Hizi ni Nchi zinazotoa VISA bure, Wabongo tunafeli wapi kusongamana ughaibuni kama Wanaijeria

Hahahahah
 
 
Tatizo sio lugha, wachina wamejazana Tanzania kingereza hawajui na kiswahili ni shida
 
Kipengele ni Uhamiaji! Hapo utajua haujui!
 
Hizo nazo ni nchi za kwenda? labda Belize kidogo
 
Huitaji kwenda uhamiaji kupata Passport,. passport unaweza kuomba online na kila kitu kufanyia online siku ya kwenda unapeleka tu Documents ambazo ukizoziweka online.
Uhamiaji utaenda tu, finger print utaziweka online?, ajabu utaambatanisha resent picha, ila bado utatakiwa kwenda kupiga picha. Hapo bado haijaenda kupitiwa na kurudishwa au kukubaliwa ombi lako hilo.

Achana na hayo huko unakotaka kwenda hadi uweze kutoka hapa ndio unaulizwa, unawajua uhamiajii?

Ona maandishi ila kwa ground ni tofauti sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…