Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 16,908
- 19,123
Mwaka 96 hii barabara ilivunjia kuna jiwe lilitoka huko juu likavunja, simu tatu mawasiliano hamnaMombo-Soni-Lushoto,
Mara ya kwanza waweza useme huku sirudi tena.View attachment 1764642
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwaka 96 hii barabara ilivunjia kuna jiwe lilitoka huko juu likavunja, simu tatu mawasiliano hamnaMombo-Soni-Lushoto,
Mara ya kwanza waweza useme huku sirudi tena.View attachment 1764642
Mkuu word autocorrect/predict iangalie sanaa,Mwaka 96 hii barabara ilivunjia kuna jiwe lilitoka huko juu likavunja, simu tatu mawasiliano hamna
Hilo bus noma sana, mwenyewe nilipandishwa kwenye hizo kona putaputa sikuamini kabisa
Mwaka 96 hii barabara ilibomoka kuna jiwe lilitoka huko juu ikabomoa, siku tatu mawasiliano hamna.Mkuu word autocorrect/predict iangalie sanaa,
Kwa wale wenzangu waliozoea matusi kwenye chatting zao, Ni tatizo Zaidi.
Turudi kwenye Mada,
Mwaka 1996 Sikua naelewa lolote,
Ila inawezekana kabisa maana kipindi cha mvua ile barabara inazibwa sana na majabali kutoka milimani, nahisi hata mwaka 2015 na 2016 hili tatizo lilitoke na likachukua siku tatu..
Ile barabara ni ya mjerumani na tangu hapo hakuna upanuzi ulifanyika, Babu zetu walikufa sanaaaa kipindi cha uchimbaji na upasuji miamba.
Kona za mkoa ziko mbeya to chunya..ni hatari
Hapa ni wapi mkuu?
Barabara ya kawaida sana hiyo labda uniambie kutoka Tukuyu kwenda MaketeNashangaa kaacha hizi kona za toka mbeya mpka Tukuyu.. ile barabara haikupi muda wa kurelax kabisa!
Sent using Jamii Forums mobile app
Daah! Umenikumbusha mbali sana niliwahi kupita nikiwa natoka Dar napeleka mafuta ya Jet KIA, nilikuwa nimechoka sana nikasema nilale Msambiazi ilikuwa saa nne za usiku hahaa... nilianza kuona wanga wakiwanga na Moto nilishtuka sanaKona za msambiazi,
Kwamba Mbeya hadi Tukuyu nazo ziingizwe kwenye kona hatari?Nashangaa kaacha hizi kona za toka mbeya mpka Tukuyu.. ile barabara haikupi muda wa kurelax kabisa!
Sent using Jamii Forums mobile app
Barabara ya kutoka Mbeya kwenda ChunyaHapa ni wapi mkuu?
Kona za mlima kawetele barabara ya Mbeya -ChunyaHapa ni wapi mkuu?
HapaKona za mlima kawetele barabara ya Mbeya -Chunya
Nyangoro ni noma nilihesabu kona 23 kali ila nadhani sikuzihesabu kwa ajili ya tahadhali nadhani ni zaidiKona namba moja ilipaswa kuwa nyang'oro , kutoka mtera kwenda iringa.
Na namba mbili ilipaswa kuwa lipumburu, kutoka njombe kwenda songea
Na namba 3 ilipaswa kuwa kawetere
Wamezizoea kona ila sio ndio madereva bora. Kutoka pale mombo, lushoto afu unaenda juu kule magamba barabara zote za moto aisee na zote ni kona na juu ya mlimaWasambaa ni madereva asee na unaweza kuta wengine hawana leseni wanatumia uzoefu tu.
Vipi kona za Mko Mbeya 2 ChunyaKona namba moja ilipaswa kuwa nyang'oro , kutoka mtera kwenda iringa.
Na namba mbili ilipaswa kuwa lipumburu, kutoka njombe kwenda songea
Na namba 3 ilipaswa kuwa kawetere
Mkuu word autocorrect/predict iangalie sanaa,