Hizi ni Nchi zinazotoa VISA bure, Wabongo tunafeli wapi kusongamana ughaibuni kama Wanaijeria

Hizi ni Nchi zinazotoa VISA bure, Wabongo tunafeli wapi kusongamana ughaibuni kama Wanaijeria

Nauli yenyewe tu ya kutufikisha ofisi za uhamiaji ni shida mbali na ile ya kutufikisha huko ughaibuni. Ukisikia watanzania tu masikini iwe inaeleweka mara moja na ukitaka mifano pita jimboni kwa Madelu ujionee nyumba zetu za tembe zenye kimo cha futi tano tu.
Hahahahah
 
Yeah lugha inaweza kuwà na impact lakini si hipi uzito kwa sababu... Mimi nimewahi kukutana na Mnaijeria jijini Mwanza, yupo kwenye Vibanda vya kubetia anabeti na hajuhi kiswahili, na anaowaongelesha nao ni wa kiingereza cha kuungaunga. Mbona Wachina, Wahindi, Wabelgiji, waarabu na watu wamataifa mengi yasiyo ya kiingereza wanakuja bongo na wengine hawajui hata kiingereza, wanakaa wanaanza kujifunza mdogo mdogo kiswahili kwa kuunga unga. Kwa nini tusiwe wa kama wao... Mbona sauzi tunasongamana na wasauzi hawajui kiswahili na tunaishi nao... Kwa nini Tusiende mataifa mengine tukafanya hivyo hivyo
Tatizo sio lugha, wachina wamejazana Tanzania kingereza hawajui na kiswahili ni shida
 
Kipengele ni Uhamiaji! Hapo utajua haujui!
 
Hizo nazo ni nchi za kwenda? labda Belize kidogo
 
Huitaji kwenda uhamiaji kupata Passport,. passport unaweza kuomba online na kila kitu kufanyia online siku ya kwenda unapeleka tu Documents ambazo ukizoziweka online.
Uhamiaji utaenda tu, finger print utaziweka online?, ajabu utaambatanisha resent picha, ila bado utatakiwa kwenda kupiga picha. Hapo bado haijaenda kupitiwa na kurudishwa au kukubaliwa ombi lako hilo.

Achana na hayo huko unakotaka kwenda hadi uweze kutoka hapa ndio unaulizwa, unawajua uhamiajii?

Ona maandishi ila kwa ground ni tofauti sana
 
Back
Top Bottom