Hizi ni kona kali na milima, kwa barabara nchini, taja nyingine

Hizi ni kona kali na milima, kwa barabara nchini, taja nyingine

Mombo-Soni-Lushoto,
Mara ya kwanza unaweza usema huku sirudi tena.View attachment 1764642
I have been there aiseeee, mwanzo wakati naenda nilipewa lift kwenye gari ya serikali ilikuwa usiku sikuona tabu sana japo nilikaaa mbele, wakati narudi nilipanda Burdan Bus aiseee unaweza kuomba kushuka na jamaa wanalala nazo tu wala hawajali[emoji23][emoji23][emoji23] naisi ni moja kati ya barabara hatarishi Tanzania inaweza kuwa ya kwanza au ya pili, maana ile road ni nyembambaa mno, uwezi kufananisha na kitonga, maana kitonga cha mtoto
 
Kuna kona wakati unakaribia Namtumbo ukitokea Tunduru... HATARI SANA
Panaitwa kilima sela zamani kulikuwa na mlima mkubwa kipindi hicho barabara ya rami kwa upande wa songea ilikuwa inaishia namtumbo na upande wa masasi ilikuwa inaishia mangaka, usafiri enzi hizo unapanda Obama, Allah karim au Sadja gari zilikuwa zinalala tu, wachina wamefuta mlima wameacha kona..
 
Mkuu funga safari utoke iringa kwenda dodoma au dodoma kwenda iringa via Mtera utakuja kuelezea hiyo kitonga ni cha mtoto
Duh aki sitaki kupita njia hiyo nimeskia ni kona mno, ile kitonga tu mimi naskia kulia huko sijui itakuaje, kuna siku tunatoka Mbeya kufika kitonga pale naona watu wanalia wameumia kuuliza ni ajali na gari imedumbukia kule chini ingawa si kule bondeni sanaa na hao watu wametolewa huko na kuletwa huku juu kwa ajili ya kuwaishwa hospital duh😪😪nilitetemeka maana dereva wetu alikua anaenda speed na hizo kona hajali.
 
Back
Top Bottom