi hii. Wapi uliona nchi ina ikulu mbili? Ikulu ni moja tu iliyopo mji mkuu wa Tanzania, Dar es Salaam.
 
Yaani inawezekanaje kumsahau Magu, Eti hawataki atajwe Wala akumbukwe!!

Unajiuliza kwani Magu ambaye ameshafariki, akitajwa Kwa mazuri yake, anaathiri vipi utendaji wa Rais aliyepo?
Kibaya zaidi kila wakimponda Magu ndio wananchi wanapatwa na hasira zaidi.
 
Ramli 😁😁

Anaingia mwaka wa 4 huu ,mlisema hatomaliza miwili mara hatogombea 2025.

Mda ni msemakweli,nitawakumbusha yote
 
Kibaya zaidi kila wakimponda Magu ndio wananchi wanapatwa na hasira zaidi.
Yaani bandari wapewe wageni,

Wananchi wakimkumbuka Magu kuwa alipinga raslimali za nchi kuwafaidisha wageni, Eti inakuwa nongwa.
 
Yusuf Makamba and Co watamuokoa maana ndiyo watu wake anaowategemea kuliko chama
 
Ungetaja Hilo kundi la CCM ningekuona una hoja HV uoni mafisad wa CCM wanavyo shangilia utawla was samiaa na huwenda akafanywa rais wa milele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…