Hizi ni dharau na je hakuna sheria ya kusimama upande wangu?

Hizi ni dharau na je hakuna sheria ya kusimama upande wangu?

After interviews huwa wanauliza "Do you have any questions for us ? Wabongo anaona akiuliza atapoteza chance ya kazi itapotea badala yake anaanza I would like to take this opportunity to thank you blah blah....The most important question to ask the interviewer is "When should I expect to hear from you?" Jibu atakalo kupa lingekusaidia kupima kujua kama ubaki kusubiri mkataba ama urudi huo umbali wa km 900.

Lakini pia kama ni Taasisi rasmi/genuine kwa uelewa wangu mdogo tu, official communication hufanyika kwa barua ama barua pepe na sio simu. Kwahivyo kama upo serious unaweza kuandika official email kwa HR Cc.

Mkubwa wake aloku interview ku-follow up juu ya mkataba ama maamuzi yao ya kukuajiri. That's how things are done!!!What's up ama simu aiseee unaonekana una kauzembe flani hivi.
 
Mkuu unaonekana mtata sana aisee. Unaoneokana hata ukipata kazi unazile za kila kitu kutanguliza haki zako mbele. Sasa hata hujapata kazi unaanza kuwaza kuwashtaki. Dah!

Kuajiriwa ni mchakato. Sio kitu HR anaamua sasa na unaajiriwa sasa. Jipe muda mkuu. Inawezekana process inaendelea
Kinachomsumbua jamaa alishaweka over expectation kuhusu hiyo kazi ndio maana inamtesa kisaikolojia.
Ilitakiwa baada ya kumaliza interview aende kupanda bus na kurudi nyumbani alikotoka kama atahitajika kuja kazini watamtaarifu.
Sasa yeye aliassume kwamba akishamaliza interview tu kesho yake ataitwa kazini kitu ambacho sio sahihi,kwenye interview kuna kufaulu na kuna kufeli pia.
 
😂 😂 hawa ndiyo wale ukiwaajiri wanakuwa mkurugenzi wal ILO, LHRC, wanaharakati, wakaksi. Umenichekesha!
Hii post huenda HR hana mpango wa kumpa huyu, maana mtu akikubalika sana na boss hujiona yupo sawa na boss.

Everyday is Saturday................................😎
I guess zile kilomita 900 alizotaja jamaa itakuwa ni Mwanza/Shinyanga😄😄😄😄😄
 
Back
Top Bottom