Hizi ni Salamu za pongezi kwa Ali Kiba

Hizi ni Salamu za pongezi kwa Ali Kiba

Hakuna kipya kilichozungumzwa jangwan zaid ya kurudia yaleyale waloshindwa kuyatekeleza walopita na weng wao tumefuata show yabure ya msanii wetu mwenye domo kubwa kuliko kichwa wangoje waone umaty wa muh.. tareh zambele! namatuc yao nakutusahau tulowachagua na bado co sumaye nawengne wapo njian

Hahahaaaaa, hiyo ya UKAWA na mimi nitatia timu InshaAllah.
 
Kama ni kweli basi Hongera Ali Kiba kwa kujitambua.

Nipeni ratiba ya show yake ya karibuni Dar niende kumuunga kwa ujasiri wake.
 
Kuna wasanii njaa wameiunga na kifurushi cha extreme mpaka wanakera maana unaona kabisa ushabiki wao ni matokeo ya kutibu njaa,hapa jamvini leo walipotoa taarifa ya King kutumbuiza kwa wale wakoloni weusi fast nikatembelea page yake nikakuta kweupe nikajua jemedari hawezi peleka chombo mrama lazima tufike salama.
Bravo kiddo you make us proud for what you did uko mbele watajua wenyewe ila leo umefanya kitu sahihi kwangu wale walio payuka wote wameshindwa kukomaa na njaa ila kwa tabia zile ipo siku wataitwa akina aunt Nassibu n.k.
 
Cmlaum sana elim inahtajka kila sehem co kujfunza English course useme umeenda ckonga na ucshangae hata pesa hajapewa wamekula wajanja wake wamujin shobo2
 
Mlimsaidia nini DIAMOND enzi hizo anaishi TANDALE mpaka leo mumpangie kitu cha kufanya? Nyinyi kama hamumpendi sisi tupo tunaempenda. Kwendeni zenu nyie hamna umuhimu wowote kwa DIAMOND. Nyinyi mumchukie tuuu. Mwenzenu anaingiza pesa.

Abdulraman ,Ndugu ndugu yangu ukisema hivyo unakosea,,Diamond na mtu yoyote ,wana haki ya kuchagua Chama wakipendacho ,au Mgombea wampendae,,point hapa ni kwamba Diamond ni msanii hivyo yeye kama msanii ,anawashabiki wengi kuliko unavyofikiria wewe au mimi na yule ,Hivyo basi sio wote wanaomshabikia katika kazi zake basi watamshabikia katika hisia zake za kisiasa,,kumbuka Diamond ni msanii. mara nyingi Msanii wetu huyo ushirikishwa sana katika Tuzo za Musiki Nchini na Nchi za nje,,upigiwa kura na Watanzania ,,tunamtakia mafanikio sana hila akumbuke kwamba Kupiga kura ni haki yake na Siri yake,akilijua hilo kwamba yeye kama kioo cha jamii anaangalia na watu wote wa Tanzania ,kuna wengine atawakwaza sana kama akionyesha anaunga mkono kambi fulani au mgombea fulani,,yeye Kwa nafasi yake ilitakiwa hile kura yake tarehe 25 /10 ndio ikaamue,lakini hii sasa hivi ,itamgharimu sana baadae,maana usije ukafikiria wewe kwamba kura moja ya mtu sio muhimu,hila ukijua haki ya kupiga kura hiyo kura moja ndio uleta mabadiliko makubwa sana,,,kura hiyo moja tuu ya mtu inaweza kumpa Magufuli au Lowasa Uraisi,hivyo pia ajihepushe na yeye maana ni ,mshiriki sana katika kazi za usanii wake ,kwenye vinyang'anyiro vingi sana vya kushindania TUZO,halafu akaikosa kura ya muhimu kwa mtu ambaye alikwanza na maamuzi yake ya KISIASA.,Jamani wasanii mliangalie sana hili ..kuweni neutral...siku ya siku Shika kichinjio cha cha kupigia kura nenda ukamchinje Lowasa au Magufuli hiyo 25 /10 / 2015.
 
U hali gani Ali Kiba? Natumai u mzima kabisa na unaendelea vyema na shughuli zako za muziki.
Mimi kama shabiki/mpenzi na mfuasi wako napenda kukupongeza kwa kitendo chako cha kishujaa na chenye hekima cha kutokuhudhuria kwenye mkutano wa kuzindua kampeni na ilani za chama cha CCM uliofanyika leo jijini Dar Es Salaam katika viwanja vya Jangwani.

Leo mchana nilisikia tetesi kuwa utakuwepo jangwani, niliumia sana.
Niliamua kusitisha shughuli zangu zote leo ili niweze kuangalia mkutano huo niweze kuona kwa macho yangu kama utaweza kufanya onesho kwenye mkutano ule au lah!

Lakini hadi mwisho wa mkutano sijakuona kabisa, kwa hili nakupongeza sana Ali Kiba. Umenipa sababu za kukupenda na kuzidi kuupenda muziki wako mara dufu.
Kila mara huwa nasema kuwa siupendi mziki wako tu, bali na mtindo wako wa maisha kiujumla.

Tunapoongelea suala la msanii ni kioo cha jamii, wewe ndiye hasa unayefaa kuitwa kioo cha jamii.
Busara na hekima zako Mungu alizokujalia na kipaji chako ni tunu ya kipekee....hongera sana.

Naomba hekima hizo zisiishie kwenye mkutano wa leo tu, bali mikutano yote inayohusu chama cha CCM. Sitaki kuzungumzia hili zaidi maana hakuna Mtanzania mwenye akili timamu anayeweza kuwaunga mkono viongozi na chama hiki kiujumla.

Naomba usinitie aibu mimi na mashabiki wenzangu kama yule mwenzio alivyowatia aibu na kuwakera mashabiki wake kwa kitendo chake cha kuonesha mahaba yake hadharani juu ya chama dhalimu cha Mapinduzi na mgombea wake Magufuli.

Kwa hili, nasema ASANTE SANA.
NAKUSHUKURU NA KUKUAHIDI KUWA SHABIKI WAKO MILELE!
MUNGU AKUBARIKI.

I won't be the lastly to honour your distinguished idea on that. Truely you have gained my support. It's last being on your rivals. I devote my own being accountable in all your undertaking.
 
Nyinyi mumeishiwa kweli. Yaani hamjiamini mpaka mnhoje makapi yatoke CCM ndo mupate nguvu ya kisiasa. Wajinga kabisa. CCM tuna hazina ya kutosha ya wanasiasa. Hebu jiulize huyo SUMAYE katika nchi hii ans ushawishi gani?? Su ana athari gani kwa CCM?
 
UKAWA ni wajinga kabisa na hamujielewi. Na pia haamkujiandaaa. Mnawasaliti wanachama wenu ambao walikijenga Chama chenu kwa makapi yanayotoka CCM!!!!! ni dhahiri kuwa nyinyi wenyewe mumejiona kuwa ni dhaifu na hamuuziki kwa wananchi hivyo ili muuzike ni kwa kutumia makapi ya CCM kwani bado hana harufu nzuri inayowavutia wananchi. Sasa baada ya muda mfupi ujao hao waliokuja huko nao watakuwa wameshachuja kama walivyochuja hao waliotangulia kuja huko na moto wenu wa MABUA utazima kama alivyosema J.K. na siyo.mbali. baada tu ya kumuapisha MAGUFULI. Hapatakuwa tena na UKAWA. na badal yake utabaki UPEPEO. muungano wa UKAWA ni sawa na ndoa ya MKEKA. Yaani mahrusi wamefumaniwa bila ya maandalizi.
 
Na hili nakuhakikishieni kuwa 2020 CCM itapita bila ya kupingwa. Manake hapatakuwa na upinzani nchini wakati huo. Ni suala lililo wazi kuwa CHADEMA nje ya UKAWA ingepigwa vibaya sana ndo maana wamejiegemeza kwa UKAWA. hebu tafakari. CHAMA gani nchini peke yake chenye uwezo wa Kujaza uwanja wa JANGWANI?? Nyinyi mko wa nne na hamta ujaza uwanja wa JANGWANI.
 
CCM bado ina nguvu sana nchini. Ila washabiki wake wako kimya. Hawana mbwembwe. Huo ukimya ndo unao walaghai mkadhani kuwa CCM imekwisha. Mumechelewa kweli nyinyi. Kalaghabao. Subirini matokeo yake Novemba. Najua mtasusa tena kwani yatakayotokea hamtayaaamini. Ila mjue sasa kuwa CCM ni simba mwenda pole.
 
Kinachowahangaisha UKAWA ni kupigwa bao la kisigino na CCCM kwa kuwateka wasanii wote wazuri nchini. Hivyo mumeona kuwa hakuna msanii wa maana wa kuwaunga mkono. Ali kina hna mpango wowote ni mbana pua tu. We uliza mpaka watoto watakueleza kuwa hakuna kama DIAMOND. na ushahidi ni majuzi tu katoka SOUTH AFRIKA kupewa tuzo. Huyo kiba wenu kenda nchi gani kuchukua tuzo??zaidi ya hizo za magumashi za kilimanjaro ambazo hata Burundi tu hazitambuliki kwa maana kwamba ni za hapahapa nchini. Hazina viwango.
 
Na hili nakuhakikishieni kuwa 2020 CCM itapita bila ya kupingwa. Manake hapatakuwa na upinzani nchini wakati huo. Ni suala lililo wazi kuwa CHADEMA nje ya UKAWA ingepigwa vibaya sana ndo maana wamejiegemeza kwa UKAWA. hebu tafakari. CHAMA gani nchini peke yake chenye uwezo wa Kujaza uwanja wa JANGWANI?? Nyinyi mko wa nne na hamta ujaza uwanja wa JANGWANI.

Mkuu umepanick !! Kwani jangwani inaingiza watu wangapi? Furahisha je? Pole pole twende.
 
Kwa kujijua tu ni kwamba jangwani ni kubwa kuliko Furahisha. Kwa hiyo tathmini ya ukubwa ni wazi kuwa watakaoingia jangwani watakuwa wengi kuliko furahisha. Kingine ni kuwa CCM imejaza uwanja ikiwa peke yake. Nyinyi mko wa nne. Linganisha hapo halafu ndo utakuwa na jibu kuwa nani ana wafuasi wengi peke yake.
 
Back
Top Bottom