Sio matapeli mkuu ni kampuni kubwa tu na kuna jamaa yangu kaajiriwa na hiyo kampuni na kufika ofisini kwao haikuwa mara ya kwanza.Hao ni Matapeli. Nia yao wakutapeli. Ila walivokuona wakajua tu hauna kitu labda. Wakaamua kukausha.
Hapo labda. Niliwahi onana na HR ila restaurant. Ila nikaishia kupigwa.Sio matapeli mkuu ni kampuni kubwa tu na kuna jamaa yangu kaajiriwa na hiyo kampuni na kufika ofisini kwao haikuwa mara ya kwanza.
Sijatoa fedha yoyote. Hiyo ofisi ni kweli ni ofisi yao na kuna jamaa yangu kaajiriwa hapo na ndie alieniunganisha nao. Mtu alienifanyia interview yeye yuko mbali na ofisi kuu lakini ndie boss ambae nikishaajiriwa nikaripoti kwake na ndiko nilitakiwa nikafanye kazi kwenye hiyo branch.Kuna fedha yoyote ulitoa? Hiyo ofisi uliyoenda una uhakika ni ofisi ya kampuni kweli? Yaani ina kila kitu cha kuifanya ionekane ni kampuni inayofanya kazi? Kuna harufu ya utapeli hapa. Interview kwa simu? Hebu funguka vizuri. Kuna matapeli fulani huwa wana-act hivi hivi
sawa mkuuMkuu unaonekana mtata sana aisee. Unaoneokana hata ukipata kazi unazile za kila kitu kutanguliza haki zako mbele. Sasa hata hujapata kazi unaanza kuwaza kuwashtaki. Dah!
Kuajiriwa ni mchakato. Sio kitu HR anaamua sasa na unaajiriwa sasa. Jipe muda mkuu. Inawezekana process inaendelea
π π hawa ndiyo wale ukiwaajiri wanakuwa mkurugenzi wal ILO, LHRC, wanaharakati, wakaksi. Umenichekesha!Mkuu unaonekana mtata sana aisee. Unaoneokana hata ukipata kazi unazile za kila kitu kutanguliza haki zako mbele. Sasa hata hujapata kazi unaanza kuwaza kuwashtaki. Dah!
Kuajiriwa ni mchakato. Sio kitu HR anaamua sasa na unaajiriwa sasa. Jipe muda mkuu. Inawezekana process inaendelea
Kwann husimtafute Boss wake ?Sio matapeli mkuu ni kampuni kubwa tu na kuna jamaa yangu kaajiriwa na hiyo kampuni na kufika ofisini kwao haikuwa mara ya kwanza.
Jamaa anataka kuwashtaki kabla hata hawajampa ajira [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Mkuu unaonekana mtata sana aisee. Unaoneokana hata ukipata kazi unazile za kila kitu kutanguliza haki zako mbele. Sasa hata hujapata kazi unaanza kuwaza kuwashtaki. Dah!
Kuajiriwa ni mchakato. Sio kitu HR anaamua sasa na unaajiriwa sasa. Jipe muda mkuu. Inawezekana process inaendelea
[emoji23][emoji23][emoji23] hivi matapeli huwa wanaangalia na watu wa kuwapiga?.. Nimecheka sanaHao ni Matapeli. Nia yao wakutapeli. Ila walivokuona wakajua tu hauna kitu labda. Wakaamua kukausha.