Hizi ni documents zinazohitajika Wakati wa kuongeza Mtaji wa Kampuni

Luhamba II

Senior Member
Joined
Mar 22, 2025
Posts
137
Reaction score
219
Jana nilipost thread kuhusu hatua za kufuata wakati wa kuongeza share capital, Leo nitakuandikia documents husika zinahitajika kukamilisha mchakato huo wa kuongeza share capital.

1. Board Resolution
Hii ni document inayoandaliwa na directors wa Kampuni kuonesha kua wanataka kuongeza Mtaji kwa njia ya hisa.

2. Meeting notice
Hii inatumika kuwaita wanahisa wote kwenye mkutano, ili kujadili kuongezeka kwa mtaji.

3. Special resolution
Hii ni document inayoandaliwa kwa niaba ya wanahisa wote wa Kampuni, ambao pia wataweka sign zao kuonesha approval ya kuongeza Mtaji.

4. Brela form no. 66
Hii downloadable form una download na kujaza details husika.

5. Katiba (memarts)
Offcourse utahitaji amended memart hasa kipengele Cha capital clause.
Ambapo kitaonesha idadi ya hisa zilizoongezwa na jumla ya mtaji mpya.

PS: Documents hizi ni kwa ajili ya ongezeko la mtaji kwa njia ya kuongeza idadi ya hisa tuu, value ya kila hisa ikibaki ile Ile.

Siku nyingine nitaandika documents zinazohitajika ikiwa share capital inaongezwa thamani ya kila hisa inabadilika.

I hope this helps

Hey, naitwa Luhamba Mimi ni mwanasheria na agency freelancer nawasaidia wafanya biashara kama wewe kusajili biashara, Kampuni na leseni.

Kama unahitaji consultation zaidi kuhusu usajili wa Kampuni au kuongeza Mtaji wa Kampuni yako, unaweza kunitumia ujumbe WhatsApp kupitia namba hizi

0678131068

Your Favorite Lawyer.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…