Hizi ni kona kali na milima, kwa barabara nchini, taja nyingine

Umetupiga kamba mzee, Ruaha hiyo ya wapi?
Ruaha inaingiza maji mtera pale Ila ipo mbali kidogo sehemu kubwa linaonekana bwawa la mtera labda pale darajani upande wa pili ni mto ruaha.
 
Moshi,Rombo,Rongai
 
Mi nawashangaa sana wapare wanawacheka sana sana kwao hivyi ni vitu vya kawaida kabisa katika umri wangu mkubwa sijawahi sikia ajali yeyote mbaya iliyotokea kwenye milima ya kwenda Pare nina wasi wasi aliyetoa uzi huu atakuwa ni mtu wa dar Mzaramo maana akiona kichuguu kwake ni mlima maana hajawahi ona
Anywa mtoa mada ni jokes tu tufurahi ahsante kutuletea mada 😀😀😀😀😀
 
Kona za kupandisha mlima kutokea mwanga kilimanjaro unaelelekea kijiji kinaitwa ugweno baba ile naifananisha na death road ilioko Bolivia lakini haina ajali za ovyo ovyo
Kama Peru kule,Kuanzia hapa Mwanga kuisaka Lambo kuna Kona za kichokozi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…