Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
- Thread starter
- #61
Nonsensical postMleta uzi ni chawa wa jiwe hivyo analazimisha yote yaliyoanzishwa na jiwe yapewe kipau mbele
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nonsensical postMleta uzi ni chawa wa jiwe hivyo analazimisha yote yaliyoanzishwa na jiwe yapewe kipau mbele
Taa kwenye nyumba za tembe ni sawa ni mitungi ya gesi? Acha ushabiki.Kasome mpango wa taifa wa miaka 5 from 2016 na sasa 2021..... Pia Ilani ya hiko chama kiliahidi hivyo. Team JPM waache kujifanya wajuaji wakati hayo anayofanya January ndio JPM aliahidi kwenye Ilani.
Mie sio CCM ila kuna tabia imezuka ya wafuasi wa JPM kujaribu ku undermine Kila kinachofanyika Ili tuu legacy ikumbukwe whilst JPM huyo huyo aliwahi washa taa kwenye nyumba ya tembe kupitia kina Kalemani..... Na huo unafiki ndio naopinga hapa.
Nani kasema Makamba ni Msomi ?Kweli wasomi wetu ni tatizo. Huyu makamba ndio msomi wetu huyu kwa mambo hayo?. Kwa mbinu hizo ndio anataka na urais?
Gesi ikiisha utawanunulia,hiyo mitungi itakuwa stuli za kusongea ugali muda si mrefu, hata mwenyewe hutumii gesi sembuse lofa wa kijijini? kwa starehe gani na kipato kipi cha kununua gesi baada ya kuisha, na kwa nini kwanza kanda ya ziwa?WaTanzania mpunguze kulalamika, dunia nzima inaongelea nishati mbadala pia Ilani ya CCM na mpango wa taifa wa maendeleo wa miaka 5 (Ambayo ndio inamuongoza Rais na Mawaziri) inaongelea energy mix sio tu kwenye vyanzo vya umeme ila hata kwenye matumizi ya nishati majumbani.
Hivyo uwepo wa Hydro Power unatakiwa uende sambamba na nishati zingine kama Joto-Ardhi, Umeme wa upepo, Gesi n.k
So kama hamtaki gesi itumike waambieni wabunge wapinge utekelezaji wa mpango wa taifa otherwise mnaongea mambo msiyokua na uelewa nayo.
Ilani ya CCM ndio ilitaka energy mix maadam mliipigia kura sasa mnalalamika nini ikitekeleza?Gesi ikiisha utawanunulia,hiyo mitungi itakuwa stuli za kusongea ugali muda si mrefu, hata mwenyewe hutumii gesi sembuse lofa wa kijijini? kwa starehe gani na kipato kipi cha kununua gesi baada ya kuisha, na kwa nini kwanza kanda ya ziwa?
Basi msipeleke umeme vijijini hawana hela ya lukuTaa kwenye nyumba za tembe ni sawa ni mitungi ya gesi? Acha ushabiki.
Unampa mwananchi mtungi wa gesi. Kesho kutwa hana hata pesa ya kujazia gasi huo mtungi ukiisha.
Kwa nini msikomae JNHP ikakamilika alafu umeme ukashuka bei na bidhaa kushuka bei na maisha mwananchi yakawa nafuu.
👇Huu ni ulaghai usiofaa. View attachment 2289171
Luku? Umeme wa buku kwa kijijini ni unit 8 mtu anatumia mwezi mzima kuwasha taa. Acha kulinganisha na hii sambaza gesi wakati hata uwezo wa kununua na upatikanaji ni tatizo.Basi msipeleke umeme vijijini hawana hela ya luku
JPM keshaondoka mwaka na miezi mitano yeye bado ni mfuasi kindakindaki, maishani unafika wakati wa kuachana na jana hata kama ilikuwa ni nzuri kwako kiasi gani.Mleta uzi ni chawa wa jiwe hivyo analazimisha yote yaliyoanzishwa na jiwe yapewe kipau mbele
Kwani gesi inatumika mwezi mmoja tu imeisha? huo umeme kuingizwa hapo nyumbani inalingana na bei ya mtungi mmoja? Maana mnavyoongea mtadhani umeme unasambazwa bure. Hizo taa kapewa bure?Luku? Umeme wa buku kwa kijijini ni unit 8 mtu anatumia mwezi mzima kuwasha taa. Acha kulinganisha na hii sambaza gesi wakati hata uwezo wa kununua na upatikanaji ni tatizo.
Kuna mzee mwingine naye kaanzia huko Mbeya anawadanganya wasafa kuleta barabara nne Dar hadi TundumaCcm ni kizazi cha ulaghai Sana.
Nchi ya KUSADIKIKA hii haipo DunianiUnampa mwananchi mtungi wa gesi. Kesho kutwa hana hata pesa ya kujazia gasi huo mtungi ukiisha.
Kwa nini msikomae JNHP ikakamilika alafu umeme ukashuka bei na bidhaa kushuka bei na maisha mwananchi yakawa nafuu.
[emoji116]Huu ni ulaghai usiofaa. View attachment 2289171