kahawa ya njano
Member
- May 28, 2020
- 99
- 124
Hizo za nyang'olo ni hatari. Ni vyema sasa kuna rami miaka ya nyuma nilikuwa nasoma huko, hakukua na lami..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi nashangaa watu wanafananisha eti na mburu kusiko hata na maporomoko,I have been there aiseeee, mwanzo wakati naenda nilipewa lift kwenye gari ya serikali ilikuwa usiku sikuona tabu sana japo nilikaaa mbele, wakati narudi nilipanda Burdan Bus aiseee unaweza kuomba kushuka na jamaa wanalala nazo tu wala hawajali[emoji23][emoji23][emoji23] naisi ni moja kati ya barabara hatarishi Tanzania inaweza kuwa ya kwanza au ya pili, maana ile road ni nyembambaa mno, uwezi kufananisha na kitonga, maana kitonga cha mtoto
Nenda Mbulu mkuu, mji Ule nao umepitiwa na bonde la ufa.Mi nashangaa watu wanafananisha eti na mburu kusiko hata na maporomoko,
Burdani anapitaga na mpaka 90kmph usiku, Madereva Wageni wengine wakifika Mombo wanaomba Mwenyeji awasaidie kupandisha, No chance for mistakes juu kuna jabali, chini kuna falls kati hapatoshi.
Cha kushangaza Sijawahi sikia ajali njia ilee.
hii ni hatari sana yaani bora uzungukie Rungwe[emoji23][emoji23][emoji23] ile ya chimala ni hatari kwa afya yako unaweza kufa kwa preshaHakuna barabara yenye kona nyingi za kuudhi kama barabara itokayo Chimala Mbeya kuelekea Matamba na Uwanji Makete.
Kuna kona 54 ukipitia ile barabara ya hifadhi ya msitu wa TFS.
Acha uongo huwezi pita Kitonga kwa 120KM/h kawadanganye vijana wenzio huko Dar ambao tangu wazaliwe hawajahai kutoka kwenye huo Mkoa,Habari jamvi?, kwa wale wazurulaji nchini
Ukizunguka nchini utakutana na sehemu maarufu , kimandhari na kimuonekano.
Leo naongelea sehemu za barabara nchini ambazo Zina Kona Kali na sehemu ya milima, nataja chache nyingine ongeza
1. Kona za Iyovu - ukitoka tu mikumi kuelekea iringa utaziona Kona hizi, ni Tamu Sana
2. Kona za kitonga - hizi zinapatikana kutoka Moro kwenda iringa.
3. Kona za Kolo- hizi zinapatikana kutoka kondoa kuelekea babati
4.kona za Nyang'olo - hizi zinapatikana unapokaribia kufika iringa kutokea dodoma
5. Kona za Lukumbulu songea huko
6. Kona za msambiazi, korogwe kuelekea mombo
7. Kona za Mombo kuelekea Soni - Lushoto
8.Kona za Mbeya kwenda Chunya
9. Kona za Ugara - Babati kwenda Mbulu - hapa kitonga chamtoto Cha ngedele
Ni Kona hatari lakini Tamu Sana, na mabasi huwa wanalala na Kona hizi kwa speed ya 120 yaani shaa.
Ongeza Kona Kali nyingine
Sasa huko Dom si ndio kuna Nyang'olo.Pole sana mkuu kwa masahibu uliyoshuhudia mimi nakumbuka mara ya kwanza kupita ilikuwa ni 2016 natoka singida naenda mbeya aisee niliapa sitokuja kupita tena hapo saa ya kurud nilizungukia dodoma huyoo nikarud singida baadae nikaona gharama ya kuzunguka ni kubwa nikabid nipambane napo hivyo hivyo tu ingawa bado sijapazoea kabisa pale[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Aisee ahsante mkuuPole sana mkuu kwa masahibu uliyoshuhudia mimi nakumbuka mara ya kwanza kupita ilikuwa ni 2016 natoka singida naenda mbeya aisee niliapa sitokuja kupita tena hapo saa ya kurud nilizungukia dodoma huyoo nikarud singida baadae nikaona gharama ya kuzunguka ni kubwa nikabid nipambane napo hivyo hivyo tu ingawa bado sijapazoea kabisa pale😆😆😆😆
Nashangaa kaacha hizi kona za toka mbeya mpka Tukuyu.. ile barabara haikupi muda wa kurelax kabisa!Kuna kona moja matata kutoka Mbeya kuelekea Malawi imepewa jina Uwanja wa ndege ni balaa,R.I.P nyingi zilipatikana pale hasa kwa wageni enzi hizo hadi kuna kibao cha onyokali,punguza mwendo,tembea taratibu[emoji591][emoji591][emoji591][emoji591]
Mara ya kwanza napita hiyo barabara(Moro- Iringa).Duh aki sitaki kupita njia hiyo nimeskia ni kona mno, ile kitonga tu mimi naskia kulia huko sijui itakuaje, kuna siku tunatoka Mbeya kufika kitonga pale naona watu wanalia wameumia kuuliza ni ajali na gari imedumbukia kule chini ingawa si kule bondeni sanaa na hao watu wametolewa huko na kuletwa huku juu kwa ajili ya kuwaishwa hospital duh[emoji25][emoji25]nilitetemeka maana dereva wetu alikua anaenda speed na hizo kona hajali.
Kona za ugweno upareniKona ya bwiru, Mwanza
Poa poa.Kumradhi Mkuu nilizungukia Moro nikaingia Iringa sio Dom
Hata mimi niliuliza kuwa hapa ajari zitakuwa nyingi wakasema ni nadra sana kutokea maana wakimbiaji wa ile barabara ni wenye private wazoefu na mabasi kama kina side, burdan, maning nice n.k ule mlima ukiwa mgeni unaweza kuogopa hata ushuke upande kwa mguu, na bondeni kule ni mbali sana na barabara ni nyembamba gari kubwa zinasubiriana zipishane, halafu kuna vile vikaravati na kona papo kwa papo dahMi nashangaa watu wanafananisha eti na mburu kusiko hata na maporomoko,
Burdani anapitaga na mpaka 90kmph usiku, Madereva Wageni wengine wakifika Mombo wanaomba Mwenyeji awasaidie kupandisha, No chance for mistakes juu kuna jabali, chini kuna falls kati hapatoshi.
Cha kushangaza Sijawahi sikia ajali njia ilee.
Coaster nyingi sana zimekula mzinga pale, nyingi sana zimeua pale, na wanajisahau sana wao ni mabio tu kutoka mbeya hadi kyela..Nashangaa kaacha hizi kona za toka mbeya mpka Tukuyu.. ile barabara haikupi muda wa kurelax kabisa!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu acha tu si poa yani, unatamani wakushushe afu ukimbiee wakukute mbele huko baada ya hizo kona😀😀Mara ya kwanza napita hiyo barabara(Moro- Iringa).
Nilijuta kwanini naenda Nyanda za juu kusini.
Zile Kona za Iyovu madreva hata hawana waswas, speed Speed. Unataman hata wakushushe.
Kitonga sasa basi tuu.......
Utakuwa ulikuwa unapanda KING CROSS/MFALME WA KONA AU URAFIKI.[emoji3]Hizo za nyang'olo ni hatari. Ni vyema sasa kuna rami miaka ya nyuma nilikuwa nasoma huko, hakukua na lami..
Kweli mkuu ile barabara pia haiko vizuri , uwanjwa wa ndege gari zilikua zinapaa kuelekea porini aisee🤔 sasa mkiwa mmetoka Dar kufika Mbeya mjini kuanza kuitafuta Tukuyu madereva wanahisi wameshafika sijui wanatoka speed balaa basi huku abiria mapigo ya moyo yanaenda mbio. Sitosahau dereva na konda wanatuambia hatujawahi kufika mbeya kyela ndiyo mara ya kwanza afu wanatoka speed balaa nikasema hivi wanaijua uwanja wa ndege hawa😒😒Nashangaa kaacha hizi kona za toka mbeya mpka Tukuyu.. ile barabara haikupi muda wa kurelax kabisa!
Sent using Jamii Forums mobile app
hiyo ndio ilinifanya niape kuwa sitapanda mabasi ya ngasere.. maana jamaa alivyokua anaserereka nayo.No 4 hapo huwa zinafahamika pia kwa jina la Nyang'oro ni noma sana hapo kuna madereva wa mabas huwa wanapita hapo kama hawana akir vizur..