Hizi ni sababu zangu kuu tano za kwa nini sitampigia kura Samia Suluhu Hassan kama atasimamishwa na chama chake

Hivi na nyinyi binafsi nafamilia zenu mnaziongoza vizuri kama mnavyochambua hapa?
 
Bingwa kama unabweka vile!
 
Ni kweli amejisumbua kuandika. CCM itajichukulia kura itakazoamua kuchukua. Ht wote wasipopiga Kura bado CCM itashinda tu, tena kwa kishindo. Imekuwa hivyo siku zote na ndivyo itakavyokuwa. Nape keshawapa elimu, bado hamuelewi tu? Na hata watu 100 wakishiriki Kura halafu Rais akatangazwa Amepata kura 100,000,000 bdo hakuna la kufanya kwa sababu matokeo yake hayahojiwi mahali popote. Ndiyo Nchi ya hovyo inayoitwa Tanzania ktk Karne hii ya 21.
 
Umpigie au usimpigie ndio atakuwa Rais.

Pili una Haki ya kupigia unapoona panafaa Kwa mujibu wa sababu zako
 
kama bado unafikiri ccm wanategemea kura za wananchi kushinda chaguzi mbalimbali hasa uchaguzi mkuu. basi hili bandiko lako ni batili
 
Muda utaamua ila ameimislead sana nchi...nafasi ambayo angeimudu ni waziri wa utalii pekee,tena bila kujihusisha na maliasili!
 
Tatizo ni aina ya wagombea wabovu wanaopambana na wa CCM. Unampigiaje kura mtu ambae haijulikani anaishi wapi. I mean unapigaje kura kwa mtu ambae leo yupo Tanzania, kesho yupo Ubelgiji?

Si nchi itakuwa kama ile ya Cameroon ampapo baraza la mawaziri lipo cameroon lakin raisi wao anaishi zake Ufaransa, yan akienda Cameroon ni kuchungulia kwa muda kisha anatokomea zake Ufaransa kula bata na familia yake.
 
Mimi naamini Jani moja likidondoka kwenye nyumba sidhani kama nyumba hiyo itavuja,ili unogeshe zaidi shawishi na wanafamilia wako wasimpigie ila 2025 Samia ndo rais wako,mikumi tena Kwa mama samia
 
Samia anasapotiwa kwa nguvu lubwa na kakikundi kadogo ka wahuni (wezi) wanaofaidi keki ya Taifa peke yao, huku kakichagizwa na chawa kadhaa wanaoambulia mabaki ya ukoko!.
 
Goli la MKONO mchengerwa aliahidi
 
Hivi na nyinyi binafsi nafamilia zenu mnaziongoza vizuri kama mnavyochambua hapa?
hapana hakuna alie perfect, ila masuala ya mtu maisha yake binafsi na family yake hata yawe vipi ni sawa tu atajua mwenyewe na aishi anavotaka

but masuala ya nchi, ya watu wote zaidi ya 50m+ huezi ongoza vile we unajiskia😠, lazima uwe very creative na kuongoza watu vizuri kuwapa maisha bora , kutatua changamoto zao, na sio kujiangalia wewe tu na kufanya unavotaka

so ni big nooooo to me
 
Unataka tumpigie nani? Hawa vibaka akina mbowe lissu zitto, waliojaa ukabila hadi makalioni tunaojielewa lazima tumpigie Samia licha ya mapungufu aliyonayo yanayovumilika
 
Kila jambo linaanzia kwenye level ya person,halafu familia halafu ndio jamii na taifa kwa ujumla,ndio maana nimewauliza wachambuzi vipi nyinyi wenyewe level ya mtu mmoja mmoja,familia zenu,huko mitaani mnaweza kujisimamia vile inatakiwa?kabla hamjatoa huo ushauri
 
Hicho kikura chako kimoja ni sawa na kijiko cha chumvi baharini, nahati mbaya hata akili huna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…