Hizi ni kona kali na milima, kwa barabara nchini, taja nyingine

Mwaka 96 hii barabara ilivunjia kuna jiwe lilitoka huko juu likavunja, simu tatu mawasiliano hamna
Mkuu word autocorrect/predict iangalie sanaa,
Kwa wale wenzangu waliozoea matusi kwenye chatting zao, Ni tatizo Zaidi.

Turudi kwenye Mada,
Mwaka 1996 Sikua naelewa lolote,
Ila inawezekana kabisa maana kipindi cha mvua ile barabara inazibwa sana na majabali kutoka milimani, nahisi hata mwaka 2015 na 2016 hili tatizo lilitoke na likachukua siku tatu..

Ile barabara ni ya mjerumani na tangu hapo hakuna upanuzi ulifanyika, Babu zetu walikufa sanaaaa kipindi cha uchimbaji na upasuji miamba.
 
Mwaka 96 hii barabara ilibomoka kuna jiwe lilitoka huko juu ikabomoa, siku tatu mawasiliano hamna.

asante kwa kunisahihisha, wakati huo nilikuwa nasoma lwandai huko ikabidi nitembee kwa mguu usiku na mchana tunatembea huku mvua ni kubwa balaa.
 
Kona za mkoa ziko mbeya to chunya..ni hatari
IMG_8823.JPG.jpg
 
Kona namba moja ilipaswa kuwa nyang'oro , kutoka mtera kwenda iringa.
Na namba mbili ilipaswa kuwa lipumburu, kutoka njombe kwenda songea
Na namba 3 ilipaswa kuwa kawetere
Nyangoro ni noma nilihesabu kona 23 kali ila nadhani sikuzihesabu kwa ajili ya tahadhali nadhani ni zaidi
 
Mkuu word autocorrect/predict iangalie sanaa,
Kwa wale wenzangu waliozoea matusi kwenye chatting zao, Ni tatizo Zaidi.

Turudi kwenye Mada,
Mwaka 1996 Sikua naelewa lolote,
Ila inawezekana kabisa maana kipindi cha mvua ile barabara inazibwa sana na majabali kutoka milimani, nahisi hata mwaka 2015 na 2016 hili tatizo lilitoke na likachukua siku tatu..

Ile barabara ni ya mjerumani na tangu hapo hakuna upanuzi ulifanyika, Babu zetu walikufa sanaaaa kipindi cha uchimbaji na upasuji miamba.

Mwaka 2016 au na 7 mwanzon kama sijakosea, barabara ilizibwa na majabali na kuna gari ilisombwa mpka kule chini korongoni.

Ule mwaka kulikuwa na ndege ndogo aina ya helcopter kwaajili ya uokoaji.

Kwanza tu niseme ile barabara shikamoo, kwanza ni nyembamba, inakona na ipo juu ya mlima sana. Mbaya zaid zile mvua za usambara aisee kama ni mara ya kwanza unaenda unaeza usiamin unachokiona.
 
Back
Top Bottom