Hizi ni Salamu za pongezi kwa Ali Kiba

Kama ni kweli basi Hongera Ali Kiba kwa kujitambua.

Nipeni ratiba ya show yake ya karibuni Dar niende kumuunga kwa ujasiri wake.

Hizi ni habari zisizokuwa na hata chembe ya shaka mkuu.
Ali Kiba hanunuliki, ana misimamo yake thabiti haongozwi na njaa.

Subiri nitaangalia ratiza za shows zake kisha nitakuambia.
 
hakikisha familia yako nzima na mtaa wako kwa ujumla wanachagua UKAWA

Mkuu sio familia tu, ukoo mzima, majirani na hata kitaa chetu hapa ni UKAWA tu.
Tena jana nilikuwa na kikao na marafiki zangu na wote wamenihakikishia kuwapa Chadema kura zao.....usijali.
#PamojaTutashinda
 
I won't be the lastly to honour your distinguished idea on that. Truely you have gained my support. It's last being on your rivals. I devote my own being accountable in all your undertaking.

Ali Kiba huwa anapita huku, nadhani ataona hili.
Asante kwa niaba yake.
 
Mkuu umepanick !! Kwani jangwani inaingiza watu wangapi? Furahisha je? Pole pole twende.

Achana naye, nimeshamsoma huyo..
Usishangae maana kile chama kukishabikia inabidi ukapimwe akili!
 
Achana naye, nimeshamsoma huyo..
Usishangae maana kile chama kukishabikia inabidi ukapimwe akili!

Kijana na akili zako kabisa, umezaliwa ukaikuta CCM, ukaona viroja vyake, alafu bado unaishabikia CCM!! Huwa nashangaa sanaaa.....akwende huyo amepanic.
Umenifirahisha, wala huna muda naye, ananengua tu lakini wewe walaaa!!
 
Kijana na akili zako kabisa, umezaliwa ukaikuta CCM, ukaona viroja vyake, alafu bado unaishabikia CCM!! Huwa nashangaa sanaaa.....akwende huyo amepanic.
Umenifurahisha, wala huna muda naye, ananengua tu lakini wewe walaaa!!

Hahahaaaaa, huyo nikimgusa tu hata kwa swali moja atalijibu mara 10! Ndio maana namuonea huruma namuacha maana hajielewi.

Inashangaza na kusikitisha sana, nashindwa kumuelewa kijana anayeishabikia CCM. Najiuliza ni njaa, ujinga au ni kitu gani haswa?
Namdharau sana kijana wa hivyo, hongera sana Ms.Lincoln kwa kujielewa.
 
Last edited by a moderator:
Kwa Moyo mkunjufu naungana na mtoa mada kumpa pongezi Kiba Hongera sana King Kiba ur real HERO kwa ulotufanyia watanzania
 
hasa ilo lidomo kunuka swain kabisa linaeneza chuki za kikabila nimelichukia kama nini punguan kabisa na huyo mtoto ana hasara kupata baba kilaza kama domo.
 
hasa ilo lidomo kunuka swain kabisa linaeneza chuki za kikabila nimelichukia kama nini punguan kabisa na huyo mtoto ana hasara kupata baba kilaza kama domo.

Lol...mkuu mtoto mwenyewe ana utata bado biological father hajulikani!
 
Kijana na akili zako kabisa, umezaliwa ukaikuta CCM, ukaona viroja vyake, alafu bado unaishabikia CCM!! Huwa nashangaa sanaaa.....akwende huyo amepanic.
Umenifirahisha, wala huna muda naye, ananengua tu lakini wewe walaaa!!

Thats why i love mpaka nakufwa for you, kuwa na lijanamke la kisasa halafu linashabikia ccm mimi kwakweli hata dyudyu haiwezi kusimama, tena wakivaa ile minguo yao ya kishirikina ndio kabisaaa.
 
ndio mana lina domo kubwa kama sinia lakini akili ndogo kama kijiko na uanzia leo simpi kura yangu waka kushare posts zake bora angebaki kuiimbia ccm lakini sio kuingiza siasa za kichochezi na za kikabila kiasi hichi.

anasema watanzania tusigawe kwa uabila ni nani mkabila kati ya rizone na uvccm pwani waliosema rais hatoki kaskazini na hao wanaohama chama kwa utashi wao wenyewe bila kuvutwa na agenda yoyote ya ukabila?

kati ya wanaohama ccm kuna aliyesema watanzania tusiisapoti ccm kwa kuwa ni wakabila badala yake tuisapoti ukawa

atutajie kiongozi yeyote aliyehama au kuchochea ukabila kama sio ccm ndio walitugawa kwa udini na ukabila.

hao wanaohamia ukawa wanatoka ccm kwahiyo ccm ndio ilikua ina ikabila zaidi kuliko ukawa sababu wanaohamia huko wanatokea ccm na wala sio ukawa.

domo kubwa kama choo cha kuflash.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…