Iselamagazi
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 6,020
- 6,161
Mombo - Soni. Mto wenyewe mkavu hauna hata maji.Huku nako noma, pembeni bonde kubwa halaf mto, ni noma Sana hii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mombo - Soni. Mto wenyewe mkavu hauna hata maji.Huku nako noma, pembeni bonde kubwa halaf mto, ni noma Sana hii
Nyang'olo ni funga kazi ,Kona zaidi ya 80 huku chini unaichunguli ruaha ile ,gari likichumpa tu mnakuwa asusa.
Ruaha inaingiza maji mtera pale Ila ipo mbali kidogo sehemu kubwa linaonekana bwawa la mtera labda pale darajani upande wa pili ni mto ruaha.Umetupiga kamba mzee, Ruaha hiyo ya wapi?
Moshi,Rombo,RongaiHabari jamvi?, kwa wale wazurulaji nchini
Ukizunguka nchini utakutana na sehemu maarufu , kimandhari na kimuonekano.
Leo naongelea sehemu za barabara nchini ambazo Zina Kona Kali na sehemu ya milima, nataja chache nyingine ongeza
1. Kona za Iyovi - ukitoka tu mikumi kuelekea Iringa utaziona Kona hizi, ni Tamu Sana
2. Kona za kitonga - hizi zinapatikana kutoka Moro kwenda Iringa.
3. Kona za Kolo- hizi zinapatikana kutoka Kondoa kuelekea Babati
4.Kona za Nyang'olo - hizi zinapatikana unapokaribia kufika Iringa kutokea Dodoma
5. Kona za Lukumbulu Songea huko
6. Kona za Msambiazi, Korogwe kuelekea Mombo
7. Kona za Mombo kuelekea Soni - Lushoto
8.Kona za Mbeya kwenda Chunya
9. Kona za Ugara - Babati kwenda Mbulu - hapa kitonga chamtoto Cha ngedele
10. Kona za Hedaru - Vunta, Same
Ni Kona hatari lakini Tamu Sana, na mabasi huwa wanalala na Kona hizi kwa speed ya 120 yaani shaa.
Ongeza Kona Kali nyingine
Day one nikasema hizi kona balaa...nilipopitia Njombe nikasema za Namtumbo chamtotoKuna kona wakati unakaribia Namtumbo ukitokea Tunduru... HATARI SANA
Mkamba sanje kona zimemalizwa na mkandarasi....Kona za mlima Ndololo, Mlima nyani njia ya Ifakara-Mahenge. Kona za kuitafuta Mkamba/Sanje na Soni ukitoka Mikumi kwenda Ifakara.
Hizo nazo ni Kona?haujapita iringa na songea weweKoma kali kuliko zote hapo ni Mbeya - Chunya 🙌 zile sio kona ni zigzag 😀
Miye mwenyewe roho ilikuwa mkononi nilipoenda siku ya kwanza.Mombo-Soni-Lushoto,
Mara ya kwanza waweza useme huku sirudi tena.View attachment 1764642
Alafu enzi zile kwenye Faraja na yale matope nilibaki namuomba tuu Mungu.Kona hatari ni kona za kutoka Mbeya kwenda Chunya. Kona nyingine inaitwa Gangi tololi, kutoka Njombe kwenda Ludewa.
Hii sijawahi kupita Ina lami kweli hii?ipi mbali Kati ya hiyo na hii ya kawaida ya kupitia lwanjiro/chalangwa?Kuna mlima Njiwa , Mbeya Vijijini kwenda chunya kupitia ifumbo, kwanza unapita msitu una mashetani na makona Makali na wachawi
Sio Sinza pale ni KijitonyamaCorner bar, Sinza!!
Pole kiongozi.Hii ilinifirisi. Nimetoka kununua pulling scania. Ikapakia mzigo mara ya kwanza kwenda Malawi. Bahati mbaya bima 3rd party. Ilitumbukia hapo sikuokota kitu.
Kama Peru kule,Kuanzia hapa Mwanga kuisaka Lambo kuna Kona za kichokoziKona za kupandisha mlima kutokea mwanga kilimanjaro unaelelekea kijiji kinaitwa ugweno baba ile naifananisha na death road ilioko Bolivia lakini haina ajali za ovyo ovyo