Hizi ni dalili za kwamba wewe bado ni maskini/fukara na unatakiwa ukaze zaidi

Mkorintho umeongea hoja mzuri Sana mkuu
 
This comment is superbly assymmetrical to the post.Umemjibu vizuri mkuu.
 
Ningekutukana sema nimeheshimu jina unalotumia hapo
 
Umepiga mule mule.

Hiyo namba 4 hiyo...vere vere soon
 
HIZI NIMEKUELEWA ZAIDI

7. Kuulizia bei kwanza kila ukiingia hotelini au mgahawani.

8. Kuwa na mashaka na kila tajiri kwa kudhani katumia mbinu chafu kupata utajiri.


10. Kuomba punguzo la bei hata kwa kina mama wauza mboga mboga na vitu vingine vya nyumbani.
 
Unaonaje huo ukawa mtazamo wako binafsi baada ya kushiba makande kwa shemeji yako
 
Hii ni kweli kabisa

10. Kuomba punguzo la bei hata kwa kina mama wauza mboga mboga na vitu vingine vya nyumbani.
 
Ndio maana unamakalio kama flampeni!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…