mimi zangu 5 ni hizi
1. Amesginswa sector ya Afya kwa 86%
2.Ameshindwa kwenye sector ya uchumi wa nchina kuongeza mianya ya matumizi mabaya ya fedha za serikali na kodi zisizoelewaka na kufanya uchumi wa wananchi kutoeleweka.
3. Amefail kabisa kwenye uongozi wa kimadarakaa wa wateuzi wake kwa kuwa na washauri wabovu sana haijawahi tokea, na ndio wamemuangusha, hakutumia akili wakati wa kuchagua cabinet ya washauri wake since mwanzo, so ameharibu a lot of secters cas of that thing, hivo ni big no.
4.Sijui ni tamaa ya kupenda easy things, au kukosa akili ya uongozi au ndo washauri wapuuzi, but ameharibu sana kutobalance issue ya mikopo na kupelekea upuuzi wa kodi zisizoleta uafadhari, miradi iso na maana yakipigaji, yani full stupidness jwenye mzunguko wa fedha,so ni big no
5. Suala la uuzwaji na ugawaji ovyo raslimali za nchi bilakujali umuhimu kwa nchi na,wananchi, hana mpango endelevu wowote wa maana kwa nchi, ujinga ujinga tu badala ya kufocus na vitu muhimu, yani ana upuuzi mwingi sana.
sio kwa ubaya au chuki,butkwa issue yakimaswalz ya nchi kwangu ni big no😪