Hizi ni dalili kuwa CCM hawamtaki Rais Samia?

Adui muombee njaa
 
Tukanywe juice wapi? Mbona juice ni vitu virahisi sana, au kwako unaona hatari sana juice?
Hamna ishu nyie mliingia kichwakichwa na hao wazuri hawafi mkalambishwa vijuisi ikulu mkajiona mmewini sahivi mnaanza tena kulialia,, safari hii yale madafu sidhani kama yamewaacha salama
 
Hamna ishu nyie mliingia kichwakichwa na hao wazuri hawafi mkalambishwa vijuisi ikulu mkajiona mmewini sahivi mnaanza tena kulialia,, safari hii yale madafu sidhani kama yamewaacha salama
To be honest hata sielewi unaongea utoto gani!
 
Rais ndio bosi wa chama na yeye ndio anapanga safi yake itakayoendelea kumuweka madarakani sidhani kama uko sahihi
 
Wacha wafu wawazike wafu wao sisi inatuhusu Nini?
 
Acha uongo wewe
 
🀣 🀣 🀣
 
Tatizo mama sio dikteta. Akisema atumie urais wake dhidi ya watu wanaowaza upuuzi kama mleta uzi hapatakalika. Hata Gigy Money akiwa rais wa TZ hakuna kima yeyote atamfanya kitu. Kuweni na nidhamu na kiti cha urais.
 
Katika kosa ambalo sitokaa nimsamehe Dr John Pombe Magufuli huko aliko basi ni kutuachia huu msalaba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…